Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Siku akipanda kizimbani kondaboy mbivu na mbichi hadharani😃.
Nimesikia mtaani kuwa yupo huko Arusha anahangaika kiweka kibanda kwenye kiwanja chake huko chini brb ya East Africa.Labda atamsaidia Sabya.
 
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.

Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.

View attachment 2077136
Watafutwe wafungwe
 
Hao polisi ndio waliokuwa wanafanya hayo matendo ndio maana huoni ufuatiliaji wowote. Hao watu wasiojulikana tulisema wazi ni kundi la Magufuli toka vyombo vya dola, lililokuwa likifanya ukatili na unyama wa wazi.

Na hata wakishitakiwa mahakamani chini ya utawala huu wa ccm watafichwa tu, kwani kuna ushirikiano wa kihalifu baina ya serikali, mahakama na vyombo vya dola.
Kila ovu lililotokea enzi za mwenda zake Makamu wa Rais na Waziri mkuu wanajua kila lililoendelea,kwenye Nchi zenye jamii Bora inayojitambua Hawa wote wawili hawakupaswa kuendelea kubaki Madarakani walipaswa kujiuzuru nyadhfa zao ili kupisha Uchunguzi.
 
Anzeni na Mwenyekiti wenu, Mbowe alipaswa kufungua shauri polisi juu ya upoteaji wa msaidizi wake, yy hakufanya hivyo akaendelea kuhudhuria event zote za akizoalikwa na Mh Magufuli. Kama una akili sawasawa utaelewa kilichotokea na nani ni mhusika namba moja.
Hapa wewe ndiyo unajiona una akili sawa wakati wenye akili wanajua ukatiki wa JPM? Ushabiki wako tu wa kijinga
 
Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Utasikia wanajibu hawafanyii kazi mambo ya kusikia mtandaoni lakini cha ajabu kuna wanayoyaita makosa ya mitandao na ukiwaambia ukweli kupitia hiyo hiyo mitandao basi wanakubambikia kesi ya makosa ya mitandao!
 
MABADILIKOOOOO - LOWASSAAAAA

LOWASSAAAAAA - MABADILIKOOOOOO

Hii nchi ilipitia upuuzi mwingi kweli.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
2.jpg
 
Kumbe Mbowe alipewa taarifa zote kuhusu kilichompata Ben...Sasa mbona alibaki kimya?
Angefanya nini baada ya kuambiwa zoezi lilisimamiwa na Bashite baada ya kupewa kibali na JPM?

Nani aliweza kufanya kitu baada ya Azory kuchukuliwa nyumbani kwake na watu walioenda na gari ya serikali, na kujitambul8sha wazi, na kisha kumpoteza?

Wakati ikulu ikikaliwa na shetani (maneno ya Askofu Mwingira), ungeweza kuuawa mbele ya marafiki zako, na ikawa ndiyo mwisho.
 
Kesi ya Mbowe ikiisha ni vyema atoe taarifa alizonazo kuhusu kilichompata Ben......ili familia yake, ndugu na marafiki wasibaki gizani kuhusu kijana wao.
 
Utasikia wanajibu hawafanyii kazi mambo ya kusikia mtandaoni lakini cha ajabu kuna wanayoyaita makosa ya mitandao na ukiwaambia ukweli kupitia hiyo hiyo mitandao basi wanakubambikia kesi.
Hapo tunatumia ule weledi wetu wa kitanzania.
 
Yule alikuwa kuu la maiblis

Back
Top Bottom