Naona hujaelewa, rudia kusoma.Kwa hiyo scholars wanafanya argument kama kwenye siasa kupiga kura kipi kiwekwe? Wakiweka mambo sio we utafuata kibubusa kwa sababu watu wamekubaliana?
Kwahiyo kwa akili zako za madrasa unaona watu wakifanya utafiti na kurekebisha walipokosea ni tatizo?Inaelekea hata maana ya contradictions haujui. Unakubali scholars walifanya kosa wamelirekebisha halafu unasema sio contradiction? Hivi unajielewa kweli?
Zipo nyingi zimerekebishwa. Hiyo niliyoweka moja wapo.
Ukiambiwa version mpya maana yake kuna vitu vimebadilishwa kwa kuondoa zile kasoro zilizokuwepo mwanzo.
Wewe ni mpuuzi. Wayahudi wanathibitisha kwamba Yeshua (Yesu Kristo) aliwahi kuishi Israel lakini hawamtambui mtu wa kufikirika anayeitwa issa.Hujielewi hakuna muarabu anayetambua yesu
Na sio waarabu tu hata waisraeli Hakuna anae mtambua YESU hawa sumbuki na kumfikiria kiumbe alie laaniwa
Sio bible translation ni Bible version usichanganye mamboKwahiyo kwa akili zako za madrasa unaona watu wakifanya utafiti na kurekebisha walipokosea ni tatizo?
Hata hivyo bible translation ipo open, yeyote anaweza kufanya. Hata waislam zipo zenu mmeandaa tunazifahamu.
Muda utakujibu, bahati mbaya itakuwa huzuni sana kwako.Haitotokea kumtafuta alie laaniwa dogo
Sio yesu bro ni yeshua usi wasingizie wenzioWewe ni mpuuzi. Wayahudi wanathibitisha kwamba Yeshua (Yesu Kristo) aliwahi kuishi Israel lakini hawamtambui mtu wa kufikirika anayeitwa issa.
KamweMuda utakujibu, bahati mbaya itakuwa huzuni sana kwako.
Ni bible translations kwasababu wanatumia original manuscripts.Sio bible translation ni Bible version usichanganye mambo
Yeshua ndio Yasu kule ambaye ndio masihi Yesu.Sio yesu bro ni yeshua usi wasingizie wenzio
Hakuna yahudi anae mjua yesu hakuna
Unapayuka kama illiterate Muhammad, full of ignorance.Sifikirii kueka akiba kwenye ukweli sina muda wa kumfikiria alie laaniwa
Hiyo juu yako ukweli lazima nikupe sina muda wa kumfikiria alie laaniwaUnapayuka kama illiterate Muhammad, full of ignorance.
YESU ni wakwako wewe wanae mjua ni yeshua na hawato kaa wakamtaja Yesu kwenye maisha yao yoteYeshua ndio Yasu kule ambaye ndio masihi Yesu.
Issa ni stori ya kitaa.
Unawapinga waandishi namna ulivyo juha wanakwambia version wewe kilaza una sema translation hakuna atakae kuelewaNi bible translations kwasababu wanatumia original manuscripts.
Kwahiyo issa hawamjui?YESU ni wakwako wewe wanae mjua ni yeshua na hawato kaa wakamtaja Yesu kwenye maisha yao yote
Unalazimisha sana. Andika na wewe translation yakoUnawapinga waandishi namna ulivyo juha wanakwambia version wewe kilaza una sema translation hakuna atakae kuelewa
Mtafute mwanahistoria Flavius Josephus anaelezea maisha ya Yesu Kristo miaka hiyo yupo Israel. Acha porojo nyepesi.Naandika kwa herufi kubwa HAKUNA YESU WANAE MJUA WA ISRAEL NA HAITO TOKEA WAKAMJUA
Kwa swali lako ishaonesha umekubali kua hawa mjui YesuKwahiyo issa hawamjui?
Mimi si lazimishi nakushangaa wewe unawapinga waandishi wako wabobevu wanasema version na hawaja kinzanaUnalazimisha sana. Andika na wewe translation yako