Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kifo cha kwenye bibilia kina potosha zaidi sciences
Mnasema Yesu kafa kazikwa na siku tatu baadaye kafufuka huu ni upotofu
Ki science.
Alafu wakati unajaribu kutafuta ufumbuzi wa kisayansi kuhusu Yesu

Utwambie ni mlima gani huo mrefu zaidi unaoweza kuiona dunia nzima nika talii huko

Kjv methew 4:8
Screenshot_20221010-115002.jpg
 
Kwanini unataka mlima ikiwa hata hujui falme zilipokuwa?
Swali rahisi sana je sciences ina kubali kwamba mimba inaweza kutunga bila mume na mke kufanya ngono au yai la mwanamke kurutubishwa na sperm?

A taja uo mlima mrefu ninao weza kuziona falme zote za Dunia?
Huna jibu waulize wanasayansi wako wakusaidie

Ukileta qoute haina jibu haita faa kitu.
 
Kila siku nawaambia madrasa zinaharibu akili. Hizi verse hapa zipo kwenye NKJV

New King James Version (NKJV)

1 John 5:20
And we know that the Son of God has come and has given us an understanding, that we may know Him who is true; and we are in Him who is true, in His Son Jesus Christ. This is the true God and eternal life.

He who has the Son has life; he who does not have the Son of God does not have life.1 John 5:12

Whoever confesses that Jesus is the Son of God, God abides in him, and he in God. 1 John 2:23

Acha kufanya uongo kwa ajili ya allah.
Zile nilizokuwekea umeziona. Kwa hiyo sasa hivi umehamia kwenye New King James Version ndiyo kwako sahihi? King James Version ina kasoro?
Hizo zitabadilishwa taratibu. Unadhani version zimeisha.
Hiyo new king james version imechapishwa 1982.
Kuna nyingine imetoka mpya 2021 nadhani haujui vitu gani vimerekebishwa.
 
Swali rahisi sana je sciences ina kubali kwamba mimba inaweza kutunga bila mume na mke kufanya ngono au yai la mwanamke kurutubishwa na sperm?

A taja uo mlima mrefu ninao weza kuziona falme zote za Dunia?
Huna jibu waulize wanasayansi wako wakusaidie

Ukileta qoute haina jibu haita faa kitu.
Unafahamu ufalme ni kitu gani?
 
Zile nilizokuwekea umeziona. Kwa hiyo sasa hivi umehamia kwenye New King James Version ndiyo kwako sahihi? King James Version ina kasoro?
Hizo zitabadilishwa taratibu. Unadhani version zimeisha.
Hiyo new king james version imechapishwa 1982.
Kuna nyingine imetoka mpya 2021 nadhani haujui vitu gani vimerekebishwa.
Pitia link uliyowekewa ambayo ina original manuscripts uache kusumbuka na translations. Ukiweza na wewe tengeneza version yako.
 
Back
Top Bottom