Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unathibitisha mbele za watu jibril alikuwa Pepo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungeamua kutulia tu kama mwenzio champion ana google huko aje kutuletea mapichapicha hapa we unasema jibril wakati Yesu ndio kaingiliwa na pepo lina itwa Roho mwisho wa oh roho ni Mungu pepo kawapitia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Matope meusi inamaanisha bahari nyeusi,,,,tafuta ilipo bahari nyeusi ndo utajua iko wapi,,,,Acha upuuzi
Kwaiyo muandishi hakujua tofauti ya bahari na matope? Na kwenye hicho kitabu bahari imetajwa Kama matope kwenye Aya zote? Zinazo izungumzia bahari
 

[mention]Moderator [/mention] tunaomba huu uzi au uyu member awe banned lengo lilikua elimu kwa wanavodai ila soma mtu kama uyu anayoandika anaelimisha au kutukana imani za wengine kos ingekua kebehi ingevumilika ila mtu anafikia kutukana kiasi hiki ila malipo yapo ulie mtukana kwa mihemko yako ndo atayekulipa na sidhani hata magundisho ya dini yao ndo yanekufunza kutafuta waumini au kuelimisha watu kwa njia iyo yawezekana hata kwenye UKRISTO kwenyewe haumo[emoji120].
 
Tatizo Allah hajawahi kujionesha kwa Waislamu katika hali yoyote ile.

Mungu wa Wayahudi na Wakristo kesha jitokeza katika hali na mala kadhaa ili aongee na waumini wake watu.

Alimtokea Musa
Kama Kijinga cha Moto.
Na
Kama Moto mlimani Sinai

Alimtokea Nabii Ibrahimu kama Mtu wa kawaida tu.
Mwanzo 18:1...

Mwanzo 18:1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2 Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.


Alishuka kuelezea Habari Njema ya Wokovu, Injiri kwa kutumia mwili wa Binadamu Yesu Kristo.

Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Hawa jamaa zetu hawajawahi kupata hiyo bahati.
Hata Muhamaadi mwenyewe hakuwahi kuonana kwa namna yoyote ile na Allah.

Bali alikuwa anapata Wahayi kutoka kwa Adui wa Jibrili, sijui ndio nani huyo, waje watusaidie hapa.


2: 97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Wengine wanasema Jibril ndio aliyempa mafunuo hata haieleweki nani ni nani.

Hivyo Wakristo hatuwezi kuongea lugha moja na Waislamu na kuelewana.
Na Muhammadi anakiri wazi kabisa.

Viumbe pekee wa Kiroho waliokutana na Muhamadi ni Majini.
Hivyo inaonekana wazi kabisa

Kila mmoja ana Mungu wa aina yake tofauti kabisa.
Na Mbingu ya aina yake tofauti kabisa.

Nawasilisha.
 
Apa ,ulikuwa hujui jibril alikuwa anaingia wanaume ma handsome,wanakutwa wamejifungia chumbani na mudy
Mosi haku waingia bali aliingia
Pili Mariam pia hakuingiwa Na huyo jibril ukweli uko wazi aya haisemi alimuingia

Tatu nakufundisha kumuingia mtu ni kama alivyo fanya pepo roho kaingia kwenye mwili wa yeshua iko wazi aya ulipewa pili kama alivyo fanya pepo alie kuingia Yuda
Usilete
Aya nipe andiko linalosema jibril kumuingia kwenye mwili wa yeyote kati ya Muhammad au huyo aisha au hata Mariam ndio hujui hata maana ya maneno yako ya kiswahili huyajui bwegee we
 
Link fungua mwenyewe sisi tunakujibu kwa hoja wakati awal ulikuwa unapewa mpaka video ukawa unabeza leo unatwambia link mwambie roho aifungue jibril haja muingia yoyote kama alivyo fanya roho pepo huyu Dah Mungu anamuona mpaka wanatokwa na akili kwa sababu ya pepo roho
 
Ila wewe jamaa una kichwa kigumu sana. Ni mfia dini.
 
Aisha alisema Muhammad alikuwa demon possessed kwahiyo yalimuingia.
Alafu sisi usilazimishe hicho kiingereza chako hapa tunatumia kiarabu sisi kwenye maneno ya dini ya kiislamu we una copy kiingereza kama nani acha niku fundishe ukiona unatumia hoja za kiislamu tumia kiarabu huwezi kiswahili unatulazimsha Mungu awe yule mzungu mvaa kichupi au
 
Kwaiyo muandishi hakujua tofauti ya bahari na matope? Na kwenye hicho kitabu bahari imetajwa Kama matope kwenye Aya zote? Zinazo izungumzia bahari
Maswali mazito haya sidhani kama atarudi.
 
Video inayo muhusu Muhammed ipo wewe itafute inaitwa arrisala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…