Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Bibi wa Buza tulia, huyu alikuwepo mahakamani?
Huyu hapa Jumanne Mlangahe
20220111_200336.jpg
 
Kuna haja ya kureview utaratibu wa kupata hizi PhD za Tanzania.
 
Wenyewe wadai 'watanzania ni wapoleeee saaanaa na wanapenda amani '.hiyo ndio inayo wapa jeurii
Wasitegemee hali hiyo. Tutalipa kisasi tu. Viroba ufukweni alafu wakawa wanazika bila kutangazwa Ili wenye ndugu zao wajue.

Tumepita kipindi kigumu sana

Visasi vinawahusi
 
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.

Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.View attachment 2077136
Wako wengine, mahita. Kingai, goodluck
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Si uende kufungua kesi sasa?? Kubenea kajifanya kumfungulia kesi Makonda kumbe geresha tuu...
 
Kubenea alishasema miaka miwili nyuma huko lkn nyie wanachama wa CHADEMA mmeshindwa kumbana mwenyekiti wenu aseme ukweli.
Acha upimbi jombaa yaani aone jinai imetendeka badala ya kwenda police aende kwa wanachama?
 
Anzeni na Mwenyekiti wenu, Mbowe alipaswa kufungua shauri polisi juu ya upoteaji wa msaidizi wake, yy hakufanya hivyo akaendelea kuhudhuria event zote za akizoalikwa na Mh Magufuli. Kama una akili sawasawa utaelewa kilichotokea na nani ni mhusika namba moja.
Akili zako umezikalia
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Mbowe yupo juu ya vyombo vya sheria?
Kwann amtaki wachunguzi wa kimataifa.
Kwann familia ya Wangwe bado ni chadema.
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
[emoji1610]
 
Hili chadema huwa wanalipotezea, wanavaa miwani ya mbao.
 
Back
Top Bottom