Ole jaminati
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 242
- 223
Malipo hap hapa dunian zamu yake itafika na atahukumiwa kwa makosa aliyowatendea wtz wenzakeKama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.
Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.
View attachment 2077136