Nimecheka sana kijana. Haya ndiyo matatizi ya kujifunza Uislamu mtandaoni kwa wasio ujua Uislamu.Walimpinga wazi wakamwambia kwa Nini unatengeneza kiumbe ambacho kita shed blood, Allah akatoa Boko 😂😂 akasema nitajieni majina ya vitu Yani majina kayaweka yeye alafu anasema Malaika wamtajie 😂😂😂
Maongezi baina ya Allah na Malaika yalikuwa hivi, Kisha onyesha Hilo Boko ewe Mfuasi wa Paulo Mpagani.
Anasema Allah mtukufu :
30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.
31. Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli.
32. Wakasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hatuna ujuzi isipokuwa kwa uliyo tufunza Wewe. Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye hikima.
33. Akasema: Ewe Adam! Waambie majina yake. Basi alipo waambia majina yake alisema: Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni na za duniani, na ninayajua mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha? (al-Baqarah :30-33)