Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kuwa mwilini kumekuathiri sana sana. Yesu hakwenda kwa miguu hadi mjini na kupanda juu ya hekalu na wala hakupanda kwa miguu kwenda milimani ili aone fahari ya dunia.

Mimi nimewahi kufika nchi nyingi duniani ikiwemo dubai. Sasa hivi hapa nilipo ninaweza kutengeneza image kichwani kwangu nikawa pale burji khalifa ingawa kimwili nipo hapa Dar es salaam.
Na uliitaka mwenye we mada ya bibilia ila tu nikusihi endelea na Dini yako waache waislamu na Dini yao yani usiumie kwanza nyinyi huko mbinguni Mungu ata watoa atawapeleka tena duni atawajenge nyumba huku huku duniani kataa hapo nyinyi peponi ni sehemu ya kituo tu bisha
 
Ni kwanini haujibu hoja kuhusu hiyo aya ya quran ndio uulizie hiyo ya kwenye ayubu?

Yaani hapa unaepusha akili yako kuhoji kosa lililopo kwenye quran kwa kutaja kitu kisichohusiana.

Umewahi kufika mbinguni ukaona kwamba hakuna misingi?
We hapo ulipo uoni mbingu zilipo au hao wanasayansi wako wamesahau kukupa mfumo wa mbingu wewe vip kwenye quran hutaki hoja alafu wewe unatuletea viloja kila jambo na muda wake utajibiwa soon ili ukatae vizuri
 
Na uliitaka mwenye we mada ya bibilia ila tu nikusihi endelea na Dini yako waache waislamu na Dini yao yani usiumie kwanza nyinyi huko mbinguni Mungu ata watoa atawapeleka tena duni atawajenge nyumba huku huku duniani kataa hapo nyinyi peponi ni sehemu ya kituo tu bisha
Wakristo wataenda katika nchi mpya ambayo pia itakuwa na mbingu mpya na sio dunia hiihii.
 
Nitoeni tongo tongo jamani jichoni,jee kuna sehemu Aya yoyote kwenye bible iliyo elezea zoezi zima la kupatikana kwa kiumbe katika mfumo mzima wa uzazi?
 
Nitoeni tongo tongo jamani jichoni,jee kuna sehemu Aya yoyote kwenye bible iliyo elezea zoezi zima la kupatikana kwa kiumbe katika mfumo mzima wa uzazi?
Biblia imemuachia mwanadamu ajifunze elimu mbalimbali na ndio maana Mungu amewapa wanadamu akili.

Mungu hakuelezea namna ya kutengeneza magari au ndege ila aliweka kila kitu available, ni suala la mwanadamu kujishughulisha na kuvumbua.
 
Wapi umeona kwamba vifungu vya biblia havitafsiriwi??
Labda ungesoma vizuri kwanza ukaelewa nilichosema. Hata hivyo hii post sijui imefikaje huku, ilihusu mada fulani hv titled, 'kwanini Wakristo wanamtukana Mungu'. Naona km imefutwa sasa maana siioni.
 
Biblia imemuachia mwanadamu ajifunze elimu mbalimbali na ndio maana Mungu amewapa wanadamu akili.

Mungu hakuelezea namna ya kutengeneza magari au ndege ila aliweka kila kitu available, ni suala la mwanadamu kujishughulisha na kuvumbua.
No we unajua ukubwa Mungu mpaka akuachie kirahisi hivyo ngoja nikwambie rafiki aya nyingi za sayansi ndani ya bibilia zimefutwa kwa sababu haiendani na matakwa ya mnao waona nyinyi ni wakubwa wa dunia badala ya Mungu
 
Wayahudi hawana mashaka na kusulubiwa, kufa, kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Mambo yote tunayosoma kuhusu yeye yaliandikwa na wayahudi wenyewe kuanzia kwenye biblia na hata kwenye historia.
Ningekuuliza ni Wayahudi wa aina gani hao wasio na mashaka, na ni yapi yamhusuyo Yesu ambayo hawana mashaka nayo... hata hivyo, najua huwezi kuwa na jibu la hilo swali, hivyo niseme tu 'Unachekesha sana aisee..."

Yaani Wayahudi wangeamini Yesu alikufa na kufufuka unadhani wangeacha kumwamini?!

Mara kwa mara nimekuwa nikitumia maneno "Wayahudi kwa IMANI" na "Wayahudi kwa ASILI"... inaelekea hufahamu tofauti ya hizo dhana!!

Yesu ni Myahudi kwa ASILI... hawa ni wale waliotokana na kizazi cha Yakobo!!

Hawa Wayahudi kwa ASILI wana IMANI TOFAUTI kwa sababu, kabla ya Yesu hajaja duniani kuitangaza Injili, kuna wengine walimtangulia, and the most notable one ni Mussa ambae alikuja na Torati, bila kuisahau Zaburi ya King David.

Na kizazi hiki cha Yakobo (theoritically)kilicho Israel bado wanaamini katika Tanakh ambayo ndani yake kuna Torat, Manabii, na Maandiko... AGANO LA KALE!!

Kwahiyo Yesu alikuja duniani akiwakuta ndugu zake kwa asili (Ethnic Jews) wakiwa tayari wameshatopewa na Torati ya Mussa ambayo ni moja ya vitabu vinavyopatikana kwenye Tanakh!!

Yesu alishindwa kuwashawishi ndugu zake kuikubali Injili kwa sababu Wayahudi hawa walitabiriwa na Kumbumbu la Torat 18:18-19 kwamba:-
I will raise up for them a prophet like you from among their brothers. And I will put my words in his mouth, and he shall speak to them all that I command him.
Wayahudi walitumia vigezo gani... I don't know lakini wakaona Yesu ha-fit kwenye utabiri huo, na kwahiyo WAKAMKATAA, na Injili aliyokuwa anaihubiri, WAKAIKATAA na wakendelea na ku-stick kwenye Torat, na bado wanamsubiria huyo Messiah hadi ninapoandika haya!

Hawa wanaoamini katika Uyahudi, HAWAAMINI CHOCHOTE wanachokiamini Wakristo kuhusu Yesu!! Hawaamini kwamba Yesu alikufa na kufufuka, wala hawaamini katika Utatu Mtakatifu... HAWAAMINI CHOCHOTE!!

Ni kama ambavyo nilikuambia mwanzoni kabisa kwamba, Wayahudi (kwa imani) wanauchukulia Ukristo sawa na ambavyo Wakristo wanavyouchukulia Uislamu!

Mambo ya KIIMANI kuhusu Yesu yanaaminiwa na Wayahudi ambao ni Wakristo na sio Wayahudi wanaoamini katika Uyahudi(Judaism).

Na kwa taarifa yako, Wakristo nchini Israel ni WACHACHE sana...hawafiki hata 5%. Ni kwamba, Waislamu ni WENGI Israel kuliko Wakristo. Na zaidi ya 75% ya Wakristo wa Israel ni WAARABU kama ilivyo kwa Waislamu!! Simply meaning, Ukristo upo nje ya Israel na sio Israel wenyewe...

Unlike Uislamu ambao ulikuwa promoted na Waarabu wenyewe ambako ndo chimbuko la Uislamu, Ukristo ulikuwa promoted duniani na watu ambao kwa asili, sio "ndugu" wa Yesu!!

Na ndo maana HQ za Madhehebu YOTE makubwa ya Kikristo yapo nje ya Israel kwa sababu Wayahudi walimkana Yesu na Maandiko yake, na ndo maana Quran isiyoremba remba maneno inawataja wazi Wayahudi kwamba ni WAKAIDI, NA WATU WASIOAMINI! Quran inawasema vibaya sana Wayahudi na sio Wakristo!!
 
We hapo ulipo uoni mbingu zilipo au hao wanasayansi wako wamesahau kukupa mfumo wa mbingu wewe vip kwenye quran hutaki hoja alafu wewe unatuletea viloja kila jambo na muda wake utajibiwa soon ili ukatae vizuri
Unazionaje mbingu kutoka hapo ulipo? Au unadhani anga ndio mbingu?
 
Issa wa kwenye quran mtulie naye hukohuko msijaribu kumtafutia umaarufu kupitia Yesu Kristo.

Yesu ni Mwana wa Mungu, alikuwepo milele kabla hajapitia tumboni mwa Mariamu na kuchukua mwili, alihubiri wokovu wa ulimwengu wote, alihukumiwa kipindi cha pontio pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akafufuka, akapaa mbinguni na atarudi tena kuuhukumu ulimwengu.

Haya yote yameandikwa na mitume pamoja na waandishi wa historia kule Israel.

Sasa issa hajulikani huko Israel.
Una uelewa duni sana...
 
Unazionaje mbingu kutoka hapo ulipo? Au unadhani anga ndio mbingu?
Ngoja Akujibu Yesu mwenyewe maana wewe mbinguni hupajui na maana zako za Google hizo ay yesu ulifanyaje saa ilipo fika

Yohana 17:1 Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni,
Asante
 
Tone ikageuka kuwa damu iliyoganda.🤣 Unajua kwamba damu ikiganda inakuwa dead? Muhammad anasema damu hiyo iliyoganda inakaa siku 40 ndani ya tumbo la uzazi la mwanamke halafu inabadilika kuwa nyama kwa siku nyingine 40.

Halafu baada ya hapo inabadilika kuwa mifupa.. halafu mifupa inavalishwa nyama.🤣 Trust me Aisha (ambaye alikuwa mke pendwa wa muhammad) alikuwa sahihi kusema muhammad was demon possessed.
Kwanza unatakiwa kukubali kuwa andiko limesema tone la manii iligeuka kuwa damu iliyoganda na sio tone la manii iliingia na kukaa kwenye damu ilioganda kama ulivyotaka kupotosha ktk bandiko lako
 
Son of mutah ,Mada ipo mezani na usiweweseke
Uyu Muhammad aliwapaje waarabu mpaka akawaambia sperm inakuwa damu mfu iliyoganda na inakaa ndani ya mwanamke kwa siku 40?
Wakati unaikumbusha hiyo mada ambayo Isha jadiliwa embu tuletee huo upumbavu wa Mungu wako kwanza kwa mujibu wa andiko
 
Back
Top Bottom