Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Pumbavu, pumbavu kabisa una ushahidi?
Kesi_ya_Ugaidi_ya_Mwenyekiti_imefanya_tuwajue_%22WATU_WASIOJULIKANA%22_waliompiga_risasi_%40Tu...jpg
 
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.

Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.View attachment 2077136
Hatari kubwa hapa ni kwamba watu wanaweza kufikiri vinginevyo. Tuwasamehe wote siku moja watajibu mbele za Allah!
 
We ulikutana lini na Ben akakwambia huyo ndo alimteka?

Waliotekwa si wapo? Huyo aliyewatesa si wamemuona? Wamshitaki mbona simple tu kuliko kuja kulialia hapa.
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Akili ya Vita ya uchumi.
 
mbowe angekuwa anahusika na kupotea kwa Ben saa 8 Nina uhakika angeshakamatwa zamani sanaaaa.
Tatizo" meno ya mbwa hayaumani"
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
 
Uliyemuweka kwenye avata kalala kwenye jiwe Muusika Mkuu wa kumuuwa Ben saanane na kupigwa risasi Lisu. Azoli na wengine wengi tu
Kupotea kwa Ben, MBOWE anajua na ndio aliratibu shughuli nzima.
 
Back
Top Bottom