Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Quran imeweka sayansi za porojo za mtaani enzi zile na sasa hivi kila siku mnahangaika kuzitetea na kutunga maana mpya za maneno yaliyotumika.
Tuka kwambia tuletea mtaalamu wako wa lugha ili aikatae maana hukumleta wewe nani unakataa maana ikiwa wataalam wa lugha hawaja pinga

Tupe kisayansi kuhusu Njiti mimba ilitungwaje
 
Tuka kwambia tuletea mtaalamu wako wa lugha ili aikatae maana hukumleta wewe nani unakataa maana ikiwa wataalam wa lugha hawaja pinga
Jibuni haya maswali:

1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.

2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.

3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.

4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.

5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana

6. Sperm kutokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.

7. Ushahidi kutoka Israel kuonesha kwamba issa aliwahi kuishi huko
 
Quran imeweka sayansi za porojo za mtaani enzi zile na sasa hivi kila siku mnahangaika kuzitetea na kutunga maana mpya za maneno yaliyotumika.
Wewe lazimisha utakavyo ukimaliza utupe sasa kilicho accurate kwenye biblia kuhusu mimba Mary aliibebaje pasi na kushirikishwa kwa sperm ndani yake
 
Tumewaonesha vitabu vyenu na link tumewapa lakini mmevipinga mbele za watu na kuvikana
Ulivyo juha ungeonesha neno halisi kama limebadilishwa tafsiri ni juhudi za elimu katika kutafsiri neno la Allahu

Wewe ukataka tutumie tafsiri ulizo ziona wewe

Hivi hicho ulicho kiona kwenye web ndio tulikwambia tumekaa waislamu wote duniani tukapitisha hiko tu.
 
Jibuni haya maswali:

1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.

2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.

3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.

4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.

5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana

6. Sperm kutokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.

7. Ushahidi kutoka Israel kuonesha kwamba issa aliwahi kuishi huko
Wewe huna akili wala elimu tupe mwanasayansi anasema kua miaka 42 kabla ya Mohammedi ndio manuscript imeandikiwa?
 
568 AD ndio zilianza kuandikwa na muhammad alianza kukabwa mapangoni 610 AD kwahiyo kuna miaka 42 hapo ilikuwa inaandikwa bila kuhusika muhammad.
 
Hahahah muongo ni kati ya miaka hii 568 mpaka 645

Wewe unatenganisha 568 tu uyo alie kwambia hivyo ni nani au unajisahaulisha au unajizima Data ndio maana nakwambia unalazimisha unacho taka wewe

Kila kitu unapingana nacho unavyo onesha huna elimu

Wenzio wanasema ni kati ya miaka 568 mpaka 645 wewe unatenganisha

Yani wewe hauko ki elimu

Nitajie mlima

Na Njiti wako mama yake alipataje mimba
 
Ulivyo juha ungeonesha neno halisi kama limebadilishwa tafsiri ni juhudi za elimu katika kutafsiri neno la Allahu

Wewe ukataka tutumie tafsiri ulizo ziona wewe

Hivi hicho ulicho kiona kwenye web ndio tulikwambia tumekaa waislamu wote duniani tukapitisha hiko tu.
Ulikuwa unaleta nukuu zako tukitaka uweka wapi umetoa unakwepa , yani ni kwamba wewe ndie skola wa waislamu na unamaandiko yako
 
Nukuu ulipewa na zilipo tolewa pia ila mlikua mnaji kwepesha kuaangalia nukuu zime toka wapi

Vipi na video nazo ulikuwa unataka kujua zimetoka wapi
 
Wewe ukataka tutumie tafsiri ulizo ziona wewe
Embu tuanze na moja moja
Allah alisema mbegu zinatoka kwa kuchupa kutoka uti wamgongo wa mwanaume na mbavu za mwanamke ,
embu engia kwenye link alalfu utoe nondo za kueleweka kuelezea hilo

86:7 issuing from between the loins of the man and the breast-bones of the woman.

Nukuu ulipewa na zilipo tolewa pia ila mlikua mnaji kwepesha kuaangalia nukuu zime toka wapi

Vipi na video nazo ulikuwa unataka kujua zimetoka wapi
Lazima tujue ni skola gani , kama ni skola wa 2000 kuja leo hakubaliki anadanganya kulingana na wakati
 
Alie kwambia kua mlango wa kutafsiri quran umefungwa ni nani?

Pia tuka kwambia una tatizo na maana ya maneno tunayo yatoa mlete mtaalamu wako wa lugha anae ipinga hiyo maana husika

Tuko hapa tunayo ijua lugha ya kiarabu.
 
Embu tuanze na moja moja
Allah alisema mbegu zinatoka kwa kuchupa kutoka uti wamgongo wa mwanaume na mbavu za mwanamke ,
embu engia kwenye link alalfu utoe nondo za kueleweka kuelezea hilo

86:7 issuing from between the loins of the man and the breast-bones of the woman.

Ume nipa link nakupa maana ya maneno hapa chini
Utwambie sasa sio yenyewe hiyo [emoji116][emoji116]
Screenshot_20221011-145124.jpg

Hapo juu inaonyesha ni namna gani ulivyo iokoteza tafsiri.
 
Ume nipa link nakupa maana ya maneno hapa chini
Utwambie sasa sio yenyewe hiyo [emoji116][emoji116]View attachment 2383596

Hapo juu inaonyesha ni namna gani ulivyo iokoteza tafsiri.
Usiweke ma copy tu

hii link ingia kaisome uje na nondo za kueleweka
maswali nakupa
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea

Back
Top Bottom