Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Ila Silent inn top management ilikuwa na kampany ya wazee wa jiji wala bata na walikuwa nazo! Namkumbuka mzee mmoja "samwel" na mwenyewe kanda ya huko huko alikuwa Bossy TPDC ukimkuta na mke wake (RIP) pale ukamsalimia atakushushia kinywaji mpaka utambae!
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwezi kupata kapicha mkuu
 
Aisee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My apology kwake mafuta post yangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
 
Huyu masilingi ana bonge la ghorofa huko vijijin nshamba muleba ila familia ilikuwa marekani huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama nakuona vile, Yale mabia niliyakosa kigodo, ila mengi nimeyanywa kwake pa zamani mtaa Wa Uganda avenue, Jamaa kila jmosi kwake anafoji visherehe, akipata mtoto mzuri anampandisha ndege kwenda kumlarua Nairobi.
 
Kuwa dhurumati sio ujanja malipo hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…