Nimesikia mtaani kuwa yupo huko Arusha anahangaika kiweka kibanda kwenye kiwanja chake huko chini brb ya East Africa.Labda atamsaidia Sabya.Siku akipanda kizimbani kondaboy mbivu na mbichi hadharani😃.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia mtaani kuwa yupo huko Arusha anahangaika kiweka kibanda kwenye kiwanja chake huko chini brb ya East Africa.Labda atamsaidia Sabya.Siku akipanda kizimbani kondaboy mbivu na mbichi hadharani😃.
Watafutwe wafungweKama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.
Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.
View attachment 2077136
Kila ovu lililotokea enzi za mwenda zake Makamu wa Rais na Waziri mkuu wanajua kila lililoendelea,kwenye Nchi zenye jamii Bora inayojitambua Hawa wote wawili hawakupaswa kuendelea kubaki Madarakani walipaswa kujiuzuru nyadhfa zao ili kupisha Uchunguzi.Hao polisi ndio waliokuwa wanafanya hayo matendo ndio maana huoni ufuatiliaji wowote. Hao watu wasiojulikana tulisema wazi ni kundi la Magufuli toka vyombo vya dola, lililokuwa likifanya ukatili na unyama wa wazi.
Na hata wakishitakiwa mahakamani chini ya utawala huu wa ccm watafichwa tu, kwani kuna ushirikiano wa kihalifu baina ya serikali, mahakama na vyombo vya dola.
Unaweza kujifungulia faili la maovu yako?Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Hapa wewe ndiyo unajiona una akili sawa wakati wenye akili wanajua ukatiki wa JPM? Ushabiki wako tu wa kijingaAnzeni na Mwenyekiti wenu, Mbowe alipaswa kufungua shauri polisi juu ya upoteaji wa msaidizi wake, yy hakufanya hivyo akaendelea kuhudhuria event zote za akizoalikwa na Mh Magufuli. Kama una akili sawasawa utaelewa kilichotokea na nani ni mhusika namba moja.
Utasikia wanajibu hawafanyii kazi mambo ya kusikia mtandaoni lakini cha ajabu kuna wanayoyaita makosa ya mitandao na ukiwaambia ukweli kupitia hiyo hiyo mitandao basi wanakubambikia kesi ya makosa ya mitandao!Ila jeshi letu la polisi la hovyo sana. Si ajabu mpaka leo wala hakuna file linalohusu uchunguzi wa kupotea kwa Ben wala kupigwa risasi Tundu Lissu.
Kivipi sasa wakati yeye siyo dhalimu?Hataki kumuanika yule dhalimu.
dogo tuheshimiane yaani unanifananisha na gaidi ooohoo!! Kwanzasijawahi kuwa polisi mie.....omba msamaha kabla sijakushukia huko!!!!!!Huyu hapa JumanneView attachment 2077215
Shetani na uaji kubwa hili, japo si uungwana kumtakia mtu kifo, lakini shetami kama hilo likitoweka, ni faraja kubwa kwa jamii.Huyu hapa JumanneView attachment 2077215
Huyu Jamaa natamani ndugu yake tumbo Moja ndio angekuwa ametekwa,kupotea,kuwawa au kupigwa risasi,akili ndio ingemkaa sawa😠Wazazi wako waliuza mbuzi ili kusomesha mbuzi ingine ambaye ni wewe
Angefanya nini baada ya kuambiwa zoezi lilisimamiwa na Bashite baada ya kupewa kibali na JPM?Kumbe Mbowe alipewa taarifa zote kuhusu kilichompata Ben...Sasa mbona alibaki kimya?
Kesi ya Mbowe ikiisha ni vyema atoe taarifa alizonazo kuhusu kilichompata Ben......ili familia yake, ndugu na marafiki wasibaki gizani kuhusu kijana wao.Angefanya nini baada ya kuambiwa zoezi lilisimamiwa na Bashite baada ya kupewa kibali na JPM?
Nani aliweza kufanya kitu baada ya Azory kuchukuliwa nyumbani kwake na watu walioenda na gari ya serikali, na kujitambul8sha wazi, na kisha kumpoteza?
Wakati ikulu ikikaliwa na shetani (maneno ya Askofu Mwingira), ungeweza kuuawa mbele ya marafiki zako, na ikawa ndiyo mwisho.
Hili chadema huwa wanalipotezea, wanavaa miwani ya mbao.
Huyu Jamaa,Mwamba wa kaskazini,bila wizi wa kura ,JIwe na CCM yake walikuwa chaliii😂😂😂MABADILIKOOOOO - LOWASSAAAAA
LOWASSAAAAAA - MABADILIKOOOOOO
Hii nchi ilipitia upuuzi mwingi kweli.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2077648
Hapo tunatumia ule weledi wetu wa kitanzania.Utasikia wanajibu hawafanyii kazi mambo ya kusikia mtandaoni lakini cha ajabu kuna wanayoyaita makosa ya mitandao na ukiwaambia ukweli kupitia hiyo hiyo mitandao basi wanakubambikia kesi.
Hili chadema huwa wanalipotezea, wanavaa miwani ya mbao.
Angefanya nini baada ya kuambiwa zoezi lilisimamiwa na Bashite baada ya kupewa kibali na JPM?
Nani aliweza kufanya kitu baada ya Azory kuchukuliwa nyumbani kwake na watu walioenda na gari ya serikali, na kujitambul8sha wazi, na kisha kumpoteza?
Wakati ikulu ikikaliwa na shetani (maneno ya Askofu Mwingira), ungeweza kuuawa mbele ya marafiki zako, na ikawa ndiyo mwisho.
Kesi ya Mbowe ikiisha ni vyema atoe taarifa alizonazo kuhusu kilichompata Ben......ili familia yake, ndugu na marafiki wasibaki gizani kuhusu kijana wao.