Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Malipo hap hapa dunian zamu yake itafika na atahukumiwa kwa makosa aliyowatendea wtz wenzake
 
Hata kifo cha magufuli,kijazi,mahiga,mkapa aulizwe mbowe,bladifakeni
 
Duniani hakunaga siri.

Ni swala la muda tu.

Ukifanya ubaya ujue utakuja kujulikana baada ya muda.
 
Ukiua mtu umewasha bluetooth on maisha yako yote utokuwa salama
 
Tazama hili zombi la Mwendakuzimu
 
It's a matter of time tu..huyo Jumanne atalipa mabaya yake hapahapa duniani. Ipo siku CCM itatoka madarakani, watashtakiwa hata kama watakuwa wazee na wamestaafu..wakafie jela
 
It's a matter of time tu..huyo Jumanne atalipa mabaya yake hapahapa duniani. Ipo siku CCM itatoka madarakani, watashtakiwa hata kama watakuwa wazee na wamestaafu..wakafie jela
Cha kusikitisha sasa hawa watekaji wanaishi maisha ya dhiki sana ! huku wanaotumikisha wakiishi kifahari mno , hawa watekaji ni wagongeaji tu wa vibia na fegi , maisha yao duni , familia zao duni , makazi yao ni duni kabisa !
 
Si ni kwasababu Wana laana!!! Halaf uzee wao huwa waumwa magonjwa ya ajabu hata kuoza na kutoka funza, lakin kufa hawafi...we tulia watalipwa hapahapa duniani
 
Cha kusikitisha sasa hawa watekaji wanaishi maisha ya dhiki sana ! huku wanaotumikisha wakiishi kifahari mno , hawa watekaji ni wagongeaji tu wa vibia na fegi , maisha yao duni , familia zao duni , makazi yao ni duni kabisa !
Kweli??..
 
Makonda ndie masta wa mishe hii.
Ukizitrack call recording zake utapata connection na maafisa wote waliohusika kwenye operation zote chafu za kuwafanya watu kuwa yatima na wajane nchini.
 
Jumanne gudlack kingai makonda wanajua KILA kitu
 
YYan
Yani ni kweli ben sanane walimuua jamani dah magufuli kufa mara milioni mia.
 
ndio maana wakampa kesi ya ugaidi ili kuficha maovu yao yasiibuliwe. Ila sasa hawana pa kujificha tena maana kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe inazidi kuanika uozo na kuwaacha uchi tanpol kila uchao maana wamewapa mzigo mawakili wa serikali mpaka hawabebeki tena kwa jaji wanaishia tu kusema "inhiii... baghosha!!" maana wamekutana na kitu kigumu wasichotarajia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…