Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Walimpinga wazi wakamwambia kwa Nini unatengeneza kiumbe ambacho kita shed blood, Allah akatoa Boko 😂😂 akasema nitajieni majina ya vitu Yani majina kayaweka yeye alafu anasema Malaika wamtajie 😂😂😂
Nimecheka sana kijana. Haya ndiyo matatizi ya kujifunza Uislamu mtandaoni kwa wasio ujua Uislamu.

Maongezi baina ya Allah na Malaika yalikuwa hivi, Kisha onyesha Hilo Boko ewe Mfuasi wa Paulo Mpagani.

Anasema Allah mtukufu :

30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.

31. Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli.

32. Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe. Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima.

33. Akasema: Ewe Adam! Waambie majina yake. Basi alipo waambia majina yake alisema: Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni na za duniani, na ninayajua mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha? (al-Baqarah :30-33)
 
Kinywaji ulichotumia jana usiku usikitumie tena maana leo angalau unaongea mambo yanayoeleweka.

Nikurekebishe kidogo, imani ya kikristo imeenezwa na wayahudi walioamini kwenye maeneo ya Israel, palestina, uturuki, Syria, ugiriki, rumi, misri, Algeria, libya na morocco. Watu kama Paulo, Barnabas, Petro na mitume wote wa mwanzo walikuwa wayahudi. Hivyo sio sahihi kusema kwamba walioeneza injili sio wayahudi.

Mfumo rasmi wa imani ya wayahudi pale yerusalemu na viunga vyake walimkataa Yesu Ingawa aliendelea kuwa na ushawishi mkubwa kwa raia wa kawaida. Pamoja na kwamba viongozi hao wa dini walipata habari kutoka kwa walinzi wa kaburi kwamba Yesu alifufuka lakini bado waliamua kushupaza shingo.

Kwahiyo miaka ya baadae kwasababu mfumo rasmi ulimkataa Yesu, ndio maana mitume waliendelea kuhubiri na kusambaza neno kwenda maeneo mbalimbali. Wakati bado mtume Paulo yuko hai tàyari kanisa lililokuwa antiokia (iliyopo syria) lilikuwa ni kanisa kubwa kuliko lililokuwepo yerusalemu kwasababu huko Syria hapakuwa na persecution.

Baadae headquarters za kanisa zilikuwa Alexandria pale Egypt na baadae kuwa rumi (ambayo ilikuja kuwa corrupt sana) ambao mpaka leo wameshikilia mfumo wa kitaasisi wa dini ya catholic.

Josephus ambaye alikuwa mwanahistoria mzuri ameandika sana kuhusu Yesu Kristo tangu kuzaliwa, huduma yake, kuhukumiwa, kusulibiwa, kufa, kuzikwa, kufufuka na kupaa kwa Yesu na hii ni nje ya maandishi ya wakristo.

Hata hivyo mpaka muda huu haujaleta uthibitisho wowote wa jamaa anayeitwa issa kuishi ndani ya Israel.
Huelewi!!!

Nimekuambia Ukristo haukuwa promoted duniani na Wayahudi... sasa hayo maelezo yako ndo yanaonesha ulikuwa promoted na Wayahudi!!

Hao uliowataja ni Wayahudi?!
 
Usitake kujua elimu yangu ila kama wewe ni educate man kweli, na unapingana na maelezo ya quran, unatakiwa kuja na kitu mubadala kinachoonyesha usahihi wa hilo jambo na sio kupingapinga tu kibubusa
Itakuwa uneishia shule ya msingi tena hukumaliza darasa la Saba , ungemaliza usinge uliza ulicho uliza
 
Hapo hoja iko wazi hata usome mstari upi huwezi ukafikia kumtukana Mungu
Hamna mahali Mungu ametukanwa. Kinachoelezwa hapo ni kwamba wayunani walikuwa wanataka hekima na wayahudi walikuwa wanataka ishara.

Wote kwa pamoja wakawa wanaona wokovu kwa njia ya imani hauwapi yale waliyodhani wanayataka. Wakasema wokovu kwa kumwamini Yesu ni upumbavu.

Ndio sasa Paulo anawaambia upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

Endelea kupata darasa maridhawa hapa.
 
Kwanza unatakiwa kukubali kuwa andiko limesema tone la manii iligeuka kuwa damu iliyoganda na sio tone la manii iliingia na kukaa kwenye damu ilioganda kama ulivyotaka kupotosha ktk bandiko lako
Jibu hoja zilizoainishwa hapo uache kujificha.
 
Muislamu katika maisha yake anafundishwa strictly kukariri quran tangu madrasa na mara nyingi anafundishwa kuupinga ukristo (kimsingi mafundisho mengi ya quran yanapinga ukristo directly).

Namna bora ya kumfumbua macho muislamu ni kwanza kumuonesha udhaifu wa kitabu alichokariri tangu utoto wake. Tunafanya hivyo bila kumdhalilisha mtu. Tunajikita kuonesha makosa mazito ya kwenye quran ili muanze kuihoji.

Hapo sasa tunakuletea habari njema ya wokovu nawe unaupata uzima wa milele.

One love, amani iwe nawe.

Hakuna kupigwa kama hutaki kumiliki,kuchukua ama kufatwa. Umesema waislam wanafunzwa kupinga kwaiyo inawauma sisi kupinga na kufwata tunayoamini mnataka kila mtu awe mkristo, dini nyingi ndizo hufata waislamu maana wanaamini wao ndo wako sahihi kwanini waslam wao wakue zaidi kati wao ndo wako sahihi(kwa mtizamo wao) icho ndo kinawauma na ndo kimewafanya mue na madhehebu lukuki na kuliacha amri mlizo paswa kufuata na kutafuta suruhu za madhehebu lukuki mnayopingana nyinyi kwa nyinyi na mnafata waislam.

sisi kazi yetu ni KUPRESERVE, KURUN NA KUPROTECT tulichonacho ila nyinyi ndo kinawauma.
 
Sasa unajua alipoinua macho yake alikuwa anaangalia kimwili au kiroho? Ili uzione mbingu unapaswa kuwa umekaa mahali penye malango ya mbinguni.

Hizo ni specific places hapa duniani ambapo kuna portals za kuweza kuona mbinguni. Yakobo siku moja alilala mahali penye portal na akaiona ngazi ikielekea mbinguni na malaika walikuwa wakishuka na kupanda.

Mwanzo 28:12 BHN
Aliota ndoto, na katika ndoto hiyo, aliona ngazi iliyosimamishwa duniani na ncha yake inafika mbinguni. Malaika wa Mungu walikuwa wakipanda na kushuka katika ngazi hiyo.

Ninaamini ndugu yangu unapata darasa zuri hapa. Bwana Yesu akupe neema uupokee wokovu.
Una zidi kuni Aminisha kua ukristo ni dini ya kufikirika hapo unazungumzia ndoto wakati pale yesu akainua macho kuelekea mbinguni akiwa na kiwiliwili kabisa unacho fanya wewe ni kukataa maandiko basi sina somo napata hapo kwa kutumia ndoto wewe vipi hizo si muvi kabisa hizo
 
Nimecheka sana kijana. Haya ndiyo matatizi ya kujifunza Uislamu mtandaoni kwa wasio ujua Uislamu.

Maongezi baina ya Allah na Malaika yalikuwa hivi, Kisha onyesha Hilo Boko ewe Mfuasi wa Paulo Mpagani.

Anasema Allah mtukufu :

30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.

31. Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli.

32. Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe. Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima.

33. Akasema: Ewe Adam! Waambie majina yake. Basi alipo waambia majina yake alisema: Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni na za duniani, na ninayajua mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha? (al-Baqarah :30-33)
😂😂😂 Allah ni chizi majina katunga yeye kamwambia Adam tu , alafu anawauliza Malaika kama wanajua , anajisifu kuwa yeye anajua Siri za mbinguni na duniani kwa kujua majina aliyotunga mwenyewe , Muhammad kwenye verse hiyo wakati anaitunga Kuna kinywaji kikali alikunywa

Kama yeye ni mjuzi Kwa Nini asiwaambie Malaika watunge majina alafu yeye ayataje ?
 
Quran 86 – 7

Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

We ndio mkristo wa kwanza kukubali kuwa Muhammad hapa alisema kweli
Kuwa sperm zinatoka hapo ila unasema amekopi Hippocrates

Nikikudai ushahidi kuwa mtume Muhammad alikopi hautaweza kunipa

Maana mtume Muhammad alikuwa hajui kusoma Wala kuandika kabla ya kuletewa ufunuo Sasa kama alikuwa hajui kusoma Wala kuandika lugha yake ya kiarabu ndio ataweza kupekuwa mavitabu yaliyo andikwa kigiriki
Kwahiyo wewe unakubaliana na muhammad kwamba sperms zinatokea kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
 
Hamna mahali Mungu ametukanwa. Kinachoelezwa hapo ni kwamba wayunani walikuwa wanataka hekima na wayahudi walikuwa wanataka ishara.

Wote kwa pamoja wakawa wanaona wokovu kwa njia ya imani hauwapi yale waliyodhani wanayataka. Wakasema wokovu kwa kumwamini Yesu ni upumbavu.

Ndio sasa Paulo anawaambia upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

Endelea kupata darasa maridhawa hapa.
Sio jibu la hekima ilo alilo litoa we huoni kua hapo Paulo Hana hekima hata kidogo
 
Kwahiyo wewe unakubaliana na muhammad kwamba sperms zinatokea kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
Jitahidi kua unajibu maswali ndio maana unakua kila utakalo sema unaulizzwa swali kwa sababu hujibu swali au ujawahi kufundishwa namna ya kujibu maswali
 
Huelewi!!!

Nimekuambia Ukristo haukuwa promoted duniani na Wayahudi... sasa hayo maelezo yako ndo yanaonesha ulikuwa promoted na Wayahudi!!

Hao uliowataja ni Wayahudi?!
Nani katika hao niliowataja sio myahudi? Hivi unajua kwamba wayahudi walikuwa wamesambaa maeneo yote ya mashariki ya kati kipindi kile?

Hata Paulo pamoja na kwamba ni myahudi lakini nyumbani kwa baba yake ilikuwa ni Tarsus ambayo ipo uturuki ya sasa? Sasa sio Paulo aliyeipeleka injili mpaka ulaya?

Petro mwenyewe aliwahi kuhubiri mpaka ulaya. Tomaso alihubiri India, Filipo alihubiri Ethiopia, Andrea alifika mpaka Iraq na iran. Wote hawa ni wayahudi sasa sijui unaposema sio wao waliopromote ukristo unamaanisha nini.
 
Mtu anataka kukutana na maneno kama cells, tissue, fertilization, ovulation kweny kitabu kilichoandikwa miaka 1500 iliyopita[emoji28]. Inashangaza sana[emoji2][emoji23]
 
Sio jibu la hekima ilo alilo litoa we huoni kua hapo Paulo Hana hekima hata kidogo
Ngoja nikupe mfano rahisi uuelewe.

Wewe ukiniambia mimi mafundisho yangu ni upumbavu halafu nikakujibu, "upumbavu wangu una hekima kuliko kauli zako." hapo itamaanisha nimekubali kwamba mimi ni mpumbavu?
 
Mtu anataka kukutana na maneno kama cells, tissue, fertilization, ovulation kweny kitabu kilichoandikwa miaka 1500 iliyopita[emoji28]. Inashangaza sana[emoji2][emoji23]
Kinachoshangaza ni kwamba Allah ndio anaelezea mambo hayo ya utungaji mimba kimakosa.

Kwamba Allah aliumba lakini hajui procedure za uumbaji.🤣🤣🤣
 
Ngoja nikupe mfano rahisi uuelewe.

Wewe ukiniambia mimi mafundisho yangu ni upumbavu halafu nikakujibu, "upumbavu wangu una hekima kuliko kauli zako." hapo itamaanisha nimekubali kwamba mimi ni mpumbavu?
Ndio umeukubali maana hapo haitaondoa uhalisia sasa alafu pili unajua kati yako na Mungu kuna hitaji kua na mipaka na ndio maana wayahudi walikuwa hawakubaliani na ishara za hao watu kwa sababu hapa tunaona kabisa hata paulo kashindwa kutambua cheo cha Mungu wake na yeye na jibu jepesi tu kua hakuna hekima lazima ufahamu huyu ni nani na napaswa kumtolea mfano upi mimi wewe tuko sawa na Mungu
Sasa angalau ange jibu hivi hapana Mungu sio mpumbavu na anahekima sana alafu anatoa hiyo mifano ya hiyo hekima au kasahau yesu alivyo kua anawajibu hao ndugu zake au yeye hakujaribiwa
 
Nani katika hao niliowataja sio myahudi? Hivi unajua kwamba wayahudi walikuwa wamesambaa maeneo yote ya mashariki ya kati kipindi kile?

Hata Paulo pamoja na kwamba ni myahudi lakini nyumbani kwa baba yake ilikuwa ni Tarsus ambayo ipo uturuki ya sasa? Sasa sio Paulo aliyeipeleka injili mpaka ulaya?

Petro mwenyewe aliwahi kuhubiri mpaka ulaya. Tomaso alihubiri India, Filipo alihubiri Ethiopia, Andrea alifika mpaka Iraq na iran. Wote hawa ni wayahudi sasa sijui unaposema sio wao waliopromote ukristo unamaanisha nini.
Nimekuambia WALIO-PROMOTE UKRISTO DUNIANI...

Hao wote ni Wanafunzi wa Yesu, miongoni mwa Wayahudi WACHACHE ambao waliikubali Injili, na walichofanya ni kuhubiri Injili maeneo ya jirani lakini sio WALIOSAMBAZA UKRISTO DUNIANI!!

Wayahudi wengi waliukana Ukristo na ndo maana hadi kesho pale Israel Wakristo ni Wachache sana, na majority ni WAARABU na sio WAYAHUDI
 
Ndio umeukubali maana hapo haitaondoa uhalisia sasa alafu pili unajua kati yako na Mungu kuna hitaji kua na mipaka na ndio maana wayahudi walikuwa hawakubaliani na ishara za hao watu kwa sababu hapa tunaona kabisa hata paulo kashindwa kutambua cheo cha Mungu wake na yeye na jibu jepesi tu kua hakuna hekima lazima ufahamu huyu ni nani na napaswa kumtolea mfano upi mimi wewe tuko sawa na Mungu
Sasa angalau ange jibu hivi hapana Mungu sio mpumbavu na anahekima sana alafu anatoa hiyo mifano ya hiyo hekima au kasahau yesu alivyo kua anawajibu hao ndugu zake au yeye hakujaribiwa
Kauli ya Paulo haikuwa na tatizo lolote. Ni kauli iliyojaa hekima.
 
Kinachoshangaza ni kwamba Allah ndio anaelezea mambo hayo ya utungaji mimba kimakosa.

Kwamba Allah aliumba lakini hajui procedure za uumbaji.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lete procedure hapa za uumbaji sio unaongea tu kuna mtu hapa alikwambia unapo leta mada ue unauwezo wa kuleta usahihi wake wewe huo usahihi wake pia huu leti inamaanisha pia upo kiushindani na si elimu so huna jibu mpaka sasa linalo kutosheleza
 
Back
Top Bottom