professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Swali je sayansi ina kubali kuhusu mwanamke kuzaa bila ya Baba.Hakuna sehemu biblia imeandika kuhusu kuzaliwa kwa Yesu Kristo kisayansi. Biblia ilizungumza kinabii kwamba bikira atabeba mimba.
Isaya 7:14 SRUV
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto wa kiume, naye atamwita jina lake Imanueli.