Wenyewe wadai 'watanzania ni wapoleeee saaanaa na wanapenda amani '.hiyo ndio inayo wapa jeuriiAlafu Bado anapumua huyo?
Anaishi wapi? Yaani hata nyumba haijaungua?
Huyu hapa Jumanne MlangaheBibi wa Buza tulia, huyu alikuwepo mahakamani?
Nakazia hapo kwenye neno mbuziWazazi wako waliuza mbuzi ili kusomesha mbuzi ingine ambaye ni wewe
Wasitegemee hali hiyo. Tutalipa kisasi tu. Viroba ufukweni alafu wakawa wanazika bila kutangazwa Ili wenye ndugu zao wajue.Wenyewe wadai 'watanzania ni wapoleeee saaanaa na wanapenda amani '.hiyo ndio inayo wapa jeurii
Wako wengine, mahita. Kingai, goodluckKama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.
Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.View attachment 2077136
Si uende kufungua kesi sasa?? Kubenea kajifanya kumfungulia kesi Makonda kumbe geresha tuu...Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima
Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
You are damn fuc!!ken bitch.Ni heri kupoteza m1 kuliko kupoteza wengi kutokana na ulimi wa huyo m1.
ONE FOR THE ALL.
#MASLAHIMAPANAYATAIFA.
Acha upimbi jombaa yaani aone jinai imetendeka badala ya kwenda police aende kwa wanachama?Kubenea alishasema miaka miwili nyuma huko lkn nyie wanachama wa CHADEMA mmeshindwa kumbana mwenyekiti wenu aseme ukweli.
J4 ameshonesha li-mask likuubwa akidhani watu hawatagundua sura.Huyu hapa JumanneView attachment 2077215
Ahahahaaaa kaweka na barakoa, mwenzio anaogopa kifo !!HUYU HAPA View attachment 2077312
Akili zako umezikaliaAnzeni na Mwenyekiti wenu, Mbowe alipaswa kufungua shauri polisi juu ya upoteaji wa msaidizi wake, yy hakufanya hivyo akaendelea kuhudhuria event zote za akizoalikwa na Mh Magufuli. Kama una akili sawasawa utaelewa kilichotokea na nani ni mhusika namba moja.
Watafichwa vipi? Kwani mama nae ni dhalimu?
Yalishafungwa mafaili yao hawana uwezo wa kufanya uchunguzi wanawajua wahalifuIla jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Mbowe yupo juu ya vyombo vya sheria?Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima
Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
[emoji1610]Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima
Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Hili chadema huwa wanalipotezea, wanavaa miwani ya mbao.Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima