Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Koran nzima Hakuna chochote Allah aliwahi sema kiwe kikawa , iyo ni maneno tu katoa
Hahahah Huna hoja tena enh mnaokota vipande hamvielewi mnajiona ndo mshasoma
Yani kwa mwenye akili tu anafahamu kua quran hamisomi hata robo zaidi ya kuokoteza mnacho hisi nyinyi kita wabeba na hatimae mnaangukia pua
 
Koran 2:73 So This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life,

Msingi ndio huo Allah ndio njia yake kufufua wafu , inamaana nyie kina Abdool siku ya mwisho mtakuwa unapigwa na pande la nyama unafufuka unapiga mwingine anafufuka ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23] an heshimika kama Hindu mmempa na surah kabisa
Baada ya kuumbuka umeona uikate aya hapo pekeyake imejieleza kua unavyoona wewe Mungu anafufua kwa namna tofauti na ile iingize aya katikati iliupate maana ya aina yoyote utakayo ifikiria ya ufufuaji .

So this is how 'easly' Allah brings the dead to life we fikiria namna ya ufufuaji alafu weka hilo neno hapo ili uone maajabu ya quran

Aya tuletee bibilia yako kama itaweza kufanya kazi kwa namna zaidi ya moja
Hapo ndipo utauona muujiza wa quran.
 
Hamna kinachobadilika zaidi ya kwamba mnaacha kula mchana halafu mnakula usiku kucha.
, kusema kubadili ratiba ya kula hilo ni neno tu lakini athari yake si inafahamika? Malengo ya kufanya hivyo si hutimia?
Kama hutimia basi kuna shida gani?
Swala tano ni vitu repetitive, hakuna kipya. Mnarudia kitu kilekile mara tano kwa siku.
Ni kweli tunarudia na hakuna kipya, je kuna ubaya kufanya hivyo? Jibu ni hakuna.
Kisa tunarudia basi ndiyo inaondoa athari ya kiroho?
Mbona unaweka hoja dhalili mno?
Sheria za waislam zote zimekopiwa kutoka agano la kale na kuongezea chache za hapa na pale hivyo nyingi nazifahamu.
Ni kweli kiasi, na hiyo hutokana na ukweli kuwa Uislam haukuja kuupinga uyahudi na ukristo bali umekuja kuzithibitisha.
Basi inaonesha hauelewi chochote kuhusu maswali yako na ukristo ni nini.
Sawa,
 
Unalazimisha maana unayo taka wewe waislamu wanacho jua ni hiki kuhusu AllahuView attachment 2380745
Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu
Kwa kuwpiga na pande la nyama ya ng'ombe 😂😂😂😂

Koran
2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
 
Baada ya kuumbuka umeona uikate aya hapo pekeyake imejieleza kua unavyoona wewe Mungu anafufua kwa namna tofauti na ile iingize aya katikati iliupate maana ya aina yoyote utakayo ifikiria ya ufufuaji .

So this is how 'easly' Allah brings the dead to life we fikiria namna ya ufufuaji alafu weka hilo neno hapo ili uone maajabu ya quran

Aya tuletee bibilia yako kama itaweza kufanya kazi kwa namna zaidi ya moja
Hapo ndipo utauona muujiza wa quran.
73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
 
KJV imetafsiriwa kutoka original manuscripts. Kila tafsiri ya biblia unayoiona ni lazima lugha inayotumika iwe na kamusi inayotafsiri moja kwa moja kutoka greek/aramaic/hebrew/latin kwenda kwenye hiyo lugha.

Roman catholic wapo na manuscripts ziitwazo Codex Vaticanus zilizopo Vatican na nyingine ni Codex Sinaiticus ambazo nyingi zipo London
Nikuwekee chart uangalie vizuri. Kuna Codex Sinaiticus ambayo ina vitabu vyote ambayo agano la kale na agano jipya vimetafsiriwa kigiriki ambao humo baadhi ya vitabu vimepunguzwa katika kunakili kwenye kuzalisha biblia nyingine.
Kuna hii vulgate ambayo nimekuwekee kwenye chart. Hizi biblia zote kwenye mtandao unazikuta. Kuna tafsiri zimefanyiwa modification ambazo kwenye biblia moja ipo na nyingine haipo.
Hizo ndiyo maana zinaitwa 'versions' kutokana na 'modifications' mbalimbali. King James Version vilevile kaweka vitu ambavyo havipo ukichunguza kwenye biblia za nyuma.
bible-translations-01.png
 
73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
Sasa bro ukileta kiswahili neno litatoka nakuletea tena fikiria namna unayo ona kua ni sahihi kwenye ufufuaji alafu weka neno hili lililomo kwenye hii aya
(Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu ; )

Alafu rudia tena kufikiria kilicho sahihi kwenye ubongo wako kuhusu kufufuliwa kwa namna nyingine tofauti na ya mwanzo alafu weka kipande hiko hapo juu yani hiki

(Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu ; )

Hapo utakuwa ushaitafsiri hiyo aya kwa hakika.
 
Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu
Kwa kuwpiga na pande la nyama ya ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Koran
2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
Hahahaha unabadilisha haya weka neno jengine uone maajabu ya quran kuing'ang'ania hilo hilo au la kuvunjia heshima basi unacho kifanya ni ubabaishaji tu
 
Nawapa jibu sasa kwanza mmerudia tena kosa lile lile nilicho taka mimi ni aya inayosema kua Mungu amechukua nyama na kumpiga mtu akafufuka mkaniletea aya hiyo hiyo tena iko wazi inajieleza
mosi walio piga nyama ili afufuke alie kufa sio Mungu kitendo kilichofanywa hapo kimetafsiriwa na maneno ya chini alipo sema kua showing you his sign so that you may understand.

Fahamu hiko ni kisa cha waisraeli waliokuwa wanamfuata musa kumuomba ili awafufulie mtu wao alie kufa hivyo Allahu aka wapa kazi hiyo ya kufanya hao wenyewe kwa maana hawa kua ni manabii pia hawa kua ni Mungu

So hapo walipewa mfano tu kidogo kua Mungu anaweza kufanya chochote .

Kwanini wachinje ngo'mbe
Jibu walipo enda kwa musa kuhusu kuomba hivyo wakaanza kumwambia kwa kumuamuru mtume wa Mungu na hivyo Mungu nae akawapa adhabu ya kumtafuta ng'ombe kwanza wakishampata ndio majibu yao wayapate kuhusu kufufuliwa wanataka
Na wala hiyo haina maana kua hiyo ndio namna pekee ya kufufua hapajesemwa hivyo kwenye aya natumai mmenielewa wewe na mokit mpe aisome post hii
Kwahiyo aliyesema anafufua kwa pande la nyama ya ng'ombe sio allah?
 
Nikuwekee chart uangalie vizuri. Kuna Codex Sinaiticus ambayo ina vitabu vyote ambayo agano la kale na agano jipya vimetafsiriwa kigiriki ambao humo baadhi ya vitabu vimepunguzwa katika kunakili kwenye kuzalisha biblia nyingine.
Kuna hii vulgate ambayo nimekuwekee kwenye chart. Hizi biblia zote kwenye mtandao unazikuta. Kuna tafsiri zimefanyiwa modification ambazo kwenye biblia moja ipo na nyingine haipo.
Hizo ndiyo maana zinaitwa 'versions' kutokana na 'modifications' mbalimbali. King James Version vilevile kaweka vitu ambavyo havipo ukichunguza kwenye biblia za nyuma.
View attachment 2380770
Kwanza nashukuru kua sasa umekubali kua bibilia ina version pili hapo ndipo umeweka sawa kua maneno yenu ya kwenye biblia sio ya mungu maana mengine yanapunguzwa yana wekwa anavyotaka mtu muda wowote asante kwa hilo kulifahamu
 
Kwahiyo aliyesema anafufua kwa pande la nyama ya ng'ombe sio allah?
Ndio uelewe sasa kwanini Allahu hakusema kwamba anafufua kwa nyama ya ngo'mbe moja kwa moja ni kwa sababu ana namna ya ufufuaji ulio madhubuti hapo wamepewa mfano hao watu ndio maana mwisho akasema kuhusu waisraeli hivi

showing you his sign so that you may understand
 
Kuna mda kama mwaka alikuwa mgonjwa wa schizophrenia

Muhammad aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063

Alikuwa anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya, ndio unakuta story za kupaa na punda mwenye mabawa
Sijui jamaa wanatumia basis gani kuamini mafundisho ya mtu wa ajabu ajabu kama huyo.
 
Kwahiyo aliyesema anafufua kwa pande la nyama ya ng'ombe sio allah?
Na kwa kukupa faida tafuta namna nyingine iliyo sahihi ya ufufuaji alafu weka hiki kipande cha neno la Allahu iliupate tafsiri kuhusu hilo

So This is how ˹easily˺ Allah brings the dead to life,
 
imetafsiriwa kutoka original manuscripts. Kila tafsiri ya biblia unayoiona ni lazima lugha inayotumika iwe na kamusi inayotafsiri moja kwa moja kutoka greek/aramaic/hebrew/latin kwenda kwenye hiyo lugha.

Roman catholic wapo na manuscripts ziitwazo Codex Vaticanus zilizopo Vatican na nyingine ni Codex Sinaiticus ambazo nyingi zipo London
Nakupa aya moja wapo ambayo zimetofautiana kati ya King James Version na New King James Version
images (6)~2.jpeg
 
Sijui jamaa wanatumia basis gani kuamini mafundisho ya mtu wa ajabu ajabu kama huyo.
Kama mnavyo nishangaza kuhusu kuiamini bibilia inayoweza kugeuzwa geuzwa na majuha mara iongezewe vitabu mara ipunguzwa na maneno ya ndani sasa hao mitume walivyo gongana ndio balaa
 
Back
Top Bottom