Mi ngoja nirudi kwenye msingi wa Mada yenyewe
Mungu kafanya tone kua damu ilioganda( pande la damu)
Hapo anamzungumzia mwanamke ambae yuko katika kipindi cha Ovulation
Ambapo yai Allah ameliita pande la damu
Hapo ukumbukwe kua yai la binadamu sio sawa na yai la ndege
Yai hili la mwanamke wa kibinadamu hua Ni kidonge cha damu.
Hapo ndio Allah aliposema na tukafanya tone kua damu ilioganda.
Mpaka hapo itambulike anaezungumziwa Ni mwanamketuu.
2 Allah anasema tukalifanya pande la damu ( yai) kua pande la nyama.
Hatua hii ya pili ya hili yai ikumbukwe kua Ni damu,
Sasa katika Hatua hii ya. Pili anahusishwa mwanaume,
Ambapo amekutana na mwanamke huyu ambae amebeba hili
Kisha na kumuachia shahawa, na ikumbukwe kwamba ndani ya shahawa kumekua contained na vitu vinne, ambavyo Ni
Acid
Protein
Virus (non patheginic)
Chromosome
Kupatikana vitu hivi vinne kwenye shahawa ndio tunaita sperm
Na kila kimoja kina kazi yake pindi kinapoingia katika mwili wa mwanamke.
Na kutokana na content hizo kwa kuwezeshwa na altimet intelligence (Allah)(Mungu)
Ndio yanatokea mabadiriko hayo kwenye lile pande la damu, kuanza kua pande la nyama kisha mifupa nk.
Kwa hiyo Qur aan haijatofautiana sana na sayansi
Ila Shida Ni moja wengi qur aan wanaisoma kama gazeti pasipo kuitosheleza tafsiri yake
Hapo ndipo unakuta mkanyiko
Mungu anasema Na Quraan tumeiteremsha kwa kuitawanya ili uwasomee watu kwa kituo
Sasa Leo inasomwa kama gazeti ndio Shida inaanzia hapo.
Mleta Mada usihangaike kujiuliza maswali yote hayo wakati swali lenyewe Ni moja na jibu lake Ni moja na liko humu katika haya nilioandika.
Mengine siingilii.