Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Nimekuambia WALIO-PROMOTE UKRISTO DUNIANI...

Hao wote ni Wanafunzi wa Yesu, miongoni mwa Wayahudi WACHACHE ambao waliikubali Injili, na walichofanya ni kuhubiri Injili maeneo ya jirani lakini sio WALIOSAMBAZA UKRISTO DUNIANI!!

Wayahudi wengi waliukana Ukristo na ndo maana hadi kesho pale Israel Wakristo ni Wachache sana, na majority ni WAARABU na sio WAYAHUDI
Kipindi kile hayo maeneo niliyokutajia ndio ilikuwa dunia. Wanafunzi wa hao mitume waliendeleza injili mpaka ikafika dunia nzima. Wao walianzisha na wengine wakaendeleza.
 
Mungu kwa wakristo nature yake ni Roho ,
Ule ni mwili alioutumia

1 TIMOTHY 3:16
And beyond controversy, great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen by angels, preached unto the Gentiles, believed on in the world, received up into glory.
Haya ni majibu ya Kijinga kama ujinga mwingine. Unatakiwa kujibu sayansi inasemaje, siyo uniandikie Timothy unanikubu ujinga huku ukijua mimi siyo muumini wa bibilia.
 
One of the fundamental teachings of Islam and one which every Muslim cultivates in his heart is that of brotherhood and equality of human beings……….!!!!!!!

Since Islam considers the diversity of people and nature as God’s creation, respect for diversity is commanded. Especially noted in the Qur’an are “People of the Book”, namely Jews and Christians, who were always given a special place in Muslim society……….!!!!!!!


Muslims are commanded to safeguard their right to worship and their places of worship, a command that has been historically followed, as is evidenced by the existence of old churches and synagogues throughout the Muslim world in places like Turkey, Palestine, Jordan, Syria, and Bosnia. Contrary to the common stereotype, Islam was not “spread by the sword”, nor people forced to convert, a fact again borne out by the existence of non-Muslim populations throughout the Muslim world……….!!!!!!!!

This same respect and tolerance was extended to people of other faiths…….!!!!!!!

Muslims believe that the Holy Prophet Muhammad(sa)was sent as “a Mercy for all the worlds’’……….!!!!!!!!!


U dont have any points brother…….your words are filled with hates with ZERO FACT arguiging with an empty mind Brother like u is such a waste of time[emoji1787][emoji1787][emoji1787]……!!!!!!!

Go and read Islam……..then come here with facts………!!!!!!!!

Dont be silly and over emotional……Cheers[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]

Big brain,thank you for represenation
 
Kauli ya Paulo haikuwa na tatizo lolote. Ni kauli iliyojaa hekima.
No sisemi mimi sema tu ukweli je Mungu ana chembe hata ya upumbavu na je Mungu anachembe hata ya udhaifu kama jibu ndio basi paulo yuko sahihi na kama siyo basi Paulo atakua kakupa boko hapo
 
Lete procedure hapa za uumbaji sio unaongea tu kuna mtu hapa alikwambia unapo leta mada ue unauwezo wa kuleta usahihi wake wewe huo usahihi wake pia huu leti inamaanisha pia upo kiushindani na si elimu so huna jibu mpaka sasa linalo kutosheleza
Procedure za kutunga mimba hamna kitu kama sperm kugeuka damu iliyoganda wala nyama kugeuka mifupa.
 
Haya ni majibu ya Kijinga kama ujinga mwingine. Unatakiwa kujibu sayansi inasemaje, siyo uniandikie Timothy unanikubu ujinga huku ukijua mimi siyo muumini wa bibilia.
Abdool sorry sikujua wewe ni mfuasi wa mutah
 
Lete ushahidi wa madai yako haya.
Paulo kaleta stori za nyumbani kwenye kitabu cha Mungu
Screenshot_20221002-132338.jpg
 
Biblia imemuachia mwanadamu ajifunze elimu mbalimbali na ndio maana Mungu amewapa wanadamu akili.

Mungu hakuelezea namna ya kutengeneza magari au ndege ila aliweka kila kitu available, ni suala la mwanadamu kujishughulisha na kuvumbua.
Hujanijibu ipasavyo.

Ndo maana ikaja quran,kitabu cha mwisho kilicho weka kila kitu sawa.
 
😂😂😂 Allah ni chizi majina katunga yeye kamwambia Adam tu , alafu anawauliza Malaika kama wanajua , anajisifu kuwa yeye anajua Siri za mbinguni na duniani kwa kujua majina aliyotunga mwenyewe , Muhammad kwenye verse hiyo wakati anaitunga Kuna kinywaji kikali alikunywa


Kama yeye ni mjuzi Kwa Nini asiwaambie Malaika watunge majina alafu yeye ayataje ?
Kazi yangu nimemaliza. Ukiwa mjinga na muongo na malizana na wewe kwa ushahidi na hoja zenye nguvu.

Uje na ujinga mwingine tena, nikutie adabu kama hivi.
 
Back
Top Bottom