Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Ndani ya tumbo hakuna mifupa.
 
Pamoja sana.🤝
 
Hapo anamzungumzia mwanamke ambae yuko katika kipindi cha Ovulation
Ambapo yai Allah ameliita pande la damu
Hapo ukumbukwe kua yai la binadamu sio sawa na yai la ndege
Yai hili la mwanamke wa kibinadamu hua Ni kidonge cha damu.
Huu ni uongo, labda ujipange upya.
 
Hahahah ndio maana wewe nakwambia mpuuzi na hunaa akili aya nipe neno linalosema ni kitabu cha wazungu nipe na aya ukikosa wewe ni Chizi na unaongelea ushindani
Wazungu wametoa manuscripts original pale birmingham ambazo waliziandika kabla muhammad hajazaliwa.
 
Kwahiyo sasa hivi unakubali kwamba Yesu alikufa na kufufuka? Basi ni heri umpokee na upate msamaha wa dhambi na uzima wa milele.
Yesu wenu alikufa na akalaaniwa na kupopolewa vilevile kama wewe umabisha haya yesu alie kufa huyo Allahu ndio akaja kumfufua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…