Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

How come mtu anakuwa mtaalamu wa B4 na B5 kwa pamoja
Hapo umetudanganya
Kama wewe huwezi haimaanishi kila mtu hawezi.

Nenda DSM CPA REVIEW CENTER ukafanye utafiti mwenyewe kisha rudi hapa kuleta mrejesho.
 
Wakuu maandalizi yanaendaje popote mlipo maana next week ndiyo mitihani inaanza, upande wangu naendelea kupambana japo Performance management si mchezo sielewi nisome kipi niache kipi mambo kibao afu zima moto🙄🙄
 
Wakuu maandalizi yanaendaje popote mlipo maana next week ndiyo mitihani inaanza, upande wangu naendelea kupambana japo Performance management si mchezo sielewi nisome kipi niache kipi mambo kibao afu zima moto[emoji849][emoji849]
Masters hoyeeeeeh.
Pambana sis angu, [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
I think utaanzia intermediate level, maana naonaga karibia wote wenye Accounting knowledge wanaanzia intermediate level then final
Shukran sana kwa mkuu. Na ikiwa utapata jibu la uhakika zaidi usisite kunipatia taarifa zaidi
 
Thank you katoto, elimu ya utu uzima si mchezo unaanza kusoma mara unapokea message "kuanzia leo mimi na wewe basi dah"[emoji23][emoji23] ila tutafika tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu achana na mapenzi, bukua kwan sis angu.
Mengine baadae.
 
Back
Top Bottom