Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Onyesha mahali sayansi imepinga kuhusu Yesu.
Kwa mtu mwenye akili zake anaendelea kukuona ulivyo punguani aya soma ilo swali na hayo majibu yako
Screenshot_20221010-092814.jpg
 
Mnashinndwa kumtetea njiti wenu Dah poleni

onesha basi weledi wako wa kisayansi kuhusu kushika mimba Binti Mary.

Au nikupe na vituko vingine vya bibilia kuhusu sayansi.
Bado nasubiria uonyeshe sehemu sayansi imepinga kwamba Yesu Kristo hakuzaliwa kimuujiza.
 
Bado nasubiria uonyeshe sehemu sayansi imepinga kwamba Yesu Kristo hakuzaliwa kimuujiza.

Huu ni uzi ulio waita wanasayansi

Nakukumbusha tu Usikimbie swali hapa atuzungumzii muujiza usijizime Data nafahamu ujuha wako kwa mujibu wa wanasayansi kuhusu mimba wanasema hivi

The sperm enters the body through the vagina, then travels through the cervix and womb to the fallopian tubes, where the egg is usually fertilised (conception). The egg can be fertilised by sperm contained in semen or pre-ejaculate.

Aya twambie sperm za nani zime muingia mary mpaka akashika mimba na kumzaa mtoto?
Na je hilo lina wezekana kisayansi la mwanamke ashike mimba bila ya kungonoka au kurutubishwa yai kwa sperm?

Biblia inatwambia Mary kashika mimba bila ya kukutana na mwanaume hapo sayansi imeipinga bibilia

Sikupi maswali mengi mnatabia ya kujifanya matahira wa kusahau jibu hilo kwanza.
 
Tutabishana tu Hadi dunia iishe la maana hamna kilamtu afate na moyo wake na Imani yake hakuna Pepo ya makundi kilamtu ataingia Kwa mema yake na Mungu ni mmoja tu
 
Tutabishana tu Hadi dunia iishe la maana hamna kilamtu afate na moyo wake na Imani yake hakuna Pepo ya makundi kilamtu ataingia Kwa mema yake na Mungu ni mmoja tu
Kitabu kilichoandika uongo hakiwezi kumfikisha mtu katika hatma nzuri.
 
Quran imeanza kuandikwa miaka 42 kabla muhammad aanze kusema ametembelewa na jibril mapangoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aya tuoneshe huo uongo wako

Tupe Majibu hapa usikimbie

Yesu kazaliwa bila ya Mary kutiwa
Utwambie kisayansi

Kama inawezekana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom