Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Even though ribs and backbone are higher above, but it is used as a reference to find a center.

This is similar to when we normally say that our head is between our shoulders, when head is actually above shoulders.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 This is comedy. Mohamed needs to be arrested.
 
Hizo ni translation tu, original manuscripts ni zile zile. Translation zinakwenda sambamba na ukuaji wa lugha.
Yes na hapo ndipo uliambiwa pia tafsiri ya quran sio moja
Ila mkasema tuna edit tafsiri
Sasa unaonaje hapo na mimi nianze kubisha au

Kinacho angaliwa ni neno halisi kua limebadilika kama ni hapana basi hakuna shida
Nadhani utakuwa umeelewa
Ili huu mjadala uishe

Na kama utaendelea kuleta ligi we sema tu
Ili nianze kukataa tena kama ilivyokuwa ukizikataa baadhi ya tafsiri za quran
Ulizo kua ukipewa

Ingawa kuna tofauti kubwa kati yako na huyo jamaa
Mokit
Inaonesha mwenzio yupo kwa kubisha tu hanaga haja ya hoja na hii ikafikia wakati nawewe ukafuata mkumbo

Mara zote tafsiri ni juhudi ya mwanadamu ili kugundua lengo la Mungu
Hivyo kila mmoja anaweza kueka juhudi ila asichupe mipaka ya neno halisi
 
Kutoka damu iliyoganda mpaka leech ni safari ndefu sana. Hapo sio tafsiri mpya bali mmeleta utetezi kuiokoa quran.
Haya tuletee ushahidi wa kua hiyo sio tafsiri ya neno ulilo pewa nakupa home work mimi ni mtaalamu wa lugha ya kiarabu kutokea
Asili yake
Mtafute Mtaalamu yoyote yule wa lugha ya kiarabu alafu aikatae hiyo maana nakusubiri
Hapa

Wewe huijui hivyo utaishia kubisha tu mtafute Mtaalamu wako yoyote.
Aje hapa

Nikupe faida tu kua lugha ya kiarabu ni lugha tajiri zaidi kuliko lugha yoyote Duniani

Alafu hiyo sio tafsiri mpya
 
Hiyo leech mmeanza kuitumia baada ya kumlipa dr moore aitetee quran. Haikuwepo kabisa kwenye tafsiri zenu za miaka kabla ya 2000.
 
Hiyo leech mmeanza kuitumia baada ya kumlipa dr moore aitetee quran. Haikuwepo kabisa kwenye tafsiri zenu za miaka kabla ya 2000.
Umeona unataka kuuleta ule ubishi wa kidini na sio elimu
Nimekupa home work na ikiwa wenye lugha hawaikatai maana aya twambie wewe ambaye hujui hata kuiombea maji nani ata kusikiliza

Kama utaanza kunipotezea muda nitaachana na wewe

Alafu tutajie tulimpa kiasi gani huyo dr moor
 
Umeona unataka kuuleta ule ubishi wa kidini na sio elimu
Nimekupa home work na ikiwa wenye lugha hawaikatai maana aya twambie wewe ambaye hujui hata kuiombea maji nani ata kusikiliza
Unakubali kwamba hiyo tafsiri imewekwa baada ya moore kutoa matamko?
 
Unakubali kwamba hiyo tafsiri imewekwa baada ya moore kutoa matamko?
Pumbavu tunawajibu kipumbavu vilevile

Ulikuwepo wakati tafsiri inatengenezwa na Dr moor

Ndio maana hua tunasema hamna elimu nyinyi wala akili

Mnashikiwa na wapumbavu wenzenu
 
Pumbavu tunawajibu kipumbavu vilevile

Ulikuwepo wakati tafsiri inatengenezwa na Dr moor

Ndio maana hua tunasema hamna elimu nyinyi wala akili

Mnashikiwa na wapumbavu wenzenu
Vipi mbona umepaniki na kuanza kutoa povu? Tulia kijana kama upo madrasa vile.

Hiyo tafsiri ya leech imeanzishwa na Moore miaka ya 2000s baada ya kuitwa kule Saudi Arabia na kupewa mpunga mrefu.

Kama unabisha leta hapa ushahidi wa kuwepo kwa hiyo tafsiri kabla ya Moore.
 
Wewe ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote duniani hivi lugha ya kiarabu ina Zungu mzwa saudia tu

Mngoje mpumbavu mwenzio alie laaniwa aje akupe nchi zina Zungu mzwa kiarabu

Na ulivyo chizi kwa sababu nyinyi mnawategea waingereza tu.
 
Wewe ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote duniani hivi lugha ya kiarabu ina Zungu mzwa saudia tu

Mngoje mpumbavu mwenzio alie laaniwa aje akupe nchi zina Zungu mzwa kiarabu
Maswali marahisi lakini majibu ni matusi. Sasa ukimaliza matusi ulete ushahidi wa uwepo wa hilo neno kabla Moore hajalipwa kulianzisha kwenye tafsiri zenu.
 
Maswali marahisi lakini majibu ni matusi. Sasa ukimaliza matusi ulete ushahidi wa uwepo wa hilo neno kabla Moore hajalipwa kulianzisha kwenye tafsiri zenu.
Tuambie wewe kua nani kakuambia kua ni neno lililo anzishwa na moor

Alafu ili nisikuone chizi na wakristo wenzio nitajie mlima mrefu kuliko yote duniani ukisimama unaweza ona falme zote za Dunia kwa mujibu wa bibilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…