Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
- Thread starter
-
- #61
Umesema vyema , mkinusana kila dakika inasababisha mnachokanaBond inakua kubwa zaidi between people pale ambapo hawaonani kwa muda mrefu.
Mimi naondoka saa kumi na moja narudi saa sita kasoro.
Nkifika mda huo mwenzangu alishalala usingizi ukapungua, ataamka, tutapiga stori mbili tatu, ntazima hadi next day.
Lakini at leasy once per week nawahi au nabaki kabisa ili kumpa muda pia wa kuenjoy nae.
Nmenotice hata mwanangu yuko karibu zaidi na mimi kuliko mama yake. Nlivoulizia wakongwe wakasema lazma iwe hvo coz anakua kakumiss kuliko mama yake alienae daily.
😀😀😀 acha hizoKimeumana uko
Oya jiheshimu bro 🤣🤣🤣Sijaona michango ya DOMOKAYA bado wanasema nini kuhusu hili.
🤣🤣
Domokaya's say "hello" niwaone.
Mkuu. Hii picha unaipenda sana eeh?MKUU WANAUME TUNAPITIA MENGI SANA ACHA TUPIGE SOGA BAR KUPOTEZA MUDA
View attachment 2968900
Na siku hizi wenye bar wanavyojua kuweka pisi.... tatizo uti lakini pisi..Hapo badn sana ipo siku utakuja kugundua kuna sababu nyingi za kupita bar zaidi ya hiyo
Wakibisha waangalie mfano wa Christina Shusho..japo kwa namna flan kamsaidia mumewe asimpotezee muda,kwamba kila mtu achukue njia yake tutafute pesa.Siku hizi Ndoa imekuwa taasisi ngumu sana kwa mwanaume,hasa katika ulimwengu wa Leo ambao mwanamke anapiganiwa ili awe sawa na mwanaume.
Mwanamke amevunja uke msingi wa neno takatifu kutoka kwa Mungu la "enyi wanawake waheshimuni waume zenu".
Mwanamke ameacha kuwa submissive kwa mumewe,ndoa imegeuka ndoano.
Mwanamke anaeongea mzuri huyo kelele ni sign ya kutaka uroda ukitaka anyamaze mpe tango akisha cheua atatulia tuli na hautasikia kelele zozote sasa unavyomkimbia ndio unamzidishia upwiru akakikutana na mafisi umekwishaZamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wake zao.