Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #2,221
Unajua falme zote zilikuwa maeneo gani kipindi hicho?Aya tupe jina lake mlima alio ona falme zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua falme zote zilikuwa maeneo gani kipindi hicho?Aya tupe jina lake mlima alio ona falme zote
maswali bado yapoAcha ubabaishaji hiyo sio translation hayo ni maelezo
Ndiyo shida ya kulelewa mazingira ya ovyo. Unaandika lugha za ovyo hauzioni?Umeelewa nilichokuandikia au umekimbilia tu kujibu? Lugha ya hovyo ipi hapo? Nimekupa statement of fact.
Umeweka link ya Vatican ambayo ina vitabu vingine sio sehemu ya cannon. Onyesha manuscript gani imebadilishwa katika vile vitabu 66 tangu vilipowekwa kama biblia.
Acha uswahili kijana. Original manuscripts haziwezi kubadilika. Wanaofanya translation wakikosea wako huru kubadilisha kwasababu kinachobadilika ni kwenye ile lugha nyingine lakini sio original manuscripts.Ndiyo shida ya kulelewa mazingira ya ovyo. Unaandika lugha za ovyo hauzioni?
Nitajie kwanza manuscript unazozijua wewe ambazo biblia ikiunganishwa inatimia tofauti kati ya Codex vaticanus na Codex Sinaiticus. Unabisha vitu ambavyo hauvijui bila kufanya uchunguzi.
Mwanzo ulibisha version ya nyuma haina makosa imeboreshwa lugha baadae ukakubali kuna makosa yamerekebishwa.
Unatakiwa ukijadili hoja usiwe kigeugeu.
Yani wee hujawai kuulizwa uka jibuUnajua falme zote zilikuwa maeneo gani kipindi hicho?
Sio web ya waislamu hiyo!maswali bado yapo
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Kwanini ulikataa na ukasema kua kwenye version hakuna mabadilikoAcha uswahili kijana. Original manuscripts haziwezi kubadilika. Wanaofanya translation wakikosea wako huru kubadilisha kwasababu kinachobadilika ni kwenye ile lugha nyingine lakini sio original manuscripts.
Aya imekuja na imetafsiriwa kinacho fata kwenye maelezo ni namna gani mtu alivyo elewaNimekupa maswali marahisi Sana unayakwepa kuyajibu kwa makusudi
Nimeweka mwanazuoni mpaka nukuu, wewe unasema tu wanazuoni na hutaji jina wala link ya hao wanazuoni, Nita debate na wewe kama utajibu maswali niliyokupa na kuacha janja janja
Sawa umeikataa web ya waislamu, mbele za watu , sasa kazi ndogo nakupa nipe web ya waislamu unayoitambua wewe ambayo ni official kwa waislamu kuacha hao wakristo waliojifanya waislamuSio web ya waislamu hiyo!
Unaweza ukaniambia waislamu walikutana wapi wakaa ianzisha iyo web
Ulitaka nijibu unavyo taka weweSawa umeikataa web ya waislamu, mbele za watu , sasa kazi ndogo nakupa nipe web ya waislamu unayoitambua wewe ambayo ni official kwa waislamu kuacha hao wakristo waliojifanya waislamu
Umekiri Royal Aal al-Bayt Institute for Islamic Thought, Jordan. Ni chuo Cha wakrito wakijifanya waislamu
Umekiri wazi Royal Aal al-Bayt Institute for Islamic Thought, Jordan. Ni chuo Cha wakrito wakijifanya waislamuUlitaka nijibu unavyo taka wewe
Ngoja nikufundishe lugha
Ulipo ambiwa web sio ya waislamu ue unaelewa sio una taka majibu ya hovyo
Web zipo za kiislamu na sio waislamu
Ili jambo liwe la wote
Mnapaswa kushiriki katika jambo hilo
Hivyo web yoyote ile ina weza kua ni ya kiislamu lkn sio ya waislamu
Na kwenye web kinacho andikwa ni mawazo ya mtu kuhusu jambo fulani na haikatazwai
Sasa unacho taka wewe maelezo ndio yawe tafsiri ya quran
Hapo ndipo unakosea
wanazuoni wanaanza kutoa tafsiri rasmi halafu kinacho fuata ni
Mawazo ya kila mmoja.
Alafu unavyo zidi kua juha jina linajieleza ila Wewe uelewiUmekiri wazi Royal Aal al-Bayt Institute for Islamic Thought, Jordan. Ni chuo Cha wakrito wakijifanya waislamu
Nimekuomba utupe web rasmi ya waislamu ukiacha hiyo ya wakristo
Vizuri kwa Kukuweka kingi umejibu swali la kwanza kwa kusema ndio , sasa jibu swali la piliAlafu unavyo zidi kua juha jina linajieleza ila Wewe uelewi
Soma. Haya maneno. ISLAMIC THOUGHT.
Hauja muweka mtu king wewe bado mdogo sanaVizuri kwa Kukuweka kingi umejibu swali la kwanza kwa kusema ndio , sasa jibu swali la pili
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Una play gimnastik unajifanya wewe ni mjuzi kuliko chuo kizimaNakujibu tena sio ya waislamu
Na najua unaogopa kuuliza je ni ya kiislamu maana unajua tofauti.
Na kama hujui nikufundishe tena
Ila bahati mbaya watakao soma comment hizi wata wacheka sana maana maswali mawili mpaka sasa hamja yajibu
Tena ni mawili tu
Na kama hujui maana ya hili neno nikufundishe ISLAMIC THOUGHT.
Hahahah umefosi tukosee yani pole Majibu unayotaka WeweUna play gimnastik unajifanya wewe ni mjuzi kuliko chuo kizima
Kwangu huwezi unatakiwa ujibu maswali , la kwanza ulisha kubali sasa endelea
2 .Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Sio wakristo tena wenye hiyo website 😂😂😂😂Hahahah umefosi tukosee yani pole Majibu unayotaka Wewe
Ona kutoka kwenye Link ulio nipa tafsiri mwenyewe ili ufahamu nini namaanisha
Jibu la ndiyo ni la kwako ilo
Nimekupa screen shot ili ujione
View attachment 2384138
Au ndio utasema nina Edit
Wewe jichekeshe ukimaliza nipe jins mama wa Njiti alivyo pata mimba ya Uyo Njiti wenu bila sperm kuhusishwaSio wakristo tena wenye hiyo website [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hapo unauwanza Moana leta kama watano na Tafsir kama 3 tu
My Lord and saviour Jesus Christ went in hell for me. Kila mwanadamu anastahili kwenda kuzimu lakini ukombozi upo kwa kila atakayeamini kile Yesu alifanya msalabani.Yani wee hujawai kuulizwa uka jibu