Hivi kwa akili yako unadhani hivi sasa hakuna watu wanaoitwa Yeshua au Jesus?!Hata hujui unahoji nini. Yesu limetoka kwenye jina Yeshua. Full stop.
Jina lake maana yake ni mwokozi kutoka katika dhambi.
Narudia, usijikite kwenye majina bali sifa za icon husika!! Kwa mfano, mtu akiuliza tofauti kati ya Mussa na Yesu, sitaangalia majina yao kwa sababu kuna akina Mussa na Yesu kibao duniani.
In contrary, ni Yesu MMOJA TU ndie uzaliwaji wake ni tofauti na wanadamu wengine including Mussa... kwa maana alizaliwa bila mama yake Maryam kukutana na mwanaume!
Ni YESU MMOJA TU ndie alikuja duniani kuitangaza Injili
Ni Yesu MMOJA TU ambae maandiko yanasema atarejea duniani utakapofika mwisho wa dunia!
Hapo unaweza kuongezea na mengine ambayo ni ya kiroho na kiimani hata kama yanafanywa na wanadamu wengine... kama vile kutenda miujiza!!
Na sifa hizo ndizo za Issa wa kwenye Quran
Anyway, ngoja niachane na wewe manake nimegundua una uelewa mdogo sana wa hata Christian Theology!