๐๐๐Kwamba sihitajikiMama,unafanya nini kwenye huu Uzi๐๐?
Imekuwa Ghafla sana.๐๐๐Kwamba sihitajiki
Tumekusamehe na usirudie tenaZamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wakezao.
Asante kwa msamahaTumekusamehe na usirudie tena
Changamoto yangu nikishaanza kulewa ninamuita tena hukohuko baa wakati asubuhi alinikera.Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wakezao.
Na wanaume ndiyo mnateseka zaidi....japo mnajitahidi sana kuongeza singlemom mom kitaaU
Umeoona eehhh
Akili za utoto mbaya leo tunayaona ya ulimwenguWaliposema kua uyaone ulifikiri ni magorofa?
Nikupe namba yake ?Tungemsikia na mkeo nae anasemaje ili tubalance story
Umesema vyema mkuuBe ready to change all of what you believe, life ia full of surprises
HahaaaaNdio maana hujawa
NdioNikupe namba yake ?
Turudi nyuma kufanya ninj? Twende mbele kwa mbele.Ila twende mbele turudi nyuma kizazi hiki ni kiburi sana aisee
๐คฃ๐คฃ๐คฃsawaTurudi nyuma kufanya ninj? Twende mbele kwa mbele.
Msamaha umepokelewa endelea kuutafuta ukweli na uzoefu huku ukijifunza.Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wakezao.
kwa kipi sasaEehh ! Mbona unanitisha