Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Watoto wa mjini watasema wewe ni mweupe kichwani. Umeonesha verse moja ambapo neno lililoondolewa ni "not" halafu unasema hiyo ni version mpya. Neno lenyewe limeondolewa kwasababu ya human error.

Madrasa ni utaahira mtupu kwa watoto unaodumu mpaka uzee wao na mbaya zaidi unawaingiza motoni.
Uzuri wa new king james version imefuta upumbavu wakumwita son of God bali ni servant kwenye verse nyingi. Nimeikubali hapo. Imefuta upumbavu waliomezeshwa watu wengi. Kwa sababu lugha haujui itakusumbua sana. Kajifunze kwanza maana ya version kijana.
images (27).jpeg
 
Attachments

  • images (27).jpeg
    images (27).jpeg
    44.4 KB · Views: 4
Uzuri wa new king james version imefuta upumbavu wakumwita son of God bali ni servant kwenye verse nyingi. Nimeikubali hapo. Imefuta upumbavu waliomezeshwa watu wengi. Kwa sababu lugha haujui itakusumbua sana. Kajifunze kwanza maana ya version kijana.
View attachment 2381776
Ni kwamba mnataka kisema biblia hakuna original, Yani ni utunzi wa watu na kila mtu anatunga anavyojisikia au ? Siwaelewi mnavyokazana na version na kisema version sio translation

Inamaana ata ukikuta biblia bhn Yani ni watu wametunga na hakuna original source?
 
Hivi ni lini mnaenda kulibusu jiwe jeusi kule Maka ?
Naskia ndio linalo samehe dhambi zenu.
Linaitwa Aswadi.
 
Unataka wenzako wakalibusu jiwe jeusi pala walipo mvua nguo yesu wakamvisha nepi ya sanda, tena baada ya kumfirimba, mnaenda lini kupazuru.
 
Ni kwamba mnataka kisema biblia hakuna original, Yani ni utunzi wa watu na kila mtu anatunga anavyojisikia au ? Siwaelewi mnavyokazana na version na kisema version sio translation

Inamaana ata ukikuta biblia bhn Yani ni watu wametunga na hakuna original source?
Wewe una akili kweli? Unaelewa maana ya version?
 
Weka hapa kila mtu aone maana hamjui maana ya version.
Useme kabisa version gani unayoiamini wewe uchague.
Mwenzako kaanza kushambulia baada ya kujibu swali.
Nikupe utofauti. Nitakufundisha hadi kuangalia original manuscript na hizi version zingine.
Hizo 'difference' hauwezi kuziona kwa sababu ya weupe kichwani.
Hiyo ni link ya biblia na original language pamoja na transaction nyingi zilizofanyika Ina translate neno kwa neno kutoka lugha ya mwanzo

PART 2: Mkanganyiko Ndani ya Biblia.

Acha niende Straight kwenye Mada,

Ukisoma 2SAMWELI 24:1 na ukaja ukasoma 1MAMBO YA NYAKATI 21:1 unakuta ni Maandiko yanayofanana ila yamejichanganya na kuleta tafrani. Acha nizinukuu hizo Aya

2SAMWELI 24:1 Inasema,
2 Samweli 24:1-2 (Tena hasira ya Bwana ikawaka juu ya Israeli, akamtia Daudi nia juu yao, akisema, Nenda, ukawahesabu Israeli na Yuda.
Basi mfalme akamwambia Yoabu, jemadari wa jeshi la askari, waliokuwa pamoja naye, Zunguka sasa katikati ya kabila zote za Israeli, tangu Dani mpaka Beer-sheba, mkawahesabu watu, nipate kujua jumla ya hao watu.)

1MAMBO YA NYAKATI 21:1 inasema,
1 Mambo ya Nyakati 21:1-2 (Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli.
Basi Daudi akamwambia Yoabu, na wakuu wa watu, Nendeni kawahesabu Israeli toka Beer-sheba mpaka Dani; mkanipashe habari, nipate kujua jumla yao.)

Katika hizo Aya ni kitu kimoja isipokuwa changamoto na hoja ipo hapa, yani ukisoma 2SAMWELI 24:1 inaonyesha Mungu ndio anamtia Daudi nia akawahesabu watu alafu ukija kwa 1MAMBO YA NYAKATI 21:1 inaonyesha Shetani ndio anamshawishi Daudi ili akahesabu watu.

MASWALI 1
(1) KWANINI AYA YA KWANZA INAONESHA MUNGU NDIO ANAMTIA NIA DAUDI KUHESABU WATU NA AYA YA PILI INAONESHA SHETANI NDIO ANAMSHAWISHI DAUDI KUHESABU WATU WAKATI AYA ZOTE NI KITU KIMOJA?

(2) KATI YA 2SAMWELI 24:1 NA 1MAMBO YA NYAKATI 21:1, AYA IPI NI SAHIHI?

Pia ukisoma 2SAMWELI 8:4 na ukaja ukasoma 1MAMBO YA NYAKATI 18:4 ni mkanganyiko pia. Nanukuu,

2SAMWELI 8:4
2 Samweli 8:4 (Daudi akampokonya wapanda farasi elfu na mia saba na askari waliokwenda kwa miguu ishirini elfu; Daudi akawakata mshipa farasi wote wa magari, ila farasi wa magari mia akawasaza.

1MAMBO YA NYAKATI 18:4
1 Mambo ya Nyakati 18:4 (Daudi akampokonya magari elfu, na wapanda farasi saba elfu, na askari waendao kwa miguu ishirini elfu; Daudi akawakata mshipa farasi wote wa magari, ila wa magari mia akawaweka.

Mkanganyiko wa hizo Aya yani 2SAMWELI 8:4 na 1MAMBO YA NYAKATI 18:4 upo kwa wapanda Farasi.
2SAMWELI 8:4 inaonyesha idadi ya wapanda farasi waliopokonywa na Daudi ni elfu na mia saba(1700)
wakati kwa mujibu wa 1MAMBO YA NYAKATI 18:4 inaonyesha Daudi alipokonya wapanda Farasi Saba elfu(7000). Hapo utakuta Aya zinafanana ila ndani yake mambo ni tofauti mkanganyiko tu.

MASWALI
(3) 1700 na 7000 zinafanana?

(4) WAPANDA FARASI ALIOPOKONYA DAUDI KIUHALISIA WALIKUWA NI WANGAPI?

(5) KATI YA HIZO AYA, JE AYA IPI NI SAHIHI NA AYA IPI SI SAHIHI.

Kwaleo niishie hapa. Maana maswali ya kuhusu Bible yako Mengi na nikisema niyaandike yote yananichosha, kwa maana kuandika pia ni kipaji.

Naomba Championship , Mokiti , na Wakristo wengine majibu tafadhali.

Mwisho kabisa naomba kusema kwamba, nimesikitishwa na tukio la mimi kupigwa Ban katika uzi wangu nilouweka jana Alhamisi Tarehe 06/10/2022 majira ya saa 4 usiku katika jukwaa hili la Habari na Hoja Mchanganyiko uliokwenda kwa kichwa cha habari kilichosema “Aya hizi katika Biblia inanichanganya au labda tuseme ndio zimeharibiwa"

Nasikia sikia tu huo uzi bado upo ila umehamishiwa kwenye Jukwaa la Dini, lakini chakusikitisha nimejaribu kutafuta hilo jukwaa sijalipata bila mafanikio na uzi wangu huo sina access ya kuupata na pia unakataa kufinguka kwa upande wangu mimi. Itoshe kusema tu nimepigwa BAN.

Naomba Moderators wetu tusiwe tunafanya hivyo, tuwe taunabalance Mada kama kuna Mkristo kaweka Mada yake kwenye jukwaa hili la Habari na Hoja mchanganyiko na haijapigwa BAN basi na sisi Mada zetu ziachwe zisipigwe hiyo ban wala watu waidipigwe Ban

Nawasilisha
 
Naona na huu Uzi wangu mwingine wameniblock tena, sina uwezo wa kuufungua tena. Sasa sijui umehamishwa tena au imekuwaje. Lakini sasa hivi nikifunua haufunguki.
 
Ni kwamba mnataka kisema biblia hakuna original, Yani ni utunzi wa watu na kila mtu anatunga anavyojisikia au ? Siwaelewi mnavyokazana na version na kisema version sio translation

Inamaana ata ukikuta biblia bhn Yani ni watu wametunga na hakuna original source?
Unapewa na screen shot
 
Uzuri wa new king james version imefuta upumbavu wakumwita son of God bali ni servant kwenye verse nyingi. Nimeikubali hapo. Imefuta upumbavu waliomezeshwa watu wengi. Kwa sababu lugha haujui itakusumbua sana. Kajifunze kwanza maana ya version kijana.
View attachment 2381776
Kila siku nawaambia madrasa zinaharibu akili. Hizi verse hapa zipo kwenye NKJV

New King James Version (NKJV)

1 John 5:20
And we know that the Son of God has come and has given us an understanding, that we may know Him who is true; and we are in Him who is true, in His Son Jesus Christ. This is the true God and eternal life.

He who has the Son has life; he who does not have the Son of God does not have life.1 John 5:12

Whoever confesses that Jesus is the Son of God, God abides in him, and he in God. 1 John 2:23

Acha kufanya uongo kwa ajili ya allah.
 
Naona na huu Uzi wangu mwingine wameniblock tena, sina uwezo wa kuufungua tena. Sasa sijui umehamishwa tena au imekuwaje. Lakini sasa hivi nikifunua haufunguki.
Wewe unaonekana dhamira yako ni kushambulia ukristo ndio maana moderator anakupiga spana.
 
Wewe Umeanzisha hii kwa nia ipi, kama siyo kuubeza Uislamu.

Yesu akisema Mama yake kapata mimba bila ngono, inabaki kwenye imani hakuna kutafuta ushahidi wa kisayansi. Upumbavu tupu.
 
Back
Top Bottom