Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Baada ya kumaliza form 4 mwaka 1998 tulizama pale Silent kusherehekea. Hapo umezichanga una hela ya bia tatu, kiingilio na mchango wa taxi. Kitambo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndio nshomile feki,kakubali matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndio nshomile feki,kakubali matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekubali matokeo mapema sana, hata kama kuna kukosea ukiishajiunga na dini ukataja madhambi yako yote wakati Wa kutafuta hutakuja kuaminika tena. Bora uwe kama yule mwenye vituo vya mafuta Victoria, yupo kwenye Dini na biashara yumo, ukikaa vibaya unaenda na maji
 
What I have learned from this thread is that, in whatever you do, make sure you have safety net!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…