Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Yesu ni mwana wa Mungu na Aliye mzaa Yesu ni nani
Alafu Mungu amesema kwake hakuna kubadilika je huyo alie amua kubadilika ni Mungu yupi
Pili Mungu ahis njaa lkn Yesu mpaka ibilisi alimjaribu alivyo ona njaa .
Siku tatu alizo kufa Mungu wenu Dunia ilimilikiwa na nani?
Nyie waislamu kwenu mtu ni mwili wake ndio maana hata ahera yenu mtakuwa mnafanya ngono.

Sisi wakristo ni roho tunaoishi kwenye mwili. Nikitoka kwenye mwili haimaanishi nime cease to exist.

Mungu kuuvaa mwili hakumbadilishi asili yake kwasababu yeye ni roho. Kilichoona njaa ni mwili wake.

Yesu ni Mwana wa Mungu tangu milele na sio kwasababu alipata mwili kwa Mariamu.
 
Kwani mtu ili ajulikane amekufa kitu gani kitakua kimetoka kwenye mwili wake ndio aonekane amekufa alafu alipo kufa yesu hapa kua na uongozi wa kiungu tena duniani maana alikufa mwili na roho pia
 
Na mwili wowote lazima uwe na roho hivyo ata wewe unamaanisha ni Mungu maana una roho hapo au auna
 
Hapo umemaanisha kua bibilia sio neno la Mungu ni mtu tu anaamua kuandika anacho taka aongope asema kweli shauri yake na wewe ndiyo unamsikiliza
Ndani ya biblia kuna mpaka maneno ya shetani, mapepo, wanadamu, punda na Mungu mwenyewe hivyo unatakiwa kuisoma kwa uelewa.

Kitabu chote kinao ujumbe unaofanana ambao unahusisha uumbaji, kuingia kwa dhambi, mpango wa ukombozi na uzima wa milele.
 
Nyie waislamu kwenu mtu ni mwili wake ndio maana hata ahera yenu mtakuwa mnafanya ngono.

Sisi wakristo ni roho tunaoishi kwenye mwili. Nikitoka kwenye mwili haimaanishi nime cease to exist.

Mungu kuuvaa mwili hakumbadilishi asili yake kwasababu yeye ni roho. Kilichoona njaa ni mwili wake.

Yesu ni Mwana wa Mungu tangu milele na sio kwasababu alipata mwili kwa Mariamu.
Alafu sisi ni watu lazima tufanye tendo la ndoa kwani nyinyi hamfanyi kwa sababu ni roho
 
Kwani mtu ili ajulikane amekufa kitu gani kitakua kimetoka kwenye mwili wake ndio aonekane amekufa alafu alipo kufa yesu hapa kua na uongozi wa kiungu tena duniani maana alikufa mwili na roho pia
Yesu alitoka kwenye mwili wake lakini bado alikuwa hai katika ulimwengu wa roho. Mwili unahesabika kwamba umekufa iwapo roho imetoka.
 
Kwani mtu ili ajulikane amekufa kitu gani kitakua kimetoka kwenye mwili wake ndio aonekane amekufa alafu alipo kufa yesu hapa kua na uongozi wa kiungu tena duniani maana alikufa mwili na roho pia
Yesu alitoka kwenye mwili wake lakini bado alikuwa hai katika ulimwengu wa roho. Mwili unahesabika kwamba umekufa iwapo roho imetoka.
 
Ndani ya biblia kuna mpaka maneno ya shetani, mapepo, wanadamu, punda na Mungu mwenyewe hivyo unatakiwa kuisoma kwa uelewa.

Kitabu chote kinao ujumbe unaofanana ambao unahusisha uumbaji, kuingia kwa dhambi, mpango wa ukombozi na uzima wa milele.
Jibu swali basi bibilia ni kitabu cha Mungu au sio
 
Nipe andiko linalosema alikuwa hai bado
The clearest indication we have in Scripture of where Jesus was between His death and resurrection comes in His conversation on the cross with one of the thieves crucified next to Him. The believing thief asks to be remembered when Jesus comes into His kingdom (Luke 23:42), and Jesus replies, “Truly I tell you, today you will be with me in paradise” (verse 43). So, after His death, Jesus went to the place of blessing where God is—heaven. And that’s where the believing thief went, too.
 
Back
Top Bottom