Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
View attachment 3129371
"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara na wanamgambo wa Kipalestina ambayo ilitua Israel mwaka 1972, na kupigana katika vita vya Mashariki ya Kati vya 1973.
Image caption: Netanyahu (kulia) alikuwa nahodha wa kikosi cha makomandoo cha Sayeret Matkal.
View attachment 3129383
Mnamo 1976, kakake Bw Netanyahu, Jonathan, aliuawa akiongoza msako wa kuwaokoa mateka kutoka kwa ndege iliyotekwa nyara huko Entebbe, Uganda. Kifo chake kilikuwa na athari kubwa kwa familia ya Netanyahu.
Netanyahu alianzisha taasisi ya kupambana na ugaidi katika kumbukumbu ya kaka yake na mwaka 1982 akawa naibu mkuu wa ujumbe wa Israel mjini Washington"
MASHUJAA WENU:
View attachment 3129384
Wanapotea kwa maana ni haki yao kupotea. Wamesababisha vifo vya watu wengi kutokana na itikadi zao za kitapeli tapeli.
Hayo ndy mambo wanayoyawezaWajinga sanaa
Unakuta vikishatoka kambini vikija mtaani yaaani baa utafunga muda wanaotaka wao
Vijinga kwl🤣🤣
Hawa watu wa kanisani noma sana eti Benjamin Nyau Shujaa Hivi anajua mana ya Shujaa au hajui. Kumbe mashujaa wanaogopa kufa sio. Kweli wajukuu wamkosa nyumba huwa ndoto zao hazipishani na aliye liota shetani takatifu wanalo liabudu eti mungu waoBora hata yule komando kipensi kwenye sinema za VHSView attachment 3129464
HAIJALISHI kikukubwa ni mimabaraka anapokea kuitukuza na kuibariki Israel na wayahudi.MCHAMBUZI WA MASUALA YA VITA KUTOKEA TANDALE KWA MKUNDUGE
NDIOKwamba kuuza mwani na vibua ni kazi za kishenzi? Kwamba ushujaa ni kuuza silaha za kivita na mabomu kwa njia ya reja reja? Kwamba meza za wauza pweza na ngisi zilipaswa ziuzie mabomu na makombora ili kurahisishia wateja wasifuate silaha hizo kwenye maduka rasmi?
Huu uzi mzuri na mtamu maamaee.Tena sio yeye tu. Familia yao 3 brothers wote walikuwa commandos wa Matkal, hicho kikosi ni kama Seal Team kwa 6 kwa Marekani. Kaka yake alifia Entebe walipokuja kuokoa mateka wakati wa Idi Amin. Ndio maana wakiwaambia wananchi twende vitani, ni rahisi kueleweka. They know war, na wamelipa gharama.
Lile taifa ni jeshi lenye nchi, sio nchi yenye jeshi 😂😂😂
Ehud Barak former prime minister yeye naye alikuwa kikosi hicho hicho... Mission zake ni noma kuliko hata Netanyahu
UJINGA NI MZGOHAIJALISHI kikukubwa ni mimabaraka anapokea kuitukuza na kuibariki Israel na wayahudi.
NETANYAHU AKBARUJINGA NI MZGO
Hawa watu wa kanisani noma sana eti Benjamin Nyau Shujaa Hivi anajua mana ya Shujaa au hajui. Kumbe mashujaa wanaogopa kufa sio. Kweli wajukuu wamkosa nyumba huwa ndoto zao hazipishani na aliye liota shetani takatifu wanalo liabudu eti mungu wao
View: https://youtu.be/hE7eBJfgZDk?si=azca-jtd-MuPuDhB
Shujaa hata karatasi inamtetemesha huyu ndio shujaa.
Show show hadi uti wa mgongo uteguke.Noma sana!😂😂
Naona mkono wake wa kulia kashika kichupa cha mkongo!HHahah wazee wanapenda kufa hawa ili wakaopoe watoto wazuri
Bwana yao mmoja tayari ashajipatia totoz
Wao wapo mikorochini
View attachment 3129541
Wee jamaa ukifa ingia peponi moja kwa moja, masuala ya logistics niachie mimi nitakua mlangoniAhahahah weee jamaa jinga sana,,, kwetu pazur naskia na wenyew wanatutaman sana kujipima na sisi ,Kwa kwel tukapate mbegu mchanganyiko wa tz na kwetu pazur
Dah yani nasrallah hadi ana six packs na abs huko kuzimu.?HHahah wazee wanapenda kufa hawa ili wakaopoe watoto wazuri
Bwana yao mmoja tayari ashajipatia totoz
Wao wapo mikorochini
View attachment 3129541
Hakuna kitu, Gaza wametepeta vibaya.HIyo unit ya sayeret matkal ni balaa, kwakifupi wao ndio wana. perform zile impossible tough missions.
MAKONDOO N MENG KULIKO WACHUNGAJNETANYAHU AKBAR