Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
View attachment 3129371

"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara na wanamgambo wa Kipalestina ambayo ilitua Israel mwaka 1972, na kupigana katika vita vya Mashariki ya Kati vya 1973.

Image caption: Netanyahu (kulia) alikuwa nahodha wa kikosi cha makomandoo cha Sayeret Matkal.
View attachment 3129383

Mnamo 1976, kakake Bw Netanyahu, Jonathan, aliuawa akiongoza msako wa kuwaokoa mateka kutoka kwa ndege iliyotekwa nyara huko Entebbe, Uganda. Kifo chake kilikuwa na athari kubwa kwa familia ya Netanyahu.

Netanyahu alianzisha taasisi ya kupambana na ugaidi katika kumbukumbu ya kaka yake na mwaka 1982 akawa naibu mkuu wa ujumbe wa Israel mjini Washington"

MASHUJAA WENU:
View attachment 3129384

Wanapotea kwa maana ni haki yao kupotea. Wamesababisha vifo vya watu wengi kutokana na itikadi zao za kitapeli tapeli.
 
Kwamba kuuza mwani na vibua ni kazi za kishenzi? Kwamba ushujaa ni kuuza silaha za kivita na mabomu kwa njia ya reja reja? Kwamba meza za wauza pweza na ngisi zilipaswa ziuzie mabomu na makombora ili kurahisishia wateja wasifuate silaha hizo kwenye maduka rasmi?
NDIO
 
Tena sio yeye tu. Familia yao 3 brothers wote walikuwa commandos wa Matkal, hicho kikosi ni kama Seal Team kwa 6 kwa Marekani. Kaka yake alifia Entebe walipokuja kuokoa mateka wakati wa Idi Amin. Ndio maana wakiwaambia wananchi twende vitani, ni rahisi kueleweka. They know war, na wamelipa gharama.

Lile taifa ni jeshi lenye nchi, sio nchi yenye jeshi 😂😂😂

Ehud Barak former prime minister yeye naye alikuwa kikosi hicho hicho... Mission zake ni noma kuliko hata Netanyahu
Huu uzi mzuri na mtamu maamaee.

Nyau de adriz
 
Benja no gaidi kama magaidi wengine ... He is worse ... Kulipua hospitali..kuchoma moto wagonjwa wakiwa angali Hai
 
Hawa watu wa kanisani noma sana eti Benjamin Nyau Shujaa Hivi anajua mana ya Shujaa au hajui. Kumbe mashujaa wanaogopa kufa sio. Kweli wajukuu wamkosa nyumba huwa ndoto zao hazipishani na aliye liota shetani takatifu wanalo liabudu eti mungu wao


View: https://youtu.be/hE7eBJfgZDk?si=azca-jtd-MuPuDhB

Shujaa hata karatasi inamtetemesha huyu ndio shujaa.

Screenshot_20241004-113402.png


Moisemusajiografii Judah Tribe watubaikizie watoto hawa hahahha
 
Ahahahah weee jamaa jinga sana,,, kwetu pazur naskia na wenyew wanatutaman sana kujipima na sisi ,Kwa kwel tukapate mbegu mchanganyiko wa tz na kwetu pazur
Wee jamaa ukifa ingia peponi moja kwa moja, masuala ya logistics niachie mimi nitakua mlangoni
 
Kwenye hiyo picha ya chini Huyo netanyau mbona anaonekana kama anataka kukimbia yaani kakaa kiuoga uoga hakumkimbia kweli mwenzake? Wafia dini niacheni na comment yangu.
 
Kwenye hiyo picha ya chini Huyo netanyau mbona anaonekana kama anataka kukimbia yaani kakaa kiuoga uoga hakumkimbia mwenzake kweli? Wafia dini niacheni na comment yangu.
 
Back
Top Bottom