Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Acha ubabaishaji jibu swali kwanini uzalio wa Yesu unapingana na wanasayansi
Na tulisha waambia sisi ufanyaji kazi wa Allahu hatuna mashaka nao
Ila mkaja wataalamu mkatwambia quran ina makosa ina pingana na science
Sasa nataka nione hii bibilia ambayo haijapingana na science ina nipa majibu
Unamwamini Muhammadi ?
 
Nyinyi jadilianeni mkimaliza wewe motik champion mnipe majibu
Maswali yetu hamjotao majibu ,

23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
  1. Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
  2. Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
  3. Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
  4. Mifupa inakuja kuvikwa nyama
Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?
N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
 
Nyinyi hangaikeni mkimaliza mniambie sayansi gani inakubali mwanamke anaweza kupata ujauzito bila Ngono au kupata sperm za kurutubisha yai?
 
Hili swali mbona ulitakiwa uanze wewe kulijibu , kwa character wenu anaitwa Isa?
Hahahaha unajua kwanini siku wajibu

Teari mshasema kua quran haijui sayansi
So hata mkijibiwa mnahisi kama mnaonewa tu kwa sababu mlishaandaa majibu yenu

Aya sasa mtupe maelezo ya sayansi yanayo ikubali bibilia tafadhali

Ili kuoneshea ubora wenu wa bibilia

Emu tupeni ufafanuzi wa kisayansi kuhusu ubebaji mimba wa mary
 
Na kama tukiamua kujibu sisi
Si tunalijibu bila shaka

Emu tupeni ufafanuzi wa kisayansi kuhusu ubebaji mimba wa mary
Unatakiwa ulijibu kwa kutumia isa kwanza , koran nyie ndio mnadai ina sayansi na hatuwabishii ila tunahoji sayansi mnazozileta
 
Hahahaha angalia sasa unashindwa kumtetea Mr Njiti kisayansi

Na nilimuomba ndugu yako anitajie mlima mrefu ninao weza kusimama na kuziona falme za Dunia hii naona kanikimbi au bibilia imeniongipea
 
Kuna mada yoyote inasema biblia na sayansi ?

Koran mpaka video mmetengeneza maelfu kuongelea sayansi iliyomo
 
Kama video ulisha ziona na wanasayansi hawaku andamana kuzipinga nyinyi akina nani mkaleta tafsiri mnazo zijua nyinyi ili kupinga

Tena mbaya zaidi mkazikataa na video zote mlizo pewa

Bila ya sababu za msingi

Nikawa namuona na champion nae analazimisha anavyo taka yeye

Sasa ili nikuelewe hapa

Tuletee ushahidi wa kisayansi kuhusu uyo Njiti wenu mimba yake ilitungwaje kisayansi.

Usisahau na mlima mrefu huko nikatalii
 
Kama video ulisha ziona na wanasayansi hawaku andamana kuzipinga nyinyi akina nani mkaleta tafsiri mnazo zijua nyinyi ili kupinga

Tena mbaya zaidi mkazikataa na video zote mlizo pewa

Bila ya sababu za msingi
Nyie ndio mlikuja manataka kubadili koran na kubadili maelezo ya Muhammad
Maswali yamesimama hayana majibu page ya 110 leo

23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
  1. Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
  2. Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
  3. Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
  4. Mifupa inakuja kuvikwa nyama
Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?

N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
 
Hahahaha unajua kwanini siku wajibu

Teari mshasema kua quran haijui sayansi
So hata mkijibiwa mnahisi kama mnaonewa tu kwa sababu mlishaandaa majibu yenu

Aya sasa mtupe maelezo ya sayansi yanayo ikubali bibilia tafadhali

Ili kuoneshea ubora wenu wa bibilia

Emu tupeni ufafanuzi wa kisayansi kuhusu ubebaji mimba wa mary
Quran kuandika mambo ambayo ni ya uongo kwa mujibu wa sayansi inathibitisha kwamba mwandishi wa hicho kitabu hawezi kuwa Mungu aliyeumba mbingu na nchi.

Kwahiyo imani yenu ni kazi bure na hatma yenu ni moto wa milele.
 
We hangaika ukimaliza unipe jina la mlima nikatalii
 
Quran kuandika mambo ambayo ni ya uongo kwa mujibu wa sayansi inathibitisha kwamba mwandishi wa hicho kitabu hawezi kuwa Mungu aliyeumba mbingu na nchi.

Kwahiyo imani yenu ni kazi bure na hatma yenu ni moto wa milele.
Yani huna hata kapicha kamoja cha kumtetea njiti wako
Aloo
 
Nyie ndio mlikuja manataka kubadili koran na kubadili maelezo ya Muhammad
Maswali yamesimama hayana majibu page ya 110 leo

23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
  1. Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
  2. Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
  3. Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
  4. Mifupa inakuja kuvikwa nyama
Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?

N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
Mlipewa maana kamili na video za kisayansi na chakushangaza kati yenu nyie na wanasayansi wepi walitakiwa kuzipinga video
 
Back
Top Bottom