professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Tuka kwambia tuletea mtaalamu wako wa lugha ili aikatae maana hukumleta wewe nani unakataa maana ikiwa wataalam wa lugha hawaja pingaQuran imeweka sayansi za porojo za mtaani enzi zile na sasa hivi kila siku mnahangaika kuzitetea na kutunga maana mpya za maneno yaliyotumika.
Tupe kisayansi kuhusu Njiti mimba ilitungwaje