johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kubenea yuko ACT wazalendo!Mungu anawaumbua ma ccm
Watafunguaje Jalada wakati WAHUSIKA ni WAO?Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Yepi hayoHujui ya huko nyuma.
Pumbavu, pumbavu kabisa una ushahidi?
Unakumbuka ulichojib kweny issue ya Lisu kumiminiwa koroshow? Na hili ndilo nililokujib!!!Wakina nani hao walioondoka? [emoji3][emoji3][emoji3]
Bibi wa Buza tulia, huyu alikuwepo mahakamani?
Hatari kubwa hapa ni kwamba watu wanaweza kufikiri vinginevyo. Tuwasamehe wote siku moja watajibu mbele za Allah!Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.
Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.View attachment 2077136
unapojua kabisa kwamba hujui kitu , just shut up , tukiweka yote humu utadhalilikaBibi wa Buza tulia, huyu alikuwepo mahakamani?
Kupotea kwa Ben, MBOWE anajua na ndio aliratibu shughuli nzima.
Buza hamjambo?unapojua kabisa kwamba hujui kitu , just shut up , tukiweka yote humu utadhalilika
Kila ubaya utalipwaMakonda,kabadilika kuwa shetani kama baba ake alivyotabiria wengine kugeuka mashetani
Nilijubu nini mzee?? Rudia angalia tena.Unakumbuka ulichojib kweny issue ya Lisu kumiminiwa koroshow? Na hili ndilo nililokujib!!!
Sukuma gang wote mnalia na kusaga meno dadeeeekiWe pimbi mla panya, mbona hauhoji Mbowe kukaa kimya?
Korona inatufaa sanaMbowe ni mbaya sana
Akili ya Vita ya uchumi.Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima
Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima
Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Kupotea kwa Ben, MBOWE anajua na ndio aliratibu shughuli nzima.