Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kichwa maji kijana. Walimpinga Allah kwenye nini ? Waliamrishwa kufanya jambo ? Wao walitoa maoni katika like walichokidhani.

Kabla hujajadili jambo hakikisha unajua maana ya jambo husika.
Walimpinga wazi wakamwambia kwa Nini unatengeneza kiumbe ambacho kita shed blood, Allah akatoa Boko 😂😂 akasema nitajieni majina ya vitu Yani majina kayaweka yeye alafu anasema Malaika wamtajie 😂😂😂
 
Nahitaji kuelimishwa na siyo kudhalilishwa.

Ukristo wangu haujanifunza kudharau other existance.

Jukumu langu kubwa ni kuuhubiri upendo na siyo kulinganisha dini. Unavyojifanya mjuaji sana kwa kujivika joho la kukosoa dini zingine hakukufanyi kupata taji Mbinguni bali unajiweka kwenye nafasi ya kipekee kwenye baraza la wafanya mizaha.

Matendo yangu yatashuhudia alichokiweka Roho wa Bwana ndani yangu na siyo ujivuni na ujuaji usio na upeo
Wewe ni stone kisser huwezi kujificha
 
Tohara ya moyo ni kupewa mpya wa kiroho pale unapoumbwa kuwa kiumbe kipya ndani ya Kristo Yesu.

Tohara ya kimwili sio amri kwa kanisa. Ni jambo zuri kiafya na wakristo wote ulimwenguni wanafanya lakini sio kama agizo.

Yesu alikuwa myahudi chini ya torati hivyo ilikuwa lazima aifuate torati yote. Agano jipya limeanza baada ya Yesu Kristo kufa na kufufuka.
kitabu cha matayo hiko 5 :17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni;
 
Kwa nini kila siku mnabishana kuhusu dini, huku mkujua kabisa hakuna mshindi.

Ndugu zangu kila mtu abaki na imani yake anayoona ni sahihi, na aheshimu kila anachoamini mwingine.

Acheni malumbanp yasiyokiwa na msingi mnapata nini?
Kwanza hapa hatubishani bali tunaelimishana.

Pili, wewe kwanini ulienda shule kusoma na hukubaki ulivyozaliwa? Ungebaki na ujinga wako.
 
Mh kazi kweli kweli baada ya yesu kufa na kufufuka alikaa muda gani duniani hapa kabla ya kupaa
Baada ya kufufuka alienda mbinguni kupeleka damu yake katika madhabahu ya mbinguni na aliendelea kuwatembelea wanafunzi wake kwa siku 40 na ndipo akapaa mbele ya macho yao.
 
Kwanza hapa hatubishani bali tunaelimishana.

Pili, wewe kwanini ulienda shule kusoma na hukubaki ulivyozaliwa? Ungebaki na ujinga wako.
Hapana hamuelimishani, kila mmoja wenu anajiona bora kuliko mwenzie.

Ndo shida inaanzia hapo
 
kitabu cha matayo hiko 5 :17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni;
Ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kipindi kile wana wa Israel wanaishi chini ya torati walishindwa kuitimiliza.

Ndani ya Kristo Yesu unapewa nguvu kuyafanya yale yaliyoagizwa yote na wakati huu huyafanyi kama amri bali unayafanya kwa upendo wako kwa Mungu.
 
Kwa nini kila siku mnabishana kuhusu dini, huku mkujua kabisa hakuna mshindi.

Ndugu zangu kila mtu abaki na imani yake anayoona ni sahihi, na aheshimu kile anachoamini mwingine.

Acheni malumbano yasiyokuwa na msingi mnapata nini?
Umebeba vizuri sana kina cho sababisha haya ni ndugu zetu hawa wao haoni vya kushindania isipokuwa Dini mtu atatafuta mada yani popote kule ili asumbue watu na kujihisi yeye yuko vizuri katika dini yake
 
Baada ya kufufuka alienda mbinguni kupeleka damu yake katika madhabahu ya mbinguni na aliendelea kuwatembelea wanafunzi wake kwa siku 40 na ndipo akapaa mbele ya macho yao.
Sasa kwa mwenye akili kati ya maneno ya liyozungumzwa na yeye akiwepo na yale yeye hakuwepo yapi yana paswa kufuatwa
 
Yani mudy ujinga wake ni mkubwa mno 😂😂😂 anasema damu iliyoganda inakaa ndani ya mwanamke kwa siku 40
...The constituents of one of you are collected for forty days in his mother's womb in the form of blood, after which it becomes a clot of blood in another period of forty days..... Sahih Muslim 2643a

Huyu jamaa.alitakiwa kupigiwa kudu sio kwa kupotosha huku
 
Ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kipindi kile wana wa Israel wanaishi chini ya torati walishindwa kuitimiliza.

Ndani ya Kristo Yesu unapewa nguvu kuyafanya yale yaliyoagizwa yote na wakati huu huyafanyi kama amri bali unayafanya kwa upendo wako kwa Mungu.
We aya inasema amri wewe unasema upendo wako tu hapo una maanisha amri ni kwa waisraeli tu na kama ni ndio BASI DINI kiujumla ni ya waisraeli tu hiyo. Sasa sijui wewe mwenzetu muisraeli
 
We aya inasema amri wewe unasema upendo wako tu hapo una maanisha amri ni kwa waisraeli tu na kama ni ndio BASI DINI kiujumla ni ya waisraeli tu hiyo. Sasa sijui wewe mwenzetu muisraeli
Unatakiwa ufahamu kwamba agano la kale lilikuwa kwa ajili ya wayahudi kama kivuli cha agano jipya ambalo ni kwa ajili ya ulimwengu wote.

Kwenye agano la kale kulikuwa na situational laws nyingi ambazo zilikuwa maalumu kwa ajili ya wayahudi ambazo sio maagizo kwa kanisa.

Wayahudi wenyewe hawakuweza kuielewa transition hiyo ndio maana walimsulibisha Yesu na kumpinga.
 
Ndani ya Kristo Yesu unakuwa tayari umeitimiza torati yote. Kipindi kile wana wa Israel wanaishi chini ya torati walishindwa kuitimiliza.

Ndani ya Kristo Yesu unapewa nguvu kuyafanya yale yaliyoagizwa yote na wakati huu huyafanyi kama amri bali unayafanya kwa upendo wako kwa Mungu.
Huwezi kutimiza jambo kama ujalifnya yani ukiwa ofisini tu kazi zina kua zishafanykia zenyewe hapana unapaswa kufanya na kufuata hapo ndipo useme imefanywa jambo fulani ukiwa ndani ya kristo yesu alafu amri unazifanya kwa mapenzi ya matashi Alafu unasema umefanya hapana hiyo amri ifuatwe na ifanyiwe kazi hiyo ndio maana ya aya na imekuja kwa ajili ya torati na Yesu mwenyewe kasema hajaitangua mpaka anapaaa wewe leo unaitangua
 
Yapi aliyasema akiwa hayupo?
Si yapi alisema akiwa hayupo wakati yupo torati ni amri si ndio alipo ondoka agano jipya likaanza na torati ikawa ni mapenzi tu na hili linathibishwa na yeye kwenye aya iliyotangulia anasema yeyote atakaye kataa amri atakua mdogo huko mbinguni je alitenganisha alio wakusudia na kama alitenganisha hao alio watenganisha nanyi ndio wenye DINI yao
 
Tuheshimiane, tuvumiliane na tusiingiliane kiimani mambo yatakuwa sawa tu
Muislamu katika maisha yake anafundishwa strictly kukariri quran tangu madrasa na mara nyingi anafundishwa kuupinga ukristo (kimsingi mafundisho mengi ya quran yanapinga ukristo directly).

Namna bora ya kumfumbua macho muislamu ni kwanza kumuonesha udhaifu wa kitabu alichokariri tangu utoto wake. Tunafanya hivyo bila kumdhalilisha mtu. Tunajikita kuonesha makosa mazito ya kwenye quran ili muanze kuihoji.

Hapo sasa tunakuletea habari njema ya wokovu nawe unaupata uzima wa milele.

One love, amani iwe nawe.
 
Back
Top Bottom