Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Sawa sasa hapo ndio kaingia katika mwili au kubadilika huko wewe huoni au lugha ina kusumbua
 
Nyie mazwazwa endeleeni tu kumwita yesu ni mungu lakini mfaamu Mariam alizaa watoto wangine na Joseph ambao wanamwita Yesu brother. Wengine kwao ni brother nyie mazuzu kweni ni mungu. Mnasikitisha sana
 
Nyie mazwazwa endeleeni tu kumwita yesu ni mungu lakini mfaamu Mariam alizaa watoto wangine na Joseph ambao wanamwita Yesu brother. Wengine kwao ni brother nyie mazuzu kweni ni mungu. Mnasikitisha sana
Weka andiko
 
Huko ni kubadilika na sio kuingia mnatumia matin za kiingereza hamtaelewa mpaka mna kufa lugha ya kiarabu ni lugha pana mjifunze kidogo kiarabu na hapo ajasema kaingia katika mwili wa alkab kaja katika umbile linalofanana na hiyo kalb ndio maana sahihi usipotoshe
 
Mungu wenu sio roho bali NI mwanaume ndo maana mnamuita Baba na ana mtoto mnamuita MWANA WA Mungu WA pekee na MWANA WA Mungu ana mama yake mnamuita mama WA Mungu,,,Kwa hiyo kuna Baba,mama na mtoto,,,unataka nikufundishe kitu gani lilitokea akazaliwa mtoto WA mungu,,,astaghafitullah,,umesahau mnasema mtoto WA mungu ameketi mkono WA kuume WA Baba yake,,,tena Mungu wenu akashuka bustanini kupunga upepo( roho haihisi koto wala baridi)) akiwa anatembea tembea hakuwaona Adam na hawa(ana macho na miguu) akauliza Adam uko wapi (hajui walipo) ,,
Isaya 23;17
Itakua MIAKA 70 bwana atazuru nchi ya tiro,atafanya ukahaba na mataifa yote,,hi hi hiiiii,,jokes on you,,bwana wenu atafanya ukahaba Kwa kutumia nini???
Usianzishe ugomvi na unaishi nyumba ya vioo,,,
 
Hapana hakubadilika alikiwa ndani ya boy friend wa muhammad,

Gay wa muhammad alikuwa ana mfi_ra
We hujui lugha zote haya nipe neno kumuingia katika andiko lako lako litoe lieke pembeni alafu litafsiri ukikosa basi nakubali wewe moja kwa moja ni mke wa papa
 
Mna uthibitisho gani kama yesu ndie aliyempa mafunuo Paulo,?? Mna hakika gani aliyemtokea Paulo alikua yesu na sio shetani aliyempeleka yesu mlimani kama aliweza kumchukua yesu na kumjaribu MNA hakika gani hakufanya hivo Kwa Paulo??Kama kweli alipata mafunuo kutoka Kwa yesu Kwa nini aje na mafundisho yaliyokinzana na mafundisho ya yesu?? Na Kwa nini asiwafunulie mafunuo hayo wanafunzi wake waaminifu waliokua nae mwanzo Hadi mwisho ampe adui,,wanafunzi wake walikosea nini mpk yesu akakosa kuwaamini akampa Paulo?? ,yesu anasema yodi moja ya torat haitoondoka hata yote yatimie ni lipi ktk torat lililotimia Mpaka Paulo aje aondoshe torat nzima?? Yesu alipowatuma wanafunzi wake aliwaambia waiendee miji ya Israel wasiendee mataifa maana Hadi mbingu na ardhi zinakapoondoka hawatoimaliza Israel,,nakuuliza Kwani mbingu na ardhi viliondoka lini mpk ujumbe WA yesu uruhusiwe kutoka nje ya mipaka ya Israel??? Yesu anasema yupo mkuu kuliko yeye na ndiye aliyemtuma,,,Paulo anasema yesu ana mamlaka Sawa na Mungu ,,yesu anasema kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe,,Paulo anasema yesu amebeba msalaba WA dhambi zenu'' yesu alifundisha amri ya Kwanza NI kumjua Mungu mmoja WA pekee lkn Paulo anasema Mungu NI watatu kwa mmoja au mmoja Kwa watatu Imani ambayo haijawahi kupata kufundishwa na nabii wala mtume yeyote kabla kama huu ulikua ndio msingi mkuu WA ukristo Kwa nini yesu hakufundisha NI kwamba alisahau ndio maana akamtuma tena Paulo?? na wakati alisikia akisema amemaliza KAZI aliyotumwa??
Wajinga ndio waliwao''
Kwa hiyo Hakua na uwezo WA kufikisha ujumbe deep Yan alikua shallow ndo maana akapewa ujumbe mwepesi ule mzito akapewa Paulo,,Yani unatuthibishia kua Paulo NI ngangari kuliko yesu!! Na kwamba ujumbe WA yesu haukuwahusu nyie Bali makutano Kwa maneno mwingine waisrael peke Yao(na ndivo ilivo) Ila WA Paulo ndio ulikua ujumbe WA mataifa WA kiimani basi msiseme Abraham ndiye Baba yenu WA Imani Bali semeni Paulo ndie baba yenu WA Imani maana Abraham's hakuwai kuabudu Mungu watatu wala kufundisha hayo ya Paulo. Nyie ndio atawakana yesu mtakapoanza kumpigia kelele tulitoa pepo Kwa jina lako wakati SASA hivi mnamtaja Tu jina lkn hamko nae kiimani wala kivitendo mko na shetani mdanganyifu kupitia mtumishi wake paulo na alishaujua huu ujinga wenu akawataadharisha mtasikia yesu yupo huku msiende na mkisikia yesu yupo kule msiende lkn nyie ni sikio la kufa,,am sure alitokewa MTU mwingine akasema yesu amemtokea akawafundisha kitu jipya atawazoa wengi kweli kweli,,,Paulo amewaweza kweli wakristo wanasali kipagani bila kujijua wanadanganywa mkate na wine ni damu na mwili WA yesu SASA sijui Wana tofauti gani na ibada za kishirikina!!
 
Nyie mazwazwa endeleeni tu kumwita yesu ni mungu lakini mfaamu Mariam alizaa watoto wangine na Joseph ambao wanamwita Yesu brother. Wengine kwao ni brother nyie mazuzu kweni ni mungu. Mnasikitisha sana
Hata mimi Yesu Kristo is my brother, my friend and still He's my eternal God.
 
Baba ni cheo na sio jinsia. Mungu kuitwa Baba haimaanishi kwamba anayo jinsia.

Mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu kwahiyo haishangazi Mungu kuja na kuishi kama mwanadamu maana tunafanana naye. Yeye ni Roho na sisi ni viumbe wa kiroho.
 
Baba ni cheo na sio jinsia. Mungu kuitwa Baba haimaanishi kwamba anayo jinsia.

Mwanadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu kwahiyo haishangazi Mungu kuja na kuishi kama mwanadamu maana tunafanana naye. Yeye ni Roho na sisi ni viumbe wa kiroho.
Mh sawa ila kuna sura ukizitazama unaweza sema uyo mtu ajafanana na Mungu kabisa maana zinatisha au ata Mungu nae anasura mbaya ya kutisha
 
Paulo anawatoa sana machozi huko madrasa na hivyo mnamzushia mambo mengi sana.

Paulo alitokewa na Yesu Kristo hadharani na hata watu waliokuwa naye walisikia sauti na waliona nuru.

Yesu aliwaagiza wanafunzi wake wahubiri injili kuanzia yerusalemu, samaria, judea na mpaka miisho ya dunia kwahiyo acha kuongea mambo usiyoyaelewa.

Haujawahi kusoma Yesu Kristo akisema damu yake imemwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi? Basi hata fanya ku google ili ujielimishe.

Chakula cha Bwana kinawauma tunapokila? Yesu Kristo mwenyewe ndio aliyeanzisha na hatutakuja kuacha kushiriki meza ya Bwana maana namna hiyo tunatangaza kifo na kufufuka kwake mpaka atakaporudi.

Muhammad ndio mnatakiwa muhoji kwanini amekuwa yeye peke yake anayevamiwa na jini jibreel na kumkaba akimlazimisha asome. Jini yule alikuwa hajui kwamba muhammad ni illiterate?
 
Mkuu kwenye ukristo mnaamin kuhusu malaika? Jibu tu ndio au hapana itatosha sitakuhoji sana usiogope
 
Kweli mkuu. Waumini wanajiolea tu vitoto vidogoo.. kwa kisingizio cha quran na dini inaruhusu
Sunnah hii, hata Mtume Muhammad alimuoa Aysha wa miaka 6 ila hakupata tatizo lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…