Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia hizi scenario 3 afu toa majibu kuhusu MWANA WA MUNGU NI YUPI HASA.

1. ADAM ALIZALIWA/KUUMBWA BILA KUTOKA KWA BABA WALA MAMA yaan yeye uumbaji wake haukuhusisha kiumbe kinachoitwa binadamu

2. EVA/HAWA ALIZALIWA/KUUMBWA KUTOKA UBAVUNI MWA ADAM. Huyu uumbwaji wake ulitokana na BABA TU, yeye pekee ndio alizaliwa kutoka kwa BABA tu dunia nzima hii.

3. YESU ALIZALIWA/KUUMBWA KUTOKA KWA MAMA. Huyu alitokana na UCHUNGU wa mama kama tulivyo sisi wote hapa Duniani. Huyu ndio binadamu wa mwisho kubalance scenario za uumbwaji usio na shaka.


Mungu alifanya hivi ili kuondoa upumbavu wa watu ambao wangeweza kumuita mmoja wapo wa hao kuwa ni MUNGU au MTOTO wa MUNGU. Maana kubwa ya Mungu ni kwamba kabla hujaamua kumuita kiumbe fulani kuwa ni MUNGU fikiria hao wengine namna walivyoumbwa. Ukijua namna walivyoumbwa utaacha kabisa kumuita Binadamu yeyote yule kuwa ni MUNGU.

SWALI LA MSINGI KWAKO, NI KIPI KIKO SO SPECIAL KWA YESU KUMUITA MUNGU/MWANA WA MUNGU UKILINGANISHA NA ADAM na EVA??
 
Acha upotoshaji. Sperm zinatokea kwenye testes.
Utaelewa tu kuwa Quran Haina shida ila vichwa vyenu na umbumbu wenu ndio unawasumbua

Katika Testes inatengenezwa sperm cell sio sperm final product ya sperm ambayo inauwezo wa kutungushisha mimba inatoka hapo katika green color Seminal vesicle

It means ukiidaka sperm inayotoka Katika katika Testes kabla haijafika katika Seminal vesicle hiyo sperm inakuwa Bado haijakamila haiwezi kutungisha mimba

We dogo Hauna uwezo wa kuichaleng Quran wameshindwa watu walio kuwa watu itakuwa wewe
 
Wanao kataa kua isa siyo yesu pia wakatae kua yesu sio huyo wanae muhubiria moja hakuna bibilia ya kiyunani au kiebraniaa inayo mtambua Yesu kwa maandishi ya hizo lugha zilizotoka huko na kama ni Utete wa kusema kua kutohoa nyinyi waswahili tu ndio mna haki ya kutohoa na sio nchi nyingine
Na lugha hizo ndizo zina asili ya hiyo Dini aya leteni vihoja vyenu
 
Aliyekwambia nasubiri ukristo uanguke NI Nani?? But since umeongea hivo nakujibu the same rule applies to you,,kama mnasubiri uislam uanguke mtasubiri Sana,,Kwa vitimbi vyenu lkn uislam upo imara Kwa uwezo WA Allah,,,
Hlf hakuna mambo ya kikristu ktk uislam ya kutengana huo upuuzi upo huko kwenu Kwa hiyo huo mfano kwangu NI batili,,,,
Hlf sheria gani unayoizungumzia wewe kua wakristu MNA sheria moja?? Sio nyie mnaosema hampo Chini ya sheria,,hao kina Martin Luther na hao wengine wote wanapingana wenyewe Kwa wenyewe Kila MTU ana roho wake anayemuongoza kivyake unless uniambie MNA roho watakatifu zaidi ya mmoja na kama NI hivo basi utatu na ufe maana utakua Baba,,MWANA na maroho watakatifu wasio na idadi na bibilia inamtambua roho mtakatifu mmoja SASA hao wengine wanaongozwa na Nani mpk wanakinzana,,,
Ukristu kuepo Karne na Karne sio hoja hata uyahudi ulikuepo kabla ya ukristu na upo Hadi leo kwa hiyo hata ukristo utakuepo Hadi mwisho ili siku ya hukumu ijulikane wakina Nani waliishi ktk ukweli na WA kina Nani waliishia ktk uzushi WA kuwazushia mitume na Mungu uongo,,,
Ukija kwenye Ku convert watu wewe ndo mfinyu WA kufikiri kabisa,,,chukua tarakimu za idadi ya waislam walio convert bara la ulaya,,,nimesema ulaya maana wao ndo waliobobea ktk ukristu,,upagani na chuki dhidi ya waislam,, hlf uje na ushahidi ktk idadi hiyo NI idadi kiasi gani waliconvert Kwa mapanga,,,kondoo WA mchungaji nasubiri mrejesho wa waliosilimu Kwa upanga bara la ulaya,,,
 
,unlike yesu whom you claim to be God then he died,,the highest blasphemy you people made up,,how can God die,,who ruled the world for three days alizokUa ktk ulimwengu WA wafu??
Abdool Nakukanya wewe na ndugu zako
Unapokuja kwa wakristo usilete nature ya mungu wako Allah
Allah ni physical being creature
Jehovah ni spirit

Usirudie tena kusema Mungu anakufa nenda kamuelimisha na mpuuzi Alie kulisha ujinga
 
Acha Isa awe Isa na story zake ziwe ndani ya koran kwa Nini mpo so desperate kuingiza character wenu kwenye bible

Kuna Abdool mmoja mpaka akasema Muhammad yupo kwenye song of Solomon
 
Abdool Nakukanya wewe na ndugu zako
Unapokuja kwa wakristo usilete nature ya mungu wako Allah
Allah ni physical being creature
Jehovah ni spirit

Usirudie tena kusema Mungu anakufa nenda kamuelimisha na mpuuzi Alie kulisha ujinga
Et nakukanya,,who are you utukanye,,narudia tena,,,Mungu wenu yesu alikufa Kwa siku tatu akaenda ktk dunia ya wafu,,,na kama unaona NI ujinga basi wajinga NI nyie wenyewe Kwa kusema kwenu yesu NI Mungu,,hlf tena alikufa,,haya nimerudia tena call police,,hovyo kabisa awe spirit au physical being Kwani Sisi ndo tulioanzisha kusema Yesu NI Mungu,,au yesu alikufa huo upuuzi na ujinga kama ulivouita si mnaishi nao nyie Kila siku SASA unapanic nini au unamtishia Nani?? Empty head
 
Ujinga NI kuamini Jesus Kwa matamshi ya wazungu ndio yesu Kwa matamshi ya waswahili na ndio Esau WA wayahudi Ila Sio ISA Kwa matamshi ya waarabu,,,Kwa akili yako ulitaka waarabu wamuite vipi huyo yesu wenu ndo wawe wamemtaja yesu?
Yesu jina lake kikwao ni Yeshua. Hapo ndio kiswahili tukatohoa Yesu na waingereza wakaita Jesus. Tuletee ushahidi kwamba Yeshua ndio huyo issa kwa kiarabu.

Maskin amepata mshtuko WA Moyo hakutarajia kukutana na kifungu kama hicho kwenye bibilia yake amebaki kujichekea Tu ,,haya kama sio yesu aliyetajwa hapo kumbe ni Nani???
Unajiongelea mambo usiyoyaelewa. Tena hizo verse hata shetani alitumia akimjaribu Yesu na akashindwa. Ni upumbavu wa mapangoni kuitumia hiyo mistari kwenye utetezi wako.
Wenzako walishaacha kuzitumia hizi aya maana zinamwacha Allah akiwa uchi. Wanazikimbia na hawataki kuziona. Nadhani wewe mgeni wa mji.

Hizi aya zinaonesha namna ambavyo Allah ni mdanganyifu. Kawadanganya wayahudi kwa kumtoa issa na kumweka jamaa mwingine anayefanana exactly na issa. Sasa inashangaza ni kwanini tena awalaumu kwa kuamini kwamba yule alikuwa issa.
Wewe ni wale waislamu oya oya wanaoshangilia kwenye midahalo na kushinda madrasa wakikariri.

Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kila mwamini na biblia inapatikana kila mahali na mtu yeyote anaweza kuisoma.
 
Kwahiyo ktk hilo bandiko lako hapa kuwa Mungu ndiyo Yesu
Umeelewa vizuri kabisa, Yesu Kristo ndiye Mungu aliyeumba vyote unavyoviona na usivyoviona. Amemuumba hata huyo allah mnayemuabudu japo aliasi mbinguni akatupwa.
 
Nakukanya tena
mungu wako Allah ni physical being creature, kama angekuwa yeye angekufa

Mungu Jehovah ni spirit, human flesh ya Yesu ndio iliyo kufa ,
 
Na champion amekataa maandiko yake yote kwenye biblia moja kagoma kusema kua yesu kajaribiwa pili kagoma kukubali kua zabuli imekataa kusulubiwa kwa yesu tatu kakataa kua Paulo ni mtukanaji bali pia kamsapoti kua ametenda sawa
Maandiko yote ya biblia nayakubali.
Yesu alijaribiwa, wapi nimekataa? Zaburi ya 91 inazungumzia divine protection, haina uhusiano na kusulubiwa kwa Yesu. Paulo hajamtukana mtu, ameelezea jambo kwa hekima ya juu ambayo watu wanaokariri mambo madrasa hawawezi kuielewa.
 
Msaidie Allah , damu iliyoganda anawezaje kukaa ndani ya mwanamke kwa siku 40?
Sijui ni kitu gani kinawatatiza hapo au nk wingi wa ujinga tu, hiyo damu iliyoganda ilikuwa katika mfuko maalauma wa kuitunza. Ni kama vile wabeba unga wanakuwa na vipaketi vya unga matumboni mwao kwa masiku kadhaa
 
Huna content et ulaya waislam wangap umewaconvert,,,ulaya unaijua unaiskia nasikitika kukwambia sina muda wa kuongeza lolote hapa nenda kawaconvert majiran zako mabudha ndo uje tuone tunashughulika vp na Europe
Ww ndo huna content uliyeona kuconvert watu NI big deal ndo maana ukaanzisha hiyo mada hujui hata wapagani wanaconvert watu Kwa kuwafanya waache kuamini Mungu,,,umenianza hlf nimekupiga na kitu kizito unajifanya huna Muda WA KUONGEZEA lolote as a coward as you are,,,Mimi hata nisipo mconvert yeyote haina effect kwangu maana sio jukumu langu na sitaulizwa idadi ya niliowaconvert siku ya hukumu lkn ww umeona NI big deal,,,nijibu SASA wangapi Hilo ulaya walioconvert Kwa mapanga,,,mnachojua NI kuzua mkiulizwa ushahidi mnakimbilia sina Muda,,Ila Muda WA kuanzisha chokochoko mnao,,
 
Umeelewa vizuri kabisa, Yesu Kristo ndiye Mungu aliyeumba vyote unavyoviona na usivyoviona. Amemuumba hata huyo allah mnayemuabudu japo aliasi mbinguni akatupwa.
🀣🀣🀣 Kwahyo mungu wako aliuwawa na watu aliowaumba?
 
Sijui ni kitu gani kinawatatiza hapo au nk wingi wa ujinga tu, hiyo damu iliyoganda ilikuwa katika mfuko maalauma wa kuitunza. Ni kama vile wabeba unga wanakuwa na vipaketi vya unga matumboni mwao kwa masiku kadhaa
Damu mfu ipo ndani ya mwanamke, alafu inakuja kuwa skeleton πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…