Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Hubu wana sayansi watusaidie hili la yesu kutoka kwenye mwili wake na bado alikua hai.
Inashangaza wewe kuhoji hilo wakati unawaombea marehemu wapunguziwe adhabu ya kaburi. Wanasikiaje maumivu wakiwa kaburini?
 
Mkuu hapa ndio watoto wa mjini wanasema umedandia treni kwa mbele.

Luka anamtaja Yusuph ambaye alikuwa baba wa Yesu lakini immediately inaanza kutaja ukoo wa Mariamu aliyemzaa Yesu. Mariamu alizaliwa na Eli. Kiufupi luka anaongelea uzao aliotokea Mariamu.

Mathayo anamzungumzia Yusuph ambaye alikuwa baba mlezi wa Yesu Kristo. Kwahiyo Mathayo anazungumzia ukoo wa Yusuph aliyemlea Yesu.

Hapa unarudia kosa lile lile la kukaa mwilini. Biblia iko wazi kabisa kwamba Yesu alikuwa nyikani kwa siku arobaini. Hili ni ile nyika ipo pembezoni mwa barabara itokayo Jerusalem kwenda Jericho karibu na mto yordani.

Hakuna siku ambayo aliondoka pale nyikani kwahiyo majaribu yote yalikuwa katika namna ya imagination na mawazo. Kwa njia hii hata wewe hapo unaweza kusafiri maeneo mengi sana ukiwa hapohapo ulipo.
Alafu hivi mawazo nayo ni kitu cha ajabu basi mbona hakuna haja basi kumbe alikuwa anaota Yesu bwana ayo majaribu yenyewe kumbo mawazo huenda ata uyo ibilisi ajaja wala haja muona
 
Mbona mkuu andiko liko wazi hapo wapi amesema alikuwa anawaza
Umeelewa lakini kwamba Yesu alikuwa nyikani pale eneo kati ya Jerusalem na Jericho katika kipindi chote cha siku 40 za kufunga? Ukishaelewa hapo ni rahisi sana kuelewa kwamba ilikuwa katika mawazo.

Hata wewe leo shetani anapotaka kukujaribu huwa anaanzia kwenye mawazo yako.
 
Hubu wana sayansi watusaidie hili la yesu kutoka kwenye mwili wake na bado alikua hai.
Mungu kwa wakristo nature yake ni Roho ,
Ule ni mwili alioutumia

1 TIMOTHY 3:16
And beyond controversy, great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen by angels, preached unto the Gentiles, believed on in the world, received up into glory.
 
Alafu hivi mawazo nayo ni kitu cha ajabu basi mbona hakuna haja basi kumbe alikuwa anaota Yesu bwana ayo majaribu yenyewe kumbo mawazo huenda ata uyo ibilisi ajaja wala haja muona
Majaribu yote wewe unayoyapitia huwa unakuwa ndotoni?
 
Umeelewa lakini kwamba Yesu alikuwa nyikani pale eneo kati ya Jerusalem na Jericho katika kipindi chote cha siku 40 za kufunga? Ukishaelewa hapo ni rahisi sana kuelewa kwamba ilikuwa katika mawazo.

Hata wewe leo shetani anapotaka kukujaribu huwa anaanzia kwenye mawazo yako.
Nakuelewa kua majaribu ya yesu yalikuwa ni mawazo si uhalisia
 
Koran inasema sperm zinatoka kwenye UTI wa mgongo wa mwanaume na mbavu zile za juu za mwanamke, Yani na mwanamke ana sperm

Mudy alitakiwa kunyongwa 😂😂😂😂
 
Koran 86:7 issuing from between the loins, of the man, and the breast-bones, of the woman.
 
Kwa mujibu wako umesema yesu alikuwa anawaza emu rudi tena luka 4:1 mapak 16 Alafu uniambie hayo mawazo hapo yako wapi mbona unawaongopea wenzio wewe
Kuwa mwilini kumekuathiri sana sana. Yesu hakwenda kwa miguu hadi mjini na kupanda juu ya hekalu na wala hakupanda kwa miguu kwenda milimani ili aone fahari ya dunia.

Mimi nimewahi kufika nchi nyingi duniani ikiwemo dubai. Sasa hivi hapa nilipo ninaweza kutengeneza image kichwani kwangu nikawa pale burji khalifa ingawa kimwili nipo hapa Dar es salaam.
 
Kwani mawazo sio kitu halisia?
Mimi najua wewe umekwepa kutupa elimu hiyo ya kijiografia kua kuna sehemu huku duniani ukisimama unaona dunia nzima nitaenda jelusalem kutalii namim uenda nitaiona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anayeweweseka NI wewe unayefatilia mambo yasiyo na maana kwako na tena basi wala hayakuhusu lkn unapoteza muda wako kufatilia kama sio muweweseko na umbeya NI nini!

Et kuna vichwa wamekariri bibilia in your dreams ikitokea tulale tuamke kipeperushi cha bibilia kimetoweka na ukristo Kwisha habari yake mtabakia kwenda kanisani kuimba kwaya na kuwachangia wachungaji kujaza matumbo Yao,,,
Christianity is a dead religion,,,NI dini iliyokalia kuti Kavu,,mnaweweseka kuona uislam unachanja mbuga licha ya fitna na uhasidi mnaoufanya,,,,
Koran ni kipeperushi huwezi Pinga hilo,
 
Kuwa mwilini kumekuathiri sana sana. Yesu hakwenda kwa miguu hadi mjini na kupanda juu ya hekalu na wala hakupanda kwa miguu kwenda milimani ili aone fahari ya dunia.

Mimi nimewahi kufika nchi nyingi duniani ikiwemo dubai. Sasa hivi hapa nilipo ninaweza kutengeneza image kichwani kwangu nikawa pale burji khalifa ingawa kimwili nipo hapa Dar es salaam.
Haya ni mawazo yako bibilia inasema wazi ibilisi kampandisha juu yesu akamwonyesha milki zote wewe unasema mawazo unapingana hata na bibilia ama kweli nita kesha hapa
 
Kama ilivyo hii bibilia inayo sema Ayoub 38 :4 kua mbingu zina misingi kama nyumba
Ni kwanini haujibu hoja kuhusu hiyo aya ya quran ndio uulizie hiyo ya kwenye ayubu?

Yaani hapa unaepusha akili yako kuhoji kosa lililopo kwenye quran kwa kutaja kitu kisichohusiana.

Umewahi kufika mbinguni ukaona kwamba hakuna misingi?
 
Back
Top Bottom