Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwanza nashukuru kua sasa umekubali kua bibilia ina version pili hapo ndipo umeweka sawa kua maneno yenu ya kwenye biblia sio ya mungu maana mengine yanapunguzwa yana wekwa anavyotaka mtu muda wowote asante kwa hilo kulifahamu
Nilikuwa ninamfundisha huyo anayebisha version inabadilisha lugha wakati hadi maandishi. Mfano mzuri King James Version na New King James Version kuna vitu vinatofautiana. Moja wapo ya verse ni hii hapa.

View attachment 2380799
Shukran mkuu hao wenda wazimu wanahisi hatujui kuhusu bibilia lao mkitabu wa Mungu alie laaniwa alafu wanasema mara version ndio translation wanajogonga gonga waanaamua sasa kutafuta vipande vya quran ili wabishane bado wasome kwanza ndio waje tuwafundishe tena wao wana kurupuka
 
Nimekuuliza swali, hamjui nani aliyeandika?
Nakujibu hivi Kiutu uzima tu maana unataka kuwapinga maprofesa hapo
Hapo hakua na muda wakutajana majina hakua shule anafundisha alicho kisema yeye ni kuhusu muktadha husika
Kama unataka jina lake mtafute profesa tomas hujui unampata vip nenda kwa waandishi tegemewa wa habari wa BBC upate taarifa zake
 
not increased na increased. We hauoni tofauti ya maneno hapo. Nikisema haijaongezeka na nikisema imeongezeka.
Ni maneno ambayo yanapingana.
Alafu hawa jamaa wana fosi ujinga uliomo kwenye biblia yao uhamie kwenye quran tukufu na washafeli tena tunasubiri version mpya itakayo toka watwambie yesu alikufa kwa njaa na sio msalabani ili walikimbie neno la laana waliloo nalo sasa
 
Na kwa kukupa faida tafuta namna nyingine iliyo sahihi ya ufufuaji alafu weka hiki kipande cha neno la Allahu iliupate tafsiri kuhusu hilo

So This is how ΛΉeasilyΛΊ Allah brings the dead to life,
Uku Allah akiwa bize kufufua kwa kupiga kwa pande la nyama ya ng'ombe (nimekumbuka supu ya pande)

Yesu anaita tu dah , biblia tamu Sana

Mark 14: 25 Yesu akamwambia, β€œMimi ndiye ufufuo na uzima; mtu akiniamini mimi, hata akifa ataishi;
43 Baada ya kusema haya akapaaza sauti akaita, β€œLazaro, toka nje!” 44 Yule aliyekuwa amekufa akatoka, mikono yake na miguu yake ikiwa imeviringishiwa vitambaa. Yesu akawaambia, β€œMfungueni awe huru!”
 
Nampa pole yesu kuwaita walio makaburini mpaka kuwa maliza siku ya ufufuo kazi anayo
Hapo kitendo kimefanywa na yesu
Alafu rudia kuisoma aya ya quran niambie kile kitendo kimefanywa na Allahu mwenyewe
Yani yesu ana kazi mpaka awamalize kuwaita nyote domo lisha jaa mate

Alafu wewe endelea na maana yako ya ajabu ajabu hiyo sisi huku sasa Allahu mwenyewe anasema hivi kwenye ufufuaji wa mwisho

Lazima mnyooke tu mtake msitake [emoji847]
Eti aiteee weee kudadeki
 
Ni translation kwani haujui original matini zipo na ndipo wanapo toa ?

Nyie tu pande la damu mfu limewatoa jasho mpaka mkasema kila moja ni sawa na hamjui Allah alimaanisha ruba au damu mfu
 
Ni translation kwani haujui original matini zipo na ndipo wanapo toa ?

Nyie tu pande la damu mfu limewatoa jasho mpaka mkasema kila moja ni sawa na hamjui Allah alimaanisha ruba au damu mfu
Translation iliyo kosewa kabisa kila kitu na ni lugha hiyo hiyo huo ni udanganyifu wa hali ya juu na mnajua ukweli

Na hakuna muislamu alie shindwa ila hukujua kitu kuhusu namna quran tukufu inatafsiriwa ikala kwako.
 
Hiyo ya Yesu ndio kuwa ikawa , Allah hana chochote alishawahi kusema kuwa kikawa Koran nzima , yupo bize anapiga na nyama ,

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Translation iliyo kosewa kabisa kila kitu na ni lugha hiyo hiyo huo ni udanganyifu wa hali ya juu na mnajua ukweli
Tuliza akili Abdool, biblia Ina translation mpaka za waislamu wenzenu, wanaweka manufaa Yao ila uzuro lugha za matini za mwanzo zipo na siku izi zipo online unaenda Ina transalate neno kwa neno
 
Hiyo ya Yesu ndio kuwa ikawa , Allah hana chochote alishawahi kusema kuwa kikawa Koran nzima , yupo bize anapiga na nyama ,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kabisa pole tena hata unacho soma ukielewi nambie Mungu anasema nampiga mtu anafufuka na maana ushatolewa teyar we msubirie yesu awaite mpaka akome na mlivyo wengi hivyo namuonea huruma na ule mdomo alio nao ya Mungu wetu ni hii nyinyi ya kwenu mshaitoa tuachieni ya kwetu basi yake Mungu yeye ni hii ya ufufuaji wa mwisho.
 
Tuliza akili Abdool, biblia Ina translation mpaka za waislamu wenzenu, wanaweka manufaa Yao ila uzuro lugha za matini za mwanzo zipo na siku izi zipo online unaenda Ina transalate neno kwa neno
Hahaha eti waislamu wayatumie maneno ya alie laaniwa kwa lipi bro tulia usubirie kuitwa na akikusahau imekula kwako
 
Nampa pole yesu kuwaita walio makaburini mpaka kuwa maliza siku ya ufufuo kazi anayo
Bora kuita tu unasema neno linakuwa

Kuliko kuchinja ng'ombe ma trillion ya ng'ombe aunze kazi ya kuchapa maiti na pande la nyama ya ng'ombe πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuliza akili Abdool, biblia Ina translation mpaka za waislamu wenzenu, wanaweka manufaa Yao ila uzuro lugha za matini za mwanzo zipo na siku izi zipo online unaenda Ina transalate neno kwa neno
Dah ndio kwa kiwango hiki mnaamin programu zilizotengenezwa kuliko asili yake ona contradiction hii tena ya kuipanga kabisa hii
 
Bora kuita tu unasema neno linakuwa

Kuliko kuchinja ng'ombe ma trillion ya ng'ombe aunze kazi ya kuchapa maiti na pande la nyama ya ng'ombe [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha sindano imepita mahala pake wewe unatutafsiria quran unavyo taka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…