Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #801
Quran imesema mwanadamu anaumbwa kwa fluid inayotokea kwenye maeneo kati ya mbavu na uti wa mgongo.Mkuu unafahamu kiarabu?
Maana neno lilotumika kwenye aya ile ni “maa” ambayo hufasirika kama “fluid” kwa kiingereza…
Na nimekueleza kuwa damu iendayo kwenye pumbu hutoka maeneo karibu ya ini… hivyo ni kweli manii huzalishwa kwenye pumbu lakini Quran imesema “maa” kwa maana ya “fluid” ambayo damu na manii pia huwa katika mfumo huo.
Mkuu hapa kuwa muungwana na kukubali kwamba quran imedanganya. Huo ndio ukomavu.
Baada ya hapo kimbilia kwa Yesu Kristo kwa ajili ya msamaha wa dhambi, uokolewe na kuupata uzima wa milele.