Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Siku akipanda kizimbani kondaboy mbivu na mbichi hadharani😃.
Nimesikia mtaani kuwa yupo huko Arusha anahangaika kiweka kibanda kwenye kiwanja chake huko chini brb ya East Africa.Labda atamsaidia Sabya.
 
Watafutwe wafungwe
 
Kila ovu lililotokea enzi za mwenda zake Makamu wa Rais na Waziri mkuu wanajua kila lililoendelea,kwenye Nchi zenye jamii Bora inayojitambua Hawa wote wawili hawakupaswa kuendelea kubaki Madarakani walipaswa kujiuzuru nyadhfa zao ili kupisha Uchunguzi.
 
Hapa wewe ndiyo unajiona una akili sawa wakati wenye akili wanajua ukatiki wa JPM? Ushabiki wako tu wa kijinga
 
Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Utasikia wanajibu hawafanyii kazi mambo ya kusikia mtandaoni lakini cha ajabu kuna wanayoyaita makosa ya mitandao na ukiwaambia ukweli kupitia hiyo hiyo mitandao basi wanakubambikia kesi ya makosa ya mitandao!
 
MABADILIKOOOOO - LOWASSAAAAA

LOWASSAAAAAA - MABADILIKOOOOOO

Hii nchi ilipitia upuuzi mwingi kweli.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kumbe Mbowe alipewa taarifa zote kuhusu kilichompata Ben...Sasa mbona alibaki kimya?
Angefanya nini baada ya kuambiwa zoezi lilisimamiwa na Bashite baada ya kupewa kibali na JPM?

Nani aliweza kufanya kitu baada ya Azory kuchukuliwa nyumbani kwake na watu walioenda na gari ya serikali, na kujitambul8sha wazi, na kisha kumpoteza?

Wakati ikulu ikikaliwa na shetani (maneno ya Askofu Mwingira), ungeweza kuuawa mbele ya marafiki zako, na ikawa ndiyo mwisho.
 
Kesi ya Mbowe ikiisha ni vyema atoe taarifa alizonazo kuhusu kilichompata Ben......ili familia yake, ndugu na marafiki wasibaki gizani kuhusu kijana wao.
 
Utasikia wanajibu hawafanyii kazi mambo ya kusikia mtandaoni lakini cha ajabu kuna wanayoyaita makosa ya mitandao na ukiwaambia ukweli kupitia hiyo hiyo mitandao basi wanakubambikia kesi.
Hapo tunatumia ule weledi wetu wa kitanzania.
 
Yule alikuwa kuu la maiblis
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Kesi ya Mbowe ikiisha ni vyema atoe taarifa alizonazo kuhusu kilichompata Ben......ili familia yake, ndugu na marafiki wasibaki gizani kuhusu kijana wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…