Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Muhammad aliyerogwa na kuwaletea aya za kufanya ufiraji.

FB_IMG_1665229518834.jpg

Imepokewa kutoka kwa Aisha:
Mtume (s.a.w.w.) aliendelea kwa kipindi fulani na vile akidhania kwamba amelala (amefanya ngono) na wake zake, na kumbe hakika hakufanya hivyo maana aliathiriwa na uchawi wa Lubaid bin Asam mtu wa Bani Zuraiq, kutoka uyahudi.

وردت من عائشة: استمر النبي صلى الله عليه وسلم لبعض الوقت في انطباع أنه نام مع زوجاته ، لكنه بالتأكيد لم يفعل ذلك لأن ضحية سحر لبيد بن عصام كان رجلاً من بني زريق ، وهو حليف. من اليهود.

Sahih al-Bukhari 6063 Juzuu ya 8,Kitabu Cha 73, Hadith 89.
 
Fungua uzi halafu tukupe maelezo zaidi kama utahitaji. Nimekupa basics lakini najua madrasa zimeshakuharibu hivyo mengine lazima tukazane sana ili uweze kuelewa.

Kwenye mada hii jibu maswali yaliyoulizwa.
Nilikuwa nakufundisha somo uache kuandika vitu hauna elimu navyo. Ukijibu kwa kupaniki mara nyingi sindano imeingia.
Ukisikia version ujue kuna kitu kimebadilishwa. Endeleeni kubishana naona hamna kazi za kufanya.
 
Watoto wa mjini watasema wewe ni mweupe kichwani. Umeonesha verse moja ambapo neno lililoondolewa ni "not" halafu unasema hiyo ni version mpya. Neno lenyewe limeondolewa kwasababu ya human error.
 
Kwahiyo uthibitisho wa kuaminika kwa muhammad ni hizo porojo za huyo mfaransa?

Mambo ya kisayansi yameiacha quran uchi. Kimekuwa kitabu cha kutupwa dampo.
Ulazima wa kuifuta huna hivyo hatuwezi kukusikiliza usie na elimu unao wakosoa mpaka wanasayansi kwa akili zako fupi sijui ulitaka wanasayansi wepi wakusaidie wewe ungesema Google nisaidie na sio wanasayansi na wataendelea kuisifu quran tukufu daima so wewe baki na maneno yako na wanasayansi wanabakia na maneno yao
Usiwasingizie wanasayansi kwa kitu usicho kijua
 
Watoto wa mjini watasema wewe ni mweupe kichwani. Umeonesha verse moja ambapo neno lililoondolewa ni "not" halafu unasema hiyo ni version mpya. Neno lenyewe limeondolewa kwasababu ya human error.

Madrasa ni utaahira mtupu kwa watoto unaodumu mpaka uzee wao na mbaya zaidi unawaingiza motoni.
Hapo umebakia ushindani na kukataa ukweli
Wenye akili wanasema version wew unasema erro Chizi wewe

Na msubirie alie laaniwa mwenzio huko

We chizi nakumalizia na
Mkiristo huyu
Annie Besant BRITISH THEOSOPHIST
And nationalists leader.

It is impossible for anyone who studies the life and character of the great Prophet of Arabia, who knows how he taught and how he lived, to feel anything but reverence for that mighty Prophet, one of the great messengers of the Supreme. And although in what I put to you I shall say many things which may be familiar to many, yet I myself feel whenever I re-read them, a new way of admiration, a new sense of reverence for that mighty Arabian teacher." [The Life And Teachings Of Muhammad, Madras, p. 4]
 
Unaowaweka ni ma stone kisser kama wewe usiongopee watu
 
Baadhi ya contradictions kwenye quran

1. Sura 19:67 inasema binadamu aliumbwa kutoka kwenye 'nothing' halafu Sura 15:28 inasema binadamu aliumbwa kutokana na udongo. Je udongo ni "nothing"?

2. Sura 5:90 inasema ulevi ni kazi ya shetani halafu sura 47:15 inasema ahera kuna mito ya mvinyo. Surah 83:22-25 inasema kiu ya watu wa haki itakatwa na mvinyo.

Allah kachanganyikiwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unafosi contradiction pole

Tushamalizana na nyinyi
 
It is impossible for anyone who studies the life and character of the great Prophet of Arabia, who knows how he taught and how he lived, to feel anything but reverence for that mighty Prophet, one of the great messengers of the Supreme. And although in what I put to you I shall say many things which may be familiar to many, yet I myself feel whenever I re-read them, a new way of admiration, a new sense of reverence for that mighty Arabian teacher." [The Life And Teaching
Umeshindwa kujibu maswali tangu mwanzo wa mada umeishia kuokoteza komenti za wazungu.
 
Bado majibu hakuna.
Jibu lipo hapo hapo.
soma vizuri uelewe! Au ndio msomi wa magazeti ya michezo kujua gool Ni ngapi kwa ngapi
Pasipokujua yalifungwaje! OK sawa ngoja nirudi nyuma.
Nimesema kua, Hapo ukichunguza vizuri Qur aan utagundua kua iko sehemu mbili
1 Ni damu ambavyo! Tena ujue bila damu mwili wa kibiolojia haujawa mwili.
Sasa 1 Stage Ni kupatikana kwa pande la damu ambalo ndio yai linalopatikana kwa mwanamke.
Yai hili linachomoka kutoka kwenye kokwa za mayai na uchomokaji huu andiko limeita tone la damu?
Hiyo Ni stage ya kwanza!
Hatua ya pili yai hili linakuja kukutanishwa na billions nyingi za mbegu!
Ambavyo Ndani yake kuna vile vitu vinne yaani Acid Protein Viruses non patheginic and Chromosome.
Kuna sehemu zingine(aya) za Qur aan zimetaja shahawa kama tone la manii.
Sasa hizo contains nne ndizo zinapo ingia kwenye hili pande la damu ( yai) ndio zenyeuwezo wa kubadiri hilo pande la damu kua kinyama na Hatua zingine zinazoendelea hadi kua kiumbe kingine!
Nikasema kwamba hivyo viambatisho kwenye Siemens kila kimoja kina kazi yake
Kama mjuavyo viruses zime contain DNA au RNA kwa ajili ya kubeba vinasaba
Na pia Chromosome kuna nuclear ambayo imebeba DNA ( vinasaba)na ndio hii inayoenda kukutana moja kwa moja na pande la damu hili(yai)
Na hii ndio inayokuja kuleta mabadiriko hayo yote. Kwa nguvu ya mungu mkuu asejulikana ila kwa matendotu.
Narudia Qur aan sio gazeti la kutafsiriwa moja kwa moja
Na ikumbukwe Duniani hakuna anaeweza kutafsiri lugha ya mungu ila mungu ndio anauwezo wa kutafsiri lugha za duniani
Zinazo patikana kama tafsiri Ni meditations za watu wenye vipawa Yesu Mommad na nk.
Niishie hapo walau kama hutoelewa ila kuna kitu utajifunza.
 
Alie laaniwa hatakiwi kwenye maisha yangu
Kuna hii issue ya jinsia ya mtoto hamkujibu kabisa 😂😂

Allah anasema maji ya mwanaume ni mazito na meupe (hapa kapatia) maji ya mwanamke ni membamba na ya njano (apa Muhammad alipiga demu mwenye ugonjwa wa zinaa) , anasema atakae pizi wa kwanza mtoto anafanana nae jinsia ,

"The Messenger of Allah (ﷺ) said: 'The man's water is thick and white, and the woman's water is thin and yellow. Whichever of them comes first, the child will resemble (that parent).'"Sunan an-Nasa'i 200
 
Sawasawa, kila la heri.. aidha umpokee Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wako au uangamie milele kwa allah kwenye mabikira 72.
Nyie bisheneni, ila sisi tunachojua yesu, wanaumme wenzie walimkanyaga kwa kujisingizia eti yeye ni Mungu.
 
Back
Top Bottom