Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Ndani ya tumbo hakuna mifupa.Katika hiyo diagram unayoonyesha ilipo Seminal vesicle Kuna swali nilimuuliza Championship hajalijibu akanikinikimbia Sasa inaonekana wewe ulielewa zaidi inabidi umjibie hili swali
Ukitoka katika Seminal vesicle kuelekea juu unakutana na mfupa gani? na ukielekea kulia au kushoto unakutana na mfupa gani?