Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Acha ubabaishaji hiyo sio translation hayo ni maelezo
maswali bado yapo
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
 
Umeelewa nilichokuandikia au umekimbilia tu kujibu? Lugha ya hovyo ipi hapo? Nimekupa statement of fact.

Umeweka link ya Vatican ambayo ina vitabu vingine sio sehemu ya cannon. Onyesha manuscript gani imebadilishwa katika vile vitabu 66 tangu vilipowekwa kama biblia.
Ndiyo shida ya kulelewa mazingira ya ovyo. Unaandika lugha za ovyo hauzioni?
Nitajie kwanza manuscript unazozijua wewe ambazo biblia ikiunganishwa inatimia tofauti kati ya Codex vaticanus na Codex Sinaiticus. Unabisha vitu ambavyo hauvijui bila kufanya uchunguzi.
Mwanzo ulibisha version ya nyuma haina makosa imeboreshwa lugha baadae ukakubali kuna makosa yamerekebishwa.
Unatakiwa ukijadili hoja usiwe kigeugeu.
 
Acha uswahili kijana. Original manuscripts haziwezi kubadilika. Wanaofanya translation wakikosea wako huru kubadilisha kwasababu kinachobadilika ni kwenye ile lugha nyingine lakini sio original manuscripts.
 
maswali bado yapo
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Sio web ya waislamu hiyo!

Unaweza ukaniambia waislamu walikutana wapi wakaa ianzisha iyo web
 
Kwanini ulikataa na ukasema kua kwenye version hakuna mabadiliko
 
Nimekupa maswali marahisi Sana unayakwepa kuyajibu kwa makusudi
Nimeweka mwanazuoni mpaka nukuu, wewe unasema tu wanazuoni na hutaji jina wala link ya hao wanazuoni, Nita debate na wewe kama utajibu maswali niliyokupa na kuacha janja janja
Aya imekuja na imetafsiriwa kinacho fata kwenye maelezo ni namna gani mtu alivyo elewa
 
Sio web ya waislamu hiyo!

Unaweza ukaniambia waislamu walikutana wapi wakaa ianzisha iyo web
Sawa umeikataa web ya waislamu, mbele za watu , sasa kazi ndogo nakupa nipe web ya waislamu unayoitambua wewe ambayo ni official kwa waislamu kuacha hao wakristo waliojifanya waislamu
Umekiri Royal Aal al-Bayt Institute for Islamic Thought, Jordan. Ni chuo Cha wakrito wakijifanya waislamu
 
Ulitaka nijibu unavyo taka wewe
Ngoja nikufundishe lugha
Ulipo ambiwa web sio ya waislamu ue unaelewa sio una taka majibu ya hovyo
Web zipo za kiislamu na sio waislamu
Ili jambo liwe la wote
Mnapaswa kushiriki katika jambo hilo

Hivyo web yoyote ile ina weza kua ni ya kiislamu lkn sio ya waislamu

Na kwenye web kinacho andikwa ni mawazo ya mtu kuhusu jambo fulani na haikatazwai

Sasa unacho taka wewe maelezo ndio yawe tafsiri ya quran

Hapo ndipo unakosea

wanazuoni wanaanza kutoa tafsiri rasmi halafu kinacho fuata ni
Mawazo ya kila mmoja.
 
Umekiri wazi Royal Aal al-Bayt Institute for Islamic Thought, Jordan. Ni chuo Cha wakrito wakijifanya waislamu

Nimekuomba utupe web rasmi ya waislamu ukiacha hiyo ya wakristo
 
Umekiri wazi Royal Aal al-Bayt Institute for Islamic Thought, Jordan. Ni chuo Cha wakrito wakijifanya waislamu

Nimekuomba utupe web rasmi ya waislamu ukiacha hiyo ya wakristo
Alafu unavyo zidi kua juha jina linajieleza ila Wewe uelewi

Soma. Haya maneno. ISLAMIC THOUGHT.

Wakati unasoma hayo maneno uje u mtetee njiti wako kuhusu mama yake kubeba mimba kisayansi.
 
Alafu unavyo zidi kua juha jina linajieleza ila Wewe uelewi

Soma. Haya maneno. ISLAMIC THOUGHT.
Vizuri kwa Kukuweka kingi umejibu swali la kwanza kwa kusema ndio , sasa jibu swali la pili
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
 
Vizuri kwa Kukuweka kingi umejibu swali la kwanza kwa kusema ndio , sasa jibu swali la pili
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Hauja muweka mtu king wewe bado mdogo sana

Nakujibu tena sio ya waislamu

Na najua unaogopa kuuliza je ni ya kiislamu maana unajua tofauti.
Na kama hujui nikufundishe tena
Ila bahati mbaya watakao soma comment hizi wata wacheka sana maana maswali mawili mpaka sasa hamja yajibu
Tena ni mawili tu

Na kama hujui maana ya hili neno nikufundishe ISLAMIC THOUGHT.
 
Una play gimnastik unajifanya wewe ni mjuzi kuliko chuo kizima
Kwangu huwezi unatakiwa ujibu maswali , la kwanza ulisha kubali sasa endelea
2 .Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
 
Una play gimnastik unajifanya wewe ni mjuzi kuliko chuo kizima
Kwangu huwezi unatakiwa ujibu maswali , la kwanza ulisha kubali sasa endelea
2 .Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Hahahah umefosi tukosee yani pole Majibu unayotaka Wewe

Ona kutoka kwenye Link ulio nipa tafsiri mwenyewe ili ufahamu nini namaanisha

Jibu la ndiyo ni la kwako ilo

Nimekupa screen shot ili ujione
Screenshot_20221011-224628.jpg

Au ndio utasema nina Edit
 
Hahahah umefosi tukosee yani pole Majibu unayotaka Wewe

Ona kutoka kwenye Link ulio nipa tafsiri mwenyewe ili ufahamu nini namaanisha

Jibu la ndiyo ni la kwako ilo

Nimekupa screen shot ili ujione
View attachment 2384138

Au ndio utasema nina Edit
Sio wakristo tena wenye hiyo website 😂😂😂😂

Sasa hapo unauwanza Moana leta kama watano na Tafsir kama 3 tu
 
Sio wakristo tena wenye hiyo website [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hapo unauwanza Moana leta kama watano na Tafsir kama 3 tu
Wewe jichekeshe ukimaliza nipe jins mama wa Njiti alivyo pata mimba ya Uyo Njiti wenu bila sperm kuhusishwa

Nataka nondo za sayansi tafsiri ya aya kwako nisha maliza labda kama unataka kung'ang'ania hapo ili upoteze lengo. La mada
Tafsiri ziko nyingi zinazo kubaliana na nilicho andika awal ulitaka tafsiri na jina la scholar
Nikakupa tafasir ukasema hiyo copy uiamini
Ukajifanya hamnazo ukaeka link unayo iamin kutoa tafsiri.
nikakupa tena kupitia link uliyo weka mwenyewe tafsiri inayo kubaliana na tafsiri ya kwanza.

Baada ya kuona unashindwa unataka uongezewe idadi ya tafsiri.
Mpaka hapo ina zidi onesha namna mlivyo wajinga Ndio maana watu kama nyinyi mnavishwa jitu la hovyo kwenye shingo zenu alafu mnaambiwa ndio Mungu
Na namuona siku hizi yuko tiktok anaji selfie
Mpaka hapo naona huna jipya wala sita rudia kuhusu aya hii jibu maswali tuendelee na mada.

Zamu yako sasa kuyajibu maswali mawili tu nilio kuuliza
1. Kwa mujibu wa bibilia yesu alipelekwa katika mlima mrefu unao weza kuziona falme zote za Dunia hii Je ni mlima gani
Kama huu ujui watafute watu wa jiografia wakusaidie?
2. Bibilia inasema Njiti Yesu kazaliwa wakati mama yake kashika mimba bila ya kufanya ngono na mwanaume yeyote wala kupata sperm zilizo weza kurutubisha yai la mwanamke
Je sayansi inakubaliana na kauli hii kama aikubaliani wewe huoni hapo kua bibilia ni utopolo inazungumzia mambo ambayo ki uhalisia aiwezikani?
 
Yani wee hujawai kuulizwa uka jibu
My Lord and saviour Jesus Christ went in hell for me. Kila mwanadamu anastahili kwenda kuzimu lakini ukombozi upo kwa kila atakayeamini kile Yesu alifanya msalabani.

My future is certain in Christ. Yesu alikufa na akafufuka ili mimi niweze kuishi. Siku inakuja ambapo sisi tulioweka imani na tumaini letu kwake tutakuwa na asubuhi iliyo njema, siku ya unyakuo.

Oh upendo wake ni wa milele na upo kwa ajili yako. Neema yake ipo kwasasa lakini siku inakuja itakuwa imepita. Njoo kwa Yesu njoo ili uwe kiumbe kipya, ya kale yote yatapita, tazama yatakuwa mapya
 
Back
Top Bottom