Nyie ndio mlikuja manataka kubadili koran na kubadili maelezo ya Muhammad
Maswali yamesimama hayana majibu page ya 110 leo
23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa
damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba
pande la nyama kuwa mifupa, na
mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka
Allah Mbora wa waumbaji.
- Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
- Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
- Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
- Mifupa inakuja kuvikwa nyama
Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?
N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the
drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644