Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

Mwakani utakuja uwashukuru mabamedi na wauza nyabe wote Kwa kukupunguzia mzigo wa shahawa ulizopaswa kumwaga nyumbani kwako lakini Huwa unapewa Kwa masimango.
 
ushau

ushauri ni mwepesi tu.. sheria ni moja..
The closer you look.. The less you see.
 
Yani ni changamoto sana kilamtu analilia lake wanawake wanalalamika na wanaume nao wanalalamika pia
 
Hiyo mbinu haijaanza lao hata wazee wa zaman walitumia Mi mzee wangu hata kama hajaenda kazini huwezi kumkuta amekaa nyumbani lazima atoke alafu anarud saa 3 kasoro usiku ila siyo mlevi .
 
Hiyo mbinu haijaanza lao hata wazee wa zaman walitumia Mi mzee wangu hata kama hajaenda kazini huwezi kumkuta amekaa nyumbani lazima atoke alafu anarud saa 3 kasoro usiku ila siyo mlevi .
Hhahaaa imekaa powa unaepuka shari
 
Kwa ushauri tu, kama umekimbia domo nyumbani basi umekimbilia kifo bar. Sina maelezo ya ziada
 
Wanaume bar sio suluhisho, jifunzeni ongea na wenza wenu mueleze yaloko moyonii mwenuu

Si ajabu kumkuta mhudumu wa bar anaju in and out za Mr Pombe mmewe Miss Thoda
 
"Kuwa uyaone" ukadhani ni mateke (e ya kwanza weka a, "e" ya pili weka "o")
Heshimu wahenga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…