professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Umeona sasa zuga yako nasema Tena kwa kujiamini kua Allahu ajasem nitampiga mtu kwa nyama ndio atamfufua sio bibilia hiyo mara watafsiri wakosee mara waleweMuda sio mrefu hata quran na muhammad utawakana.
Attachment zako hazifungukiHili lina tufanye tuiandike quran
View attachment 2380900
Hiyo verse ya kufufua kwa pande la nyama ilishushwa kutoka kwa Allah?Umeona sasa zuga yako nasema Tena kwa kujiamini kua Allahu ajasem nitampiga mtu kwa nyama ndio atamfufua sio bibilia hiyo mara watafsiri wakosee mara walewe
Maswahaba waaminifu miongoni mwao ni Aboubakar na wako zaidi ya mmoja na hawaja kinzanaNimekuomba majina ya walioandika manuscripts za quran, acha stori.
Unaona sasa ulivyo juha hiyo vers haimaanishi kwamba Allahu anafufua hivyo tafsiri nishakupa tafuta post yakeHiyo verse ya kufufua kwa pande la nyama ilishushwa kutoka kwa Allah?
HiyoAttachment zako hazifunguki
Nakwambia tena ushahidi nisha kuekeaInamaana kuna chanzo?
Aya ushapewa na ziko nyingiUnapoulizwa swali unatakiwa ujibu na sio porojo. Lete aya iliyowaagiza muandike quran badala ya kukariri.
Miongoni mwa majina nimekurushia ila usione kusema tu kua vyanzo vyako vya kutafuta habari haviko accurateNimekuomba majina ya walioandika manuscripts za quran, acha stori.
Hapo nayeye ni miongoni mwa walio fufuliwa so alie wafufua hao sasa ni Allahu soma hiiYesu alishafanya advertisement ya siku ya ufufuo. Watakatifu wengi sana aliwafufua wakawa wanaonekana mjini.
Mathayo 27:52-53
52 Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliofariki ili fufuka.
53 Walitoka makaburini na Yesu alipofufuka walikwenda Mji Mtakatifu wakawatokea watu wengi.
Sio porojo ujitambui unalazimisha kuyatafutia makosa maneno ya Allahu na hauta pataUnapoulizwa swali unatakiwa ujibu na sio porojo. Lete aya iliyowaagiza muandike quran badala ya kukariri.
Hayo ndio madhara ya kuandika kitu mwenyewe hayupo lazima utumbo utokee na bado na bibilia ya Mungu wenu alie laaniwaAcha kujiongelesha bila ushahidi.
Manuscripts zimekusanywa kutoka maeneo mbalimbali kwa miaka mingi na nyingine zimekuja kupatikana baada ya excavation. Wakristo walipitia persecution kwa miaka kadhaa na hivyo walilazimika kuwa wanaficha nyaraka walizokuwa nazo.
Kwahiyo over the years zilipokuwa zinapatikana ziliongezewa mpaka Jerome alipofanya compilation. Baadhi ya manuscripts bado scholars wanafanya argument kwasababu unaweza kukuta kuna verse zimepatikana kwenye baadhi ya manuscripts lakini kwingine hazikupatikana. Hii ndio sababu ya baadhi ya translation kukosa kuweka hizo verse.
Swali ni rahisi, hiyo aya ilishuka toka kwa allah?Unaona sasa ulivyo juha hiyo vers haimaanishi kwamba Allahu anafufua hivyo tafsiri nishakupa tafuta post yake
Kwahiyo aboubakar ndio aliandika miaka hamsini kabla ya muhammad?Maswahaba waaminifu miongoni mwao ni Aboubakar na wako zaidi ya mmoja na hawaja kinzana
Kitabu cha wazungu hicho, walikiandika na kukitunza.
Lete aya zilizosema muandike quran badala ya kukariri. Acha porojo.Aya ushapewa na ziko nyingi
Wapi hapo kasema anafufua? Pande la nyama silioni hapo wakati ndio nyenzo ya Allah kwa ajili ya ufufuaji.Hapo nayeye ni miongoni mwa walio fufuliwa so alie wafufua hao sasa ni Allahu soma hiiView attachment 2380910
Bado majibu hakuna.1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
YESU anafufuliwa kwa amri ya kua hai na akawa haiWapi hapo kasema anafufua? Pande la nyama silioni hapo wakati ndio nyenzo ya Allah kwa ajili ya ufufuaji.