Nimesoma translation kumi wote wamesema tone , nimesoma translation ya neno kwa neno imesema toneWamesema ni tone la nini ? Hao Waislamu wote walisema ni tone ni kina nani ?
Wewe stone kisser wa dongobesh unabisha nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma translation kumi wote wamesema tone , nimesoma translation ya neno kwa neno imesema toneWamesema ni tone la nini ? Hao Waislamu wote walisema ni tone ni kina nani ?
Kichwa maji kijana. Walimpinga Allah kwenye nini ? Waliamrishwa kufanya jambo ? Wao walitoa maoni katika like walichokidhani.Hawana free will ila walimpinga Allah wakati anamtengeneza Adam , na walikuwa wakweli kuliko Allah
Mbona kaka jambo liko wazi tohara au uwelewi paulo anakataa kutahiriwa wakati yesu katahiriwa au maandiko uyaoni au Mungu kaamua kuya update maneno yake mwenyewe alafu tohara lazima iwe mwilini na moyo pia au mwili waweza kua mchafu na moyo ukawa msafi yani mwili uwe unazini alafu moyo wenyewe uka bado uko safi duhSasa hapo kitu gani kimekinzana? Tohara ya mwilini katika agano la kale ni ishara ambayo katika agano jipya ni tohara ya moyo.
Wamesema ni tone la nani ?Nimesoma translation kumi wote wamesema tone , nimesoma translation ya neno kwa neno imesema tone
Wewe stone kisser wa dongobesh unabisha nini
Waliwezaje kutoa maoni kama hawana free willKichwa maji kijana. Walimpinga Allah kwenye nini ? Waliamrishwa kufanya jambo ? Wao walitoa maoni katika like walichokidhani.
Kabla hujajadili jambo hakikisha unajua maana ya jambo husika.
Mimi sijatafsiri chochote hapo zaidi ya kukopi tafsiri waliyofanya wanazuoni wa kiislamu. Ni kweli aliyetafsiri kiswahili alichapia ndio maana mimi nimetumia ya kiingereza kujenga hoja.Mimi ni mgalatia lakini ninaona kwenye tafsiri yako ya kiswahili kutoka Kiingereza umeenda kupotosha zaidi baadhi ya maneno...
Kwa hiyo unamaanisha binadamu tunaoishi sasa tumefufuliwa kutoka wafu waliokwisha danja long time ago?Hilo fumbo huenda lisifumbuliwe leo,
Jibu likaja baada ya miaka 1000 ijayo.
Wakati huo wa zamani hata watu waliulizana iweje Mungu aweze kuwafufuwa binaadamu wote wanaokufa,
Je atawajuwaje?wakati wapo wanaokufa na miili yao kuharibika?
Ndy hapo ikaja AYA ya Qurain,,
"NITAWAFUFUENI KILA MMOJA BILA KUPOTEZA ALAMA ZENU ZA VIDOLE."
hakika fumbo hili limevumbuliwa kizazi cha hivi karibuni kwamba kila mwanadamu ana alama za vidole ambazo haziingiliani na mwingine,,
Alama za vidole zipo kwenye Qurain.
Miaka 600 iliyopita.
Huo uwezo wote walipewa na Allah, ila Kuna vitu walifichwa na Allah kutokana na hekima za Allah.Waliwezaje kutoa maoni kama hawana free will
Na walisema kweli walinuaje mbele?
Nafsi inapata uhai kutoka kwenye roho hivyo itaishi milele pamoja na roho. Roho ni ile pumzi ya Mungu inayofanya mwanadamu awe hai.Soul by meaning the spiritual part of a person that is believed to give life to the body and in many religions is believed to live forever
Pigia mstari spiritual hapo uje
Alafu ujamalizia kua nyinyi mkisha enda kwenye ufalme wa Mungu hamtafanya tendo la ndoa
Stone kisser mnachekesha , Yani Allah Kuna mda anawapa uwezo na Kuna mda anapoka uwezo 😂😂😂Huo uwezo wote walipewa na Allah, ila Kuna vitu walifichwa na Allah kutokana na hekima za Allah.
Swali langu, kutoa au kujibu hoja kunahusiana vipi na free will ?
Kwenye biblia huwezi kutengeneza doctrine (fundisho) bila kuangalia consistency throughout the book. Ndio maana mstari mmoja hauwezi kutumika kama chanzo cha fundisho isipokuwa mpaka iwe angalau mitatu.Alafu usitwambie maswala ya kanuni hapa aya yetu hukutaka kusikiliza wala kuambiwa kua quran aisomwi kama gazeti leo kwenye kitabu chako utwambie kanuni kwani wakati unaongea mwanzo ulikuwa ujui kua vitabu vya dini vina miongozo yake ya kutafsiriwa
Swali lako nimeshajibu.Jibu kwanza swali nililo uliza Kisha nikujibu swali lako. Usikimbie maswali.
Nahitaji kuelimishwa na siyo kudhalilishwa.Wewe ni stone kisser, usijifiche ,
Koran haijaandika sperm imesema tone,
Alafu msijifanye nyie ndio mnajua zaidi ya walio tafsir , Yani Dunia nzima waislamu wamesema tone ila Kuna wewe stone kisser wa dongobesh unasema wamekosea
Hawawezi kuwa na maoni tofauti kama hawana hiari (freewill)Kichwa maji kijana. Walimpinga Allah kwenye nini ? Waliamrishwa kufanya jambo ? Wao walitoa maoni katika like walichokidhani.
Kabla hujajadili jambo hakikisha unajua maana ya jambo husika.
Kwa mujibu wakoNafsi inapata uhai kutoka kwenye roho hivyo itaishi milele pamoja na roho. Roho ni ile pumzi ya Mungu inayofanya mwanadamu awe hai.
Mbinguni tutakuwa kama malaika kwasababu hakutakuwa na jinsia na hivyo hakuna ndoa wala tendo la ndoa.
Tohara ya moyo ni kupewa mpya wa kiroho pale unapoumbwa kuwa kiumbe kipya ndani ya Kristo Yesu.Mbona kaka jambo liko wazi tohara au uwelewi paulo anakataa kutahiriwa wakati yesu katahiriwa au maandiko uyaoni au Mungu kaamua kuya update maneno yake mwenyewe alafu tohara lazima iwe mwilini na moyo pia au mwili waweza kua mchafu na moyo ukawa msafi yani mwili uwe unazini alafu moyo wenyewe uka bado uko safi duh
Stone kisser mudy mjinga Sana damu iliyoganda ndani ya mwanamke anasema kwa siku 40 ,engineer soma hiyoView attachment 2374353
Mh kazi kweli kweli baada ya yesu kufa na kufufuka alikaa muda gani duniani hapa kabla ya kupaaTohara ya moyo ni kupewa mpya wa kiroho pale unapoumbwa kuwa kiumbe kipya ndani ya Kristo Yesu.
Tohara ya kimwili sio amri kwa kanisa. Ni jambo zuri kiafya na wakristo wote ulimwenguni wanafanya lakini sio kama agizo.
Yesu alikuwa myahudi chini ya torati hivyo ilikuwa lazima aifuate torati yote. Agano jipya limeanza baada ya Yesu Kristo kufa na kufufuka.