Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
- Thread starter
-
- #81
Eeeehhh sio mbaya mafisi wakila makomboMwanamke anaeongea mzuri huyo kelele ni sign ya kutaka uroda ukitaka anyamaze mpe tango akisha cheua atatulia tuli na hautasikia kelele zozote sasa unavyomkimbia ndio unamzidishia upwiru akakikutana na mafisi umekwisha
Makerere University labda..Makerere? Ungekuwa mke wangu ninge ku divorce
DuuhhMakerere University labda..
Hayo manyanyaso yule mrembo cha upole hana, naenjoy wewe,na wala sio domokaya .Oya jiheshimu bro 🤣🤣🤣
Na tutawanyanyasa mpk mlale bar kabisa msirudi
Hayo manyanyaso yule mrembo cha upole hana, naenjoy wewe,na wala sio domokaya .
Imagine akiongea kama anataka kulia.
Huyo shemeji asije kukimbia ,please acha manyanyaso,ukirudishwa kwa talaka nitakuongezea makofi.
Mtumishi, Wapi ambako hakuna kifo tukimbilie!Kwa ushauri tu, kama umekimbia domo nyumbani basi umekimbilia kifo bar. Sina maelezo ya ziada
Huyo Kashazoea kugongewa wala hajali. Anaogopa talaka tu wasigawane mali ndo maana hajali na kuumia kugongewa anapotezea.Ukianza kugongewa usipige kelele
Hahahaaa kumbe unawajuaVyanamke hasa vyembamba yaani vinaongea sana ni kelele sana ke to o ni bora ukute lishalala[emoji16][emoji16]
Swali zuriMtumishi, Wapi ambako hakuna kifo tukimbilie!
Mimi nitofauti kidogo, nikitoka job lazima nifike home kwanza niwasalimie watoto alaf ndo misele ianze. Jitahidi sana ktk maisha yako watoto wakuone mara kwa mara itawasaidia na kuwa guide kwa kiasi fulani wasiwe wakorofi/watundu sana sbb wanajua daddy is always around. Lkn pia itakupunguzia ww muda mwingi wa kukaa bar meaning utapunguza matumizi ya pesa na michepuko kwa kiasi fulani na itakufanya mara nyingi uwe bar za jirani na home sbb ni vigumu kwenda mbali kutokea home jioni/usiku.Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wake zao.
Kwa hio alijua anazo 5?
Tuache utani wanasaidia mno!Mwakani utakuja uwashukuru mabamedi na wauza nyabe wote Kwa kukupunguzia mzigo wa shahawa ulizopaswa kumwaga nyumbani kwako lakini Huwa unapewa Kwa masimango.
Eeeehhh sio mbaya mafisi wakila makombo
Sio kupita bar peke yake, kuna wale kama mimi, ambao kila baada ya muda, tunatengeneza safari ya kwenda mkoani au nnje ya nchi.Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wake zao.
Umechelewa sana kufahamu hilo, sikushangai kwasababu namimi pia nilichelewa kujua hilo.Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wake zao.
Unaogopa kugongewa miaka hii? Wewe unajuaje hugongewi hata sshv?Ukianza kugongewa usipige kelele